Project: NAIROBI EXPRESSWAY (News & Updates)

you should just stay in your lane.you are way over your head on this
Eti lane!😂😂😂una mpandisha mahali hayupo! Watanzania are not yet in any lane! Bado wako vichakani na kwenye misitu, wanatapatapa trying to find their way out, lanes ni ya akina Ghana kiasi hivi, Morocco, Nigeria, South Africa and the likes, hawa tunaeza zungumzia lane. But Tz na akina Malawi, DRC, Burundi, Mozambique ni vichakani bado, lane and Tz na waTz must never be mentioned in the same sentence😂😂😂
 
hii barabara itakuja kuanguka[emoji3][emoji3][emoji3].

siombei mabaya,ila jf is here to stay.mtakuja niita mtz mchawi kama kawaida yenu.
Hii barabara imejengwa kwa kutumia mahesabu ya civil engineering na physics. Civil engineer anasoma mambo ya force na tension. Anajua kama daraja litabeba magari mia moja kwa wakati mmoja, basi litastahili kuwa na nguzo size gani. Wanafanya testing kwa lab ili kujua kama nguzo hizo zina uwezo wa kuhimili uzito wa magari yatakayopita juu yake. Hakuna guesswork hapa. Ni mahesabu ya force and tension ili kujua ni nguzo aina gani inayohitajika kuhimili uzito wa magari. Sasa kama unadhani hawa engineers wanafanya guesswork basi endelea kungoja daraja liporomoke.
 
bro hata sijkujua ni mwepesi kucatch feeling namna hii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua wewe unaweza kuwa unatania lakini Watanzania wenzako watalichukulia bandiko lako seriously na waanze kusema kuwa daraja hilo litaporomoka. Akina Ichoboy na Thebest007 na Natonjr ni watu wajinga sana na wanaweza kuamini ulichoandika.
 
haiwezekani mkuu,wao sio wajinga kiasi hicho kutotofautisha utani na ukweli.

tokea mwanzo niliandika wazi mimi sio eng,labda ningesema mimi ni mtaalamu wa mwaswala hayo labda ningeweza kuwashawishi.
 
imgres.jpg

es.jpg

Wakati mnahangaika sisi tunasonga mbele kimyakimya
 
Unajua wewe unaweza kuwa unatania lakini Watanzania wenzako watalichukulia bandiko lako seriously na waanze kusema kuwa daraja hilo litaporomoka. Akina Ichoboy na Thebest007 na Natonjr ni watu wajinga sana na wanaweza kuamini ulichoandika.
😂 😂 😂
 
yule kilembwekeza wa KINJEKETILE NGWALE aliyekua anataka aonyeshwe sign board ndio ajue construction imeazna mwambieni hakuna sign board kwa hiyo Nairobi Expressway haijengwi .... 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom