Project? Wakati MwanaHALISI likifungiwa, gazeti la Mchange laendelea kumsakama ‘Yuda’. Haligusiki

Project? Wakati MwanaHALISI likifungiwa, gazeti la Mchange laendelea kumsakama ‘Yuda’. Haligusiki

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa.

Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’ la Awamu ya 5. Watu wa Mfumo wamekosa ubunifu kiasi hiki? Hii ndo thinktank yao?

UONGO: Malecela hakujiuzulu bali aliondolewa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ya Desemba, 1994 na David Cleopa Msuya akateuliwa Waziri Mkuu.

e86ca439-c78b-407c-bfbd-28c76cd6c163.jpeg
 
Baadhi ya vijarada vya habari, sio tu vinadhalilisha tasnia ya habari, bali vinadhalilisha hao waandishi uchwara wenyewe...ila swali la kujiuliza, wanapati wapi nguvu ya kumdhalilisha mtu namba 2 kwa nguvu nchini??
 
Habibu mchange akumbuke alikuwepo Msiba kabla yake
 
Back
Top Bottom