**Tumsubirie tuone. Ila wakati Kimaro yupo likizo tuliona mabadiliko Tuliokuwa tunafuatilia ibada YouTubeHivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?.......................kuna nini hapa mbona kama kuna kitu nyuma ya pazua
Waluteri wapi hao unawashutumu VinjiiWalutheri hamtakaa kwa amani kamwe siku zote yatakua hayahaya maana chimbuko leno toka kwa Martin chanzo chake ni Kutokua na utii, kujifanya mkubwa kuliko taasisi, Rebellious, nk.
So ni kama kalaana fulani hivi.
Just saying don't get me wrong!
Kwani amefanya niniAmepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani
Kwa taarifa tu jengo lipo wazi almost 90% hata TEKU walishahama.Kimaro ameingia kijitonyama wakati jengo limekamilika, na wakati huo nakumbuka kuna chuo kimoja walikua wakodi jengo hilo na mpaka sasa wapo
Mimi nimehama kijitonyama miaka ya 2015 ambapo jengo ya kitegauchumi lilikua limekamilika na walikua wanatangaza kila jumapili kwamba kuna nafasi za kupanga kwenye jengo la kitegauchumi kwa mtu anayetaka, sasa wewe sijui unazungumzia kijitonyama ipi ndugu
Kijitonyama kwa hapa Dar ina bamba Toka miaka ya Tisini hasa kwa umahiri wa kwaya yao. Labda uniambie Kimaro alikuwa hapo tangu miaka ya hiyoKila usharika KKKT una baraza la wazee, sharika ngapi zimefanya hayo yote? Nenda Usharika wa Sinza, hiyo Youtube Chalinze ikiwa live viewers wakizidi sana 15 na bado wanapambana na Deni mpaka kesho, Mwenge hali kadhalika.
NB: Kimaro hata apelekwe GEZAULOLE ataonyesha maajabu, jiulize kabla ya Kimaro-Knyama hapo Kinyama mbona kulikua jiiiii
Naye akimbie tu.... meku anapigwa spana mbaya...Hiyo barua imekaa kama kumdhalilisha Dr Kimaro. Kwa kosa lipi umpe likizo siku 60? Kama ni uhamisho kwann isiwe sasa? Haya mambo ndo yaliwakimbiza kina Mwingira KKKT
Nimesharekebisha. Usikwepe hoja ya msingi.Kumbe amefukuzwa na siyo likizo tena ya siku 60? Nakiri kumbe sina ufahamu na hili sakata.Ngoja niwe msomaji zaidi ili nilielewe kwanza.
KWAYA ndo Usharika? Hata Mabibo farasi ilibamba miaka ya 1990sKijitonyama kwa hapa Dar ina bamba Toka miaka ya Tisini hasa kwa umahiri wa kwaya yao. Labda uniambie Kimaro alikuwa hapo tangu miaka ya hiyo
Sasa jengo kuwa wazi ita no one fault, mbona jengo la mbezi brach lipo wazi 95%Kwa taarifa tu jengo lipo wazi almost 90% hata TEKU walishahama.
Sikupingi ndugu. Ndo hoja tunapswa kuijadili. Hivyo vitegauchumi vilijengwa Kwa mikopo (ambayo Sasa inaumiA waumini)Sasa jengo kuwa wazi ita no one fault, mbona jengo la mbezi brach lipo wazi 95%
Mara nyingi naona kkkt hua hawaishi malumbano huko mbeya ilikua hivo, Kubwa kuliko sasa unafahamu mgogoro wa kugombea Dayosisi Meru miaka ya 90s?? Hadi wakawa wanauana Sijui wanafeli wapi hawa watu!Waluteri wapi hao unawashutumu Vinjii
Hakuna cha udhalilishaji, apumzike uchunguzi ufanyikeHiyo barua imekaa kama kumdhalilisha Dr Kimaro. Kwa kosa lipi umpe likizo siku 60? Kama ni uhamisho kwann isiwe sasa? Haya mambo ndo yaliwakimbiza kina Mwingira KKKT
Mission gani accomplish mzee wakati kuna wengine aliwakuta na sasa yeye anaondoka ila bado wako pale pale ina maana wao mission zao ni discomplishHuenda alikuja Kwa kutumwa sasa mission accomplished probably!
Uchunguzi wa Kariakoo ulibaini nn? Please shareHakjna cha ufhalilishaji, apumzike uchunguzi ufanyike
Kimaro aliondoka kariakoo kwa vuguvugu la upotevu wa mapato ndio akaletwa Kijitonyama, kwa nini mnakua wepesi kusahau?
Wote hao Wana MALENGO ya kiuchumi na Wana makubaliano na serikali!!Kama ni TRA waanzie kwa mwamposa kwanza halafu ndio waje huku kwingine
Kwa sababu ni taasisi huru, kuna wenzetu wanapigwa mkwara fukuto lipo ndani kwa ndani hawaruhusiwi kuongea na sisi tunadhani majirani taasisi yao ni imara kumbe taasisi yao sio huruMara nyingi naona kkkt hua hawaishi malumbano huko mbeya ilikua hivo, Kubwa kuliko sasa unafahamu mgogoro wa kugombea Dayosisi Meru miaka ya 90s?? Hadi wakawa wanauana Sijui wanafeli wapi hawa watu!