Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Walutheri hamtakaa kwa amani kamwe siku zote yatakua hayahaya maana chimbuko leno toka kwa Martin chanzo chake ni Kutokua na utii, kujifanya mkubwa kuliko taasisi, Rebellious, nk.
So ni kama kalaana fulani hivi.

Just saying don't get me wrong!
 
Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?.......................kuna nini hapa mbona kama kuna kitu nyuma ya pazua
**Tumsubirie tuone. Ila wakati Kimaro yupo likizo tuliona mabadiliko Tuliokuwa tunafuatilia ibada YouTube
 
Walutheri hamtakaa kwa amani kamwe siku zote yatakua hayahaya maana chimbuko leno toka kwa Martin chanzo chake ni Kutokua na utii, kujifanya mkubwa kuliko taasisi, Rebellious, nk.
So ni kama kalaana fulani hivi.

Just saying don't get me wrong!
Waluteri wapi hao unawashutumu Vinjii
 
Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani
Kwani amefanya nini
 
Kimaro ameingia kijitonyama wakati jengo limekamilika, na wakati huo nakumbuka kuna chuo kimoja walikua wakodi jengo hilo na mpaka sasa wapo

Mimi nimehama kijitonyama miaka ya 2015 ambapo jengo ya kitegauchumi lilikua limekamilika na walikua wanatangaza kila jumapili kwamba kuna nafasi za kupanga kwenye jengo la kitegauchumi kwa mtu anayetaka, sasa wewe sijui unazungumzia kijitonyama ipi ndugu
Kwa taarifa tu jengo lipo wazi almost 90% hata TEKU walishahama.
 
Kila usharika KKKT una baraza la wazee, sharika ngapi zimefanya hayo yote? Nenda Usharika wa Sinza, hiyo Youtube Chalinze ikiwa live viewers wakizidi sana 15 na bado wanapambana na Deni mpaka kesho, Mwenge hali kadhalika.
NB: Kimaro hata apelekwe GEZAULOLE ataonyesha maajabu, jiulize kabla ya Kimaro-Knyama hapo Kinyama mbona kulikua jiiiii
Kijitonyama kwa hapa Dar ina bamba Toka miaka ya Tisini hasa kwa umahiri wa kwaya yao. Labda uniambie Kimaro alikuwa hapo tangu miaka ya hiyo
 
Hiyo barua imekaa kama kumdhalilisha Dr Kimaro. Kwa kosa lipi umpe likizo siku 60? Kama ni uhamisho kwann isiwe sasa? Haya mambo ndo yaliwakimbiza kina Mwingira KKKT
Naye akimbie tu.... meku anapigwa spana mbaya...
 
Kumbe amefukuzwa na siyo likizo tena ya siku 60? Nakiri kumbe sina ufahamu na hili sakata.Ngoja niwe msomaji zaidi ili nilielewe kwanza.
Nimesharekebisha. Usikwepe hoja ya msingi.

Huu ni mtihani kwa Kimaro na jinsi atakavyouchukulia ndiyo itaonyesha kama ni mtumishi wa Mungu kweli au ni mtu aliyelewa umaarufu na majivuno kiasi cha kudhani kuwa bila yeye kazi ya Mungu haiwezi kuendelea.

Mungu na Amsaidie [emoji1545]
 
Sasa jengo kuwa wazi ita no one fault, mbona jengo la mbezi brach lipo wazi 95%
Sikupingi ndugu. Ndo hoja tunapswa kuijadili. Hivyo vitegauchumi vilijengwa Kwa mikopo (ambayo Sasa inaumiA waumini)
 
Waluteri wapi hao unawashutumu Vinjii
Mara nyingi naona kkkt hua hawaishi malumbano huko mbeya ilikua hivo, Kubwa kuliko sasa unafahamu mgogoro wa kugombea Dayosisi Meru miaka ya 90s?? Hadi wakawa wanauana Sijui wanafeli wapi hawa watu!
 
Hiyo barua imekaa kama kumdhalilisha Dr Kimaro. Kwa kosa lipi umpe likizo siku 60? Kama ni uhamisho kwann isiwe sasa? Haya mambo ndo yaliwakimbiza kina Mwingira KKKT
Hakuna cha udhalilishaji, apumzike uchunguzi ufanyike

Kimaro aliondoka kariakoo kwa vuguvugu la upotevu wa mapato ndio akaletwa Kijitonyama, kwa nini mnakua wepesi kusahau?
 
Huenda alikuja Kwa kutumwa sasa mission accomplished probably!
Mission gani accomplish mzee wakati kuna wengine aliwakuta na sasa yeye anaondoka ila bado wako pale pale ina maana wao mission zao ni discomplish
 
Hakjna cha ufhalilishaji, apumzike uchunguzi ufanyike

Kimaro aliondoka kariakoo kwa vuguvugu la upotevu wa mapato ndio akaletwa Kijitonyama, kwa nini mnakua wepesi kusahau?
Uchunguzi wa Kariakoo ulibaini nn? Please share
 
Kama ni TRA waanzie kwa mwamposa kwanza halafu ndio waje huku kwingine
Wote hao Wana MALENGO ya kiuchumi na Wana makubaliano na serikali!!

Mtumishi wa Mungu wa kweli ni tishio KWA serikali na Dini zote!

Mungu hana Dini wala taratibu za kidini kiutendaji!!

Mungu mifumo yake ni nje ya utaratibu wa KIDINI na Serikali!wala Mungu hana mafungamano na serikali za kidunia!!
 
Mara nyingi naona kkkt hua hawaishi malumbano huko mbeya ilikua hivo, Kubwa kuliko sasa unafahamu mgogoro wa kugombea Dayosisi Meru miaka ya 90s?? Hadi wakawa wanauana Sijui wanafeli wapi hawa watu!
Kwa sababu ni taasisi huru, kuna wenzetu wanapigwa mkwara fukuto lipo ndani kwa ndani hawaruhusiwi kuongea na sisi tunadhani majirani taasisi yao ni imara kumbe taasisi yao sio huru

Sijui umenipata lakini
 
Back
Top Bottom