Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

Hello Wa Tz
Hii nimefanya research ya kutosha nikaona watanzania wengi wana wana mawazo mazuri sana ya kufanya biashara Ila hawana mtaji au hawana ujuzi juu ya kufanya miradi wanayotaka kufanya,

Wanasema kwamba kutojua kwa mwenzako iwe fursa kwako wewe ambaye unataka kujiinua kimaslai,

Siwafichi nimeona njia hii inaweza kufanya na kuleta mabadiriko

Naomba kama Una mradi wowote ambao unaplan kuufanya lakin kuna Vitu umekwama eleza nitajua jinsi ya kukusaidia Kwa kukupatia sponsor

1. Kama Una kiwanja unataka kujenga huna mtaji wa kutosha au wataka share holder
2. Una shule umekwama Kwa mambo Fulani Fulani kupata wafadhili wa wa kuiendeleza shule hiyo,

3. Una shamba lako unataka liendelezwe
4. Una academy unataka iwe ya kimataifa nitafte
5. Una website unataka uikuze kimataifa
6. Una Duka lako mtaji umelega lega
7. Una miradi yako ya utafiti umekwama kutokana na bajet,
8. Una panga kuanzisha mradi wa usafirishaji:
9. Unafungua kampuni yeyote huna hela ya kutosha

Hayo yote njoo kwangu,

Nina 42 ready investors ambao wako tiyari kuwekeza katika miradi mbali mbali Africa

Nina
Canadian 2
Waingereza 3
Wajapan 6
Wachina 15 lakin hawa wanapenda kuwekeza kwenye mambo ya maliasili suala ambalo ni gumu kidogo
Nina wakorea wa kusini 21 wananisunbua Sana kuhusu sehem wanzoweza wekeza Africa

Pia Nina ushirikiano na taasisi kubwa kubwa ambazo ziko tiyari kuwekeza Africa,

Nature ya kazi nayofanya hainiruhusu kufanya uwekezaji muda huu,

Ila sasa mashart mpaka nikupe connection mpaka ukubali yafuatayo

1. Usiwe katika masuala ya siasa au mwana siasa.
2. Uwe na mradi ambao umeandaliwa kweli kabisa siyo bla blah
3. Nitataka baada ya kukuunganisha nipewe 10% of share in the project

4. Sitaki hela ya mtu now, nataka share kwenye kampuni baada ya kuwaunganisha

Onyo
Kwa wanaotaka kusoma nje na kupata sponsorship hao watulie maana ni vigumu mno kuwapata watu sahihi,

Pia siko hapa kumtaftia mtu kazi nje

Sitaki hela ya mtu ya hongo
Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo
 
Mimi Nina kiwanja kipo 300 meters kutoka ufukweni, plan yangu ni kujenga nyumba ya kukodisha wageni , .... Utanisaidiaje ?
 
Mkuu mm mhitimu wa chuo kikuu shahada ya utawala wa umma(public administration) nina kikundi changu cha kusaidia watoto wanaoishi mazingira magumu kuwawezesha kielimu na mahitaji mengineyo.

Pia nina mpango wa kufanya biashara ya umachinga toka kenya naleta tanzania kuuza madukani

msaada tafadhari
 
Jambo zuri sana
Nina mradi wa usafiri kwa wanafunzi tu. Ntakucheki pm au waweza kuweka email address yako nikakutumia uupitie then uniunganishe na donors
 
Mkuu mm mhitimu wa chuo kikuu shahada ya utawala wa umma(public administration) nina kikundi changu cha kusaidia watoto wanaoishi mazingira magumu kuwawezesha kielimu na mahitaji mengineyo.

Pia nina mpango wa kufanya biashara ya umachinga toka kenya naleta tanzania kuuza madukani

msaada tafadhari
Umeshaanza huo mradi wa biashara yako ? Ni vigumu investors kuweka hela katika mradi ambao bado uko Katika makaratasi, cha kufanya mpango huo uweke katika action ili angalau iwe easy kuwa supported na mtu anaona ana support nini,
 
Huu mradi umeanza kufanya kazi toka mwaka juzi mwishoni pia ni active tunakutana kila jumapili ya mwisho wa mwezi
 
Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo

Viwonder......umbeya ndiyo biashara?
 
Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo
HAAHAAA
 
Mkuu
Ninashamba la ekari nane nahitaji kuendesha kilimo cha kisasa cha nyanya (green house) , passion fruits na mapapai. Hiki ni kilimo cha umwagiliaji ,all seasons. Njia zipi utatumia kwa mawasiliano ya mmoja mmoja manake whatsapp yako iko off muda mwingi(may be time difference)?
 
Nina eneo la kutosha kuzalisha chaki nitafute tuunganishe nguvu tujenge Kiwanda cha kuzalisha chaki
 
Nina mradi wa kudevelop Mobile App kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa sekondari na ikiwezekana chuo ....nakuja pm nikupe ka hint kidogo
 
Mimi kwa kushirikiana na mwenzangu ambae yeye ni mtaalamu wa software deaigning and development tumeweza kudevelop an android application pamoja na SMS Application ambazo zinawezesha Mtanzania kufahamu taarifa mbalimbali zinazohusu vituo vya afya na hospitali mbalimbali nchini. Taarifa kama jina la kituo cha afya/hospitali, huduma za afya zinazotolewa pamoja na gharama zake, kadi za bima za afya zinazotolewa katika hospitali husika na maelezo mafupi kuhusu huduma au ugonjwa husika.
Jinsi inavyofanya kazi:
1.Kwa SMS Application: Mtumiaji anatuma ujumbe mfupi wa SMS unaoelezea huduma anayohitaji pamoja na wilaya aliyopo (e.g. CT Scan Ilala), kwenda kwenye namba 0743 434341, baada ya muda mfupi, anapata majibu yanayoeleza hospitali ambazo huduma hiyo inapatikana, gharama ya hiyo huduma kwa kila hospitali,kadi za bima za afya zinazopokelewa,pamoja na maelezo mafupi kuhusu huduma hiyo.
2.Android Application: Unaweza kudownload application hii kwa kufungua link hii hapa Hospital Info App – Applications Android sur Google Play then, uta access taarifa za vituo vya afya na hospitali.

Application zote mbili (SMS na android)zinafanya kazi, na tuna watumiaji ambao ni active wanaotumia, na mtu yeyote anaweza kujaribu.
NOTE:Mfumo huu unafanya kazi kwa wilaya tatu tuu (Mbeya Mjini, Kyela na Ilala, hivyo ukiandika wilaya ambayo si kati ya hizi hutapata majibu)

Tunachohitaji:
Kwa sasa, huduma hii inapatikana wilaya tatu tuu!! (Mbeya Mjini, Kyela na Ilala), na kwa nature ya huu mradi,itapendeza zaidi na ku make sense ya kuweza ku commercialize pale ambapo coverage itakua ni kwa nchi nzima. Hivyo basi, tunahitaji investor/grantee ambae atatuwezesha kufanya yafuatayo.
1.Kuongeza coverage ya hii system yetu na kuifanya nchi nzima.
2.Kufanya kampeni za matangazo in social medias (video clips,photo shoots,radio and Tv adverts) pamoja na kwenye public places for demand creation and kunraise awareness kwa jamii kuhusu uwepo wa system yetu.
3.Kuifanya huduma hii iwe ni ya kibiashara zaidi.

Blagoveshchensk
Nadhani kwa 95% utakuwa umesoma UDOM-CIVE?????????????
 
Back
Top Bottom