Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

Mm nna idea lkn inahusiana na Mali Asili lkn haina ugomvi wwt na serikali kwani wildlife policy Inaruhusu na kuencourage biashara hy vp unaweza kuniunganisha nikatoa proposal yangu?
 
Mkuu kwa hiyo asali yako unaweza kupata litre 500 kwa week??
 
Nina motor vehicle auto garage ambayo ni operational na ipo housed ktk eneo langu la ukubwa karibu ekari 2. Lengo ni kuiboresha kwa kuongeza mashine na tools zingine. Skilled labour ipo. Je naweza pata interested partner? Feasibility study niliandaa mwenyewe kwa kuwa mie ni economist.
 
Haya majanga,

Sasa mnataka mpaka project iwe imesimama ninyi muongezee tu pesa,

Kwanini maimuinue mtu kutoka chini mpaka juu
 
Mkuu Makonda na Zitto hii opportunity imekuja kwenu,changamkeni
 
Nina shamba heka 50 nataka kufanya kilimo na ufugaji vinavyotegemeana nina business plan shida yangu ni mtaji
 
Hivi mkuu unajua business plan ndo biashara yenyewe kwanini unaweka hovyo hovyo tu mawazo yako

Hujui kama kuna mtu atachukua na atapigia pesa mpaka basi???????
Mkuu!! Mungu Ndio Mpangaji! Kama Mtu Akipata Na Akipiga Pesa Kupitia Hiyo BP Bila Kunikumbuka Sawa Tu! Mim Nimehangaika Nayo Sana! Now Nimemuachia Mungu! Atakae Copy Na A Copy
 
Nina mradi wa usafirishaji abiria hapa jijini Dar, zaidi ya miaka 5; wazo langu ni kutanua wigo kwa kuanzia safari za nje ya Dar. Hivyo nahitaji mtaji mkubwa wa kununua magari ya abiria
Kiongoz naomba uingie pm
 
Nataka kufungua NIGHT CLUB/BAR au BOTTLE STORE south Africa hapa JOHANNESBURG, kama inavyOJULIKANA South Africa ni nchi ya 2 ivi au 3 kwa matumizi ya alcohol
 
Mimi ninataka kuanzisha building construction mipango imeshaanza ofisi na go down nimeshapata Arusha.
Naomba mawasiliano yako.
 
Hii Hapa Chini Mkuu! Kama Utaielewa Basi Utanisaidia
Nimeambatanisha Na Contact AsanteView attachment 718015
Yaani umeumiza kicha kuandaa business plan yako afu unaiweka adharani. Si bora ungeenda PM uko ndio umtumia wa kukusaidia. Sasa apa ata mim naeza kuichukua idea yako nikafanya editing alafu ikawa ya kwangu. Usije ukarudia upuunzi kama huu tena.
 
Hata Ufanye Research vipi ? na hata Ulete mikakati kutoka Wap, swala la kujenga Uchumi wa Taifa huletwa kutoka kwa mtu mtu mmoja mmoja .Uimara wa Uchumi katika Nchi yeyote huchangiwa na Kodi , Kumbuka mchezo wa Ukuaji wa Uchumi ni Give and take,take and Give,hii ninexchange kati ya serikali (wasimamizi wa mapato ) na wananchi wenye (watoaji wa mapato).
Hivyo basi , harakati za kujenga uchumi huanza na wewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kishirikiana na serikali katika ulipaji wa kodi.
2.Usimamizi mzuri wa serikali kwenye Rasilimali zote za nchi.
3.Sheria nzuri,kupambana na Rushwa na Ufisadi.

NB.
Wala hatuhitaji mikakati ya kutuumiza vichwa kufikiri mambo makubwa katika Revolution ya uchumi wetu,tunahitaji akili ndogo sana. Tunahitaji taifa lenye watu wachapakazi tu ili kufika walipo nchi kama ya china leo.
 
Nina eneo kisiwani Mafia ambapo nikipata mwekezaji anaweza kutengeneza PARK ya wanyama kwa kuwalenga watalii wanaokuja kutalii Mafia . 0683226622.
 
huyu jmaa mbona haeleweki...ameingia mitini kama kawaida...manake whatsapp hajibu wala PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…