Watumishi huwa wanahamishwa, nadhani hata serikalini au taasisi uoyote hayo yapo na kila taasisi inafanya kukingana na miongozo na taratibu zake, kimaro alikua kariakoo akaletwa kijitonyama na sasa ameondoka atapelekwa pengine akaendeleze utumishi wakeSasa kama ni utaratibu uliowekwa na Dayosisi hizi re-shuffle za wachungaji zina maana gani?
PoleeWatumishi huwa wanahamishwa, nadhani hata serikalini au taasisi uoyote hayo yapo na kila taasisi inafanya kukingana na miongozo na taratibu zake, kimaro alikua kariakoo akaletwa kijitonyama na sasa ameondoka atapelekwa pengine akaendeleze utumishi wake
Sasa mnataka akae kijitonyama milele?
Mnapiga krlrl wakati hata Dauosis haijatoa statement mjur upande wa pili wa shilingi ukoje, mmekua wepesi kuhukumu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani walie kisaa washirika wataondoka kumfata kimaro au?? Walie kisa sadaka kushuka au??? Walie kisa nini... yani kimaro kkkt ni kama chembe ya mchanga kwenye dunia.Kwa hali hii kama KKKT hawatakaa chini waongee vizuri na Mch Dr Eliona Kimaro, watapoteza big time. Nawashauri wafikirie upya uamuzi wao wa kutaka kumfukuza mchungaji huyu wasije wakalia na kusaga meno hapo baadaye.
Umesema vyema. Tatizo kubwa watumishi wanataka waabudiwe badala ya kuhuburi utukufu wa Mungu, imefika mahali waumini wanaona bila mtumishi fulani hatuwezi....hii sio sawaAaa wapi!
Kazi ya Mungu itaendelea bila hata ya Kimaro. Hawa ni watumishi tu na msiwakuze sana kiasi cha kuwapa utukufu. Mungu Atainua wengine na pengine bora zaidi. Tufike mahali tuache kuabudu watu na waabudiwa hawa nao watambue kuwa wanaweza kuondolewa na hata kufa wakati wo wote lakini kazi ya Mungu itaendelea!
Kimaro ajirekebishe. Ajishushe. Aombe msamaha na aendelee na wito wake - Kijitonyama au kwingineko. Na Mungu Atazidi kumtumia.
Sasa hapo tunajimaliza na nini, kila usharika una projects kubwa na hayo ni maono ya KKKT kama taasisi na sio maono ya mtumishi mmoja, mbona makanisa mengi ha KKKT yana miradi mikubwa mbali na kijitonyama? Hebu acheni fitnaKKKT mnajimaliza. Tunawaonea wivu Kwa dhahabu mnayoichezea. Unajua Kwa nn hakuna projects za maana Kwenye misikiti mingi? Governance!
Mbona unamshutumu Mchungaji? Una uthibitisho kuwa yeye amepingana na maamuzi ya Uongozi,au unamshushia lawama kutokana na maoni ya watu humu jamvini?Watu mnamjazaa sana ujinga Kimaro alafu nae ni mtu mzimaa ilaa haoni hata akioneshwaaa hao washirikaaa Watabaki Kijitonyama na yeye ataiacha kijitonyama maana yeye sio wa kwanza hapo na wala hatakuwa wa Mwisho...!! Uhuniii kama huu wa kutaka kujikutaa Mungu mtu kwenye kanisaa hauruhusiwii kabisaa..
Kusema ukweli siku hizi ni kosa kubwa sanaSahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Msasani ni tofauti na yale majengo ya kijitonyama na mbezi beach nadhani based on locationMajengo yote yamedoda? Msasani KKKT nako jengo lake limedoda?
Kimaro ajirekebishe. Ajishushe. Aombe msamaha na aendelee na wito wake - Kijitonyama au kwingineko. Na Mungu Atazidi kumtumia.
Kiutaratibu huenda alikengeuka. Apewe onyoKusema ukweli siku hizi ni kosa kubwa sana
Hapana nimemjibu anaesema bila kimaroo kanisa litadodaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa kimara ni nani kwani kkkt???Mbona unamshutumu Mchungaji? Una uthibitisho kuwa yeye amepingana na maamuzi ya Uongozi,au unamshushia lawama kutokana na maoni ya watu humu jamvini?
Wachungaji makini alipaswa in kufikiria kabla ya kwenda kuchukua mkopo benki (white elephant projects)Msasani ni tofauti na yale majengo ya kijitonyama na mbezi beach nadhani based on location
Kwani likizo ni muda gani??? Nani anaepanga utararibu wa likizo kwa wachungaji?? Mnataka kulipangia kanisa mpaka utaratibu wa likizo kisa kimaro acheni uhuniiKumbe Kanisa limetoa sababu za kumpatia hiyo likizo ya siku 60? Na kama limetoa ni sababu zipi hizo unaozomshauri mpaka aombe msamaha?
Ndio maana ameambiwa apishe kwa muda wa siku 60 uchunguzi ukamilike, sasa nyie mmeanza kushuyumu maamuzi ya kanisa kabla hata uvhunguzi haujakamilika na watu kupewa taarifaKumbe Kanisa limetoa sababu za kumpatia hiyo likizo ya siku 60? Na kama limetoa ni sababu zipi hizo unaozomshauri mpaka aombe msamaha?
Msikilize na mchungaji Hananja, amesema mengi yanayoonesha angalu issue ni Nini. Wivu na unafiki kaviongelea piaHatujui kwa hakika tuupe muda wakati.. Lakini unapokuwa kiongozi wa kiroho punguza kidogo ya kimwili
Bado pia sijaona kilichoharibika kwa sababu ilr ni assetWachungaji makini alipaswa in kufikiria kabla ya kwenda kuchukua mkopo benki (white elephant projects)
Aende akafanye hayo mazuri sehemu nyingine. Hiyo ndio ilikuwa mifumo ya wamisionari. Unapelekwa sehemu ngumu ukiweza kuleta maendeleo unajamishwa na kupelekwa sehemu mbovu zaidi.KKKT ni taasisi na sio Mali ya mtu binafsi
Anawajibika Kwa taasisi ambayo ndiyo mwajiri wake
Taasisi ndiyo inajua kwanini imempa likizo ya siku 60
Umaarufu wake hauondoi mapungufu yake
Umesema "watu wanamjaza Mchungaji na yeye anajaaa".Ndiyo maana nikakuuliza.Mchungaji nimeona video yake akiwaaga waumini na akaweka bayana anatii mamlaka,sasa haya mengine ni maoni tu ya watu na have nothing to do na Mchungaji Kimaro.Hapana nimemjibu anaesema bila kimaroo kanisa litadodaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa kimara ni nani kwani kkkt???
Ni kweli mshana, mtumishi wa kiroho lakini anaongozwa na mwili hafai kabisaHatujui kwa hakika tuupe muda wakati.. Lakini unapokuwa kiongozi wa kiroho punguza kidogo ya kimwili