Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo
 
Mimi Nina kiwanja kipo 300 meters kutoka ufukweni, plan yangu ni kujenga nyumba ya kukodisha wageni , .... Utanisaidiaje ?
 
Mkuu mm mhitimu wa chuo kikuu shahada ya utawala wa umma(public administration) nina kikundi changu cha kusaidia watoto wanaoishi mazingira magumu kuwawezesha kielimu na mahitaji mengineyo.

Pia nina mpango wa kufanya biashara ya umachinga toka kenya naleta tanzania kuuza madukani

msaada tafadhari
 
Jambo zuri sana
Nina mradi wa usafiri kwa wanafunzi tu. Ntakucheki pm au waweza kuweka email address yako nikakutumia uupitie then uniunganishe na donors
 
Umeshaanza huo mradi wa biashara yako ? Ni vigumu investors kuweka hela katika mradi ambao bado uko Katika makaratasi, cha kufanya mpango huo uweke katika action ili angalau iwe easy kuwa supported na mtu anaona ana support nini,
 
Huu mradi umeanza kufanya kazi toka mwaka juzi mwishoni pia ni active tunakutana kila jumapili ya mwisho wa mwezi
 
Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo

Viwonder......umbeya ndiyo biashara?
 
Nataka kufungua mgahawa wa wambea wote wawe wanakutana hapo kutakuwa na soft drinks tu na confortable chair ambayo itawafanya wakae mda mrefu kuongea umbea wao naomba msaada huo
HAAHAAA
 
Mkuu
Ninashamba la ekari nane nahitaji kuendesha kilimo cha kisasa cha nyanya (green house) , passion fruits na mapapai. Hiki ni kilimo cha umwagiliaji ,all seasons. Njia zipi utatumia kwa mawasiliano ya mmoja mmoja manake whatsapp yako iko off muda mwingi(may be time difference)?
 
Nina eneo la kutosha kuzalisha chaki nitafute tuunganishe nguvu tujenge Kiwanda cha kuzalisha chaki
 
Nina mradi wa kudevelop Mobile App kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa sekondari na ikiwezekana chuo ....nakuja pm nikupe ka hint kidogo
 
Nadhani kwa 95% utakuwa umesoma UDOM-CIVE?????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…