Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Watumishi huwa wanahamishwa, nadhani hata serikalini au taasisi uoyote hayo yapo na kila taasisi inafanya kukingana na miongozo na taratibu zake, kimaro alikua kariakoo akaletwa kijitonyama na sasa ameondoka atapelekwa pengine akaendeleze utumishi wakeSasa kama ni utaratibu uliowekwa na Dayosisi hizi re-shuffle za wachungaji zina maana gani?
Sasa mnataka akae kijitonyama milele?
Mnapiga kelele wakati hata Dayosis haijatoa statement mjue upande wa pili wa shilingi ukoje, mmekua wepesi kuhukumu