Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, una bahati njema, mimi ni moja ya vijana waliowahi kupewa Fund kama unayoitaka nikaanzisha mradi wa ufugaji nyuki.....Na sasa kuna zaidi ya Bilioni moja zimetengwa na NEEC kwa ajili ya watu kama weye......cha kufanya, unaweza kuonana na mimi nikakuunganisha na watu watakaokudhamini upate Fund, lakini feasibility study sio tatizo maana kiutafiti bidhaa nyingi utangundua kuwa zina soko zuri, lakini practically ukizalisha ni ngumi kupata wanunuzi kama unavyosema, umezungumza issue ya TBL, this is something big ambayo naamini kwa startup business kama hiyo yako, there is no way watanunua product zako at very early stage, coz tayari mpaka saivi wana mikataba na makampuni yanayozalisha bidhaa hizo ndani na nje ya nchi, japo inawezekana bt it needs time; if you dont mind you can trust me, ofisi yangu ipo Mpanda mjini ila kwa sasa nipo Dar kwa mapumziko. Una option mbili za kufanya, 1. send me your business plan ili kama nitavutiwa nayo kwa maana ya immediate result generation I can partner with you tukaomba fund pamoja tukatumia title yangu kupata Fund, option ya pili 2. Nenda Ofisi ya Baraza la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi ipo Posta njia ya kuelekea kivukoni mbele kidogo ya ofisi ya Takwimu.. Hawa wamefanya makubaliano na TIB ya kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo ili waanzishe miradi, tatizo ni kwamba biashara yako is a startup business kiasi kwamba uwezekano wa kurudisha mkopo ni mdogo/haupo coz pesa nyingi itaenda kwenye foundation ya mradi, I mean Investment capital wakati taasisi za fedha huwa hazitoi pesa za aina hiyo, wanatoa working capital. Just nitafute kwa facebook tuongee, I think I can try helping you. Kikubwa nachosema unaweza ukawa na BP nzuri sana lakini ikawa sio practical kutokana source of fund, so wakati mwingine unaweza ukabadili Business
Daaah...!!! Nimebaki speechless. Nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho. All the best brother.
Sent from my iPad using JamiiForums app
Mkuu Mzuzu , Malila et al nawashukuruni sana kwa mawazo yenu ya kujenga. Hakika machozi yana nilenga lenga kwa kuona namna vijana wa kitanzania mlivyotumia sehemu ya aikili na ujuzi wenu kuokoa kizazi hiki.
Natumai siku moja mtakuja toa ushuhuda wenu hapa jukwaani namna umoja wa dhati ulivyo wasaidia kufikia nia yenu.
Natamani nimtumie kopi ya wzo lako waziri mkuu , waziri wa kilimo, waziri wa viwanda ana uwekezaji ili aone kuwa Tanzania imejaaliwa vijana wenye akili timamu, maono, nia, na maalifa ya kujenhga nchi.
Hongereni sana kwa mawazo ya kujenga.
Hongera, una bahati njema, mimi ni moja ya vijana waliowahi kupewa Fund kama unayoitaka nikaanzisha mradi wa ufugaji nyuki.....Na sasa kuna zaidi ya Bilioni moja zimetengwa na NEEC kwa ajili ya watu kama weye......cha kufanya, unaweza kuonana na mimi nikakuunganisha na watu watakaokudhamini upate Fund, lakini feasibility study sio tatizo maana kiutafiti bidhaa nyingi utangundua kuwa zina soko zuri, lakini practically ukizalisha ni ngumi kupata wanunuzi kama unavyosema, umezungumza issue ya TBL, this is something big ambayo naamini kwa startup business kama hiyo yako, there is no way watanunua product zako at very early stage, coz tayari mpaka saivi wana mikataba na makampuni yanayozalisha bidhaa hizo ndani na nje ya nchi, japo inawezekana bt it needs time; if you dont mind you can trust me, ofisi yangu ipo Mpanda mjini ila kwa sasa nipo Dar kwa mapumziko. Una option mbili za kufanya, 1. send me your business plan ili kama nitavutiwa nayo kwa maana ya immediate result generation I can partner with you tukaomba fund pamoja tukatumia title yangu kupata Fund, option ya pili 2. Nenda Ofisi ya Baraza la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi ipo Posta njia ya kuelekea kivukoni mbele kidogo ya ofisi ya Takwimu.. Hawa wamefanya makubaliano na TIB ya kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo ili waanzishe miradi, tatizo ni kwamba biashara yako is a startup business kiasi kwamba uwezekano wa kurudisha mkopo ni mdogo/haupo coz pesa nyingi itaenda kwenye foundation ya mradi, I mean Investment capital wakati taasisi za fedha huwa hazitoi pesa za aina hiyo, wanatoa working capital. Just nitafute kwa facebook tuongee, I think I can try helping you. Kikubwa nachosema unaweza ukawa na BP nzuri sana lakini ikawa sio practical kutokana source of fund, so wakati mwingine unaweza ukabadili Business
Mzuzu hongera sana sana, moyo wako wa kutokusikiliza wenye michango hasi, kuamini ndoto zako na kufanya kazi kwa kujituma umenipa changamoto sana. Umekuwa mfano wa kuigwa kwa watanzania, na umetupa moyo hasa mimi ninayefikiria sekta binafsi.
Nimepitia website yenu, youtube video zinatia moyo sana, I am just amazed by what strong conviction, determination and hard work can produce. Sky is only your limit brother.
Ninashukuru sana kwa mawazo yako chanya na kuona kwamba ukisikiliza mawazo hasi na ukayatumia kuboresha yako kila kitu kinawezekana kiongozi. Nashukuru tunasonga mbele na sasa tumemaliza pilot project tunafanya plan ya expansion ya commercial standard na sasa tunaingia ubia na kampuni ya Denmark kufanya pamoja then tumeingia supply contract na kampuni ya Swiss ya starch yote tutakayozalisha for the next 5 years baada ya kufanya expansion. So things are moving hope siku moja tutaweka mark ya project iliyoanzia JF na kuwa realized internationally.
Ahsante kwa encouragement na karibu sana