Project funding sources

Wazo lako safi sanaaaaaaaaaaaa......mimi kwa taarifa yako nimeamua kuwa mkulima mkubwa wa mihogo andaa soko tutawasiliana. Nitafutie pia soko la kuku wa kienyeji wapo wa kutosha.............
 
Nimefurahishwa sana na mada hii. Tafadhali wajuzi nijuzeni nitapata wapi mkopo nafuu wa kuniwezesha kulima mahindi ekari 400? Nitafurahi sana kwani shamba langu limekaa tui idle
 
Mzuzu kiongozi natamani tuonane kwani hata mie nimemaliza chuo ngazi ya diploma nipo hapa mjini lakini nina shamba ekari 15 | naamini tunaweza kufanya kazi kiongozi basi tutafutane kupitia hapa +255 657 740 797
 
Can I be a part in your club of Big Thinkers? Big up guys
 

Can you pm me mama Porojo
 
mkuu kama umefanikiwa katika hili naomba unipe muongozo coz hata mimi nina project ya mambo ya ujenzi na ni very marketable and profitable.

Mkuu, hao mawaziri wanajua uwezo wao kimawazo
 

Mkuu, hao wote wanajua uwezo wetu kimawazo
 

Amen mkuu.
 
mkuu, hao wote wanajua uwezo wetu kimawazo

Kwanini wana waacha tu hivi hivi bila ya kuwatumia....? Hakika kwenye miti hapana wajenzi (Tanzania inachukulia poa) na pia upele humuota asiye na kucha (ninyi hapo mna nia na maono makubwa ila ndo hivyo tena).
 
Bado upo katika kutafuta hizo funding sources? Let me know your expectation and what do you have so far, you can as well PM me anytime
 
itakuwa ni shukrani kwa vijana hawa na pia taifa kwa ujumla, hii ni biashara kubwa sana mbali na starch kam iivyo elezwa toka mwanzo but kuna suala la unga wa muhogo yaani hgh quality cassava flour hizi nazo ni pesa rufufu na bei yake ipo juu sana, embu Watanzania wenzangu tuwaunge mkono hawa vijana ambao wamethubutu na wamekwama sehemu ndogo sana ya kuweza kuingia sokoni, wana shamba, wana mashine yaani processing line wanahitaji nguvu ndogo ya kuanzia yaani working capital mwenye chochote jamani tuwarushie, nafikiri kama wana njia nzuli ya kupata pesa let them advice, kama tumekuwa tunachangia arusi, sherehe mbali mbali jamani hata ili jambo la maanam tutakuwa I wengi wa fadhila kwani kama mtu kaonyesha jitihada furani basi tumuunge mkono, ningeomba tufanye harambeeee!!!!!! ili vijana hawa waweze kwenda mbele.

Binafsi nimefuatilia sana hadi kufika eneo kilipo kiwanda na pia shamba la backup farm, ukifika pale kweli utaona jinsi watu walivyo na roho ngumu na kuvumilia mateso makubwa ktk harakati za kutimiza malengo yao ni changamoto kuubwa sana utapenda na kuona these people are real committed.

Binafsi nashahuri mfumo wa wenzetu hapa Kenya wa kufanya harambee!! ni mfumo mzuli wa kusaidiana ktk jamii hususani ktk nyanja zoote sherehe na hat maendereo ya mtu au kikudi, Mzuzu mimi ntakuwa mtu wa kwanza kam mtoa hoja ya harambee ntachangia elfu 50 kama kuna wengine jamani karibuni tushahuri ni kwa njia ipi itafaa
Bado upo katika kutafuta hizo funding sources?let me know your expectation and what do you have so far,you can as well pm me anytime
 
Nashukuru mkuu tutawasiliana

Kwa kweli nimesikitika nimeipata hii very late ni kwa sababu nilikuwa nje ya mtandao kwa muda flani naomba plse kuwasiliana na wote mlioko tayari kwenye project na wanaotaka kuanza nione ni jinsi gani naweza nikaweka inputs zangu

Project Expert
Mark
 
The scope of this project is above and beyond the level set for the mentioned funding. Nishawaona na tumekubaliana wasaidie wakulima wadogo tutakaowapa mikataba ya kulima na kutuuzia roots
Mkuu nilicho jifunza toka kwako ni kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka bila kukata tamaa,uvumilivu,determined na upo focused na wewe ni mwaminifu. Am so disappointed kuona mtu akiomba business plan yako ili akusaidie kutafuta watu wa kukufund hii ni jinsi gani pamoja na kuwa na mafunzo mazuri katika hii thread bado watu wamekuwa wazembe hata kusoma toka post ilipoanza wakatambua hadi stage uliofikia kuwa umeshapata fund sijui nani katuroga sasa kama mtu kusoma tu hawezi hivi hataweza kushawishi hata benk ya nmb impe mkopo wa millioni 100. sababu kwa mtu yeyote ambaye amesoma post zako Mzuzu na Malila hahitaji kuomba business plan sababu mambo yote ya muhimu katika project yako yamezungumzwa kwenye post za awali kiasi kwamba kama mtu alikuwa anahitaji madodoso kwaajili ya kuanzia utafiti yameainishwa kabisa. inauma mtu anapoomba business plan ya mwengine hiyo ni kwamba mtu hawezi kubuni kabisaa hadi aangalizie. Ni vema tubuni hata kidogo tu then watu watusaidie kuboresha na kufanya marekebisho katika mawazo yetu.Siamini kuwa hatuwezi kabisaa kubuni bali tu wavivu wakukaa chini na kufikiri sawa sawa huku tukifanya na kusoma tafiti za changamoto mbalimbali zinazotuzunguka. Bro taifa letu lingekuwa linatoa vijana graduate kama wewe hata 10 katika kila chuo hii nchi isingekuwa hapa. Post yako imenifanya nijione am useless to my country but at the same time it has given me a courage to understand that my counytry owe me. Nifunzo kubwa kwa tulio vyuoni na kaka na dada zetu ambao wanazunguka kila kukicha na bahasha long live bro Mzuzu
 
Last edited by a moderator:

Naamini Mzuzu na team yako mko vizuri, kaka,mie na team yetu ile tuko vizuri na tunasonga mbele kama ambavyo umekuwa ukiona kupitia updates zetu. Tayari tumegeukia kusini, mitaa ya Lindi.

Nawashauri Watz hasa vijana, hela zipo nyingi sana, tatizo ni namna ya kuzitoa kwa Wajuba mpaka zikufikie,jasho na muda vinahitajika,kama huwezi kuvumilia, hutapata mafanikio. mimi nilianza na ziro cash, na hata Mzuzu alianza hivyo.

Mzuzu, unakumbuka siku zile unanituma kutafta kiwanja cha kujenga kiwanda Mkuranga,jamaa walivyokua wanataja bei ? Juzi yamenikuta, ila nimevuka.
 
Mkuu
watu wa Oxfarm wanatoa funds kwa projects kama yako. wameshafadhili na kuendeleza miradi kadhaa afrika hivyo usisite kuwatafuta.

mimi nina knowledge ya fairtrade ambapo kama ukitaka tuition na contacts usiogope kuwasiliana.

Mkuu msanii mbona najaribu kuwasiliana nawewe sjupati. Naomba unipm Luna deal tufamze. What's fair trade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…