Hivi kumbe wameitwa?Wameona ili kubalance kulifungia gazeti la MwanaHALISI, wamejifanya kuliita jamvi la habari kujieleza.
Yes. Nadhani wakati mwanahalisi anajitetea alilitaja jamvi la habari kama wana balance hizo story zao. Kwa aibu ikabidi Jamvi la habari liitwe.Hivi kumbe wameitwa?