Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Uchunguzi wa Kariakoo ulibaini nn? Please share
Kariakoo hakupewa likizo bali alipewa uhamisho baada ya waumini kulalamika upotevu wa mapato bila taarifa, na wengi walimlalamikia mchungaji hali iliyosababisha baadhi ya watumishi kuhamushwa akiwemo mchungaji
 
Kwa sababu ni taasisi huru, kuna wenzetu wanapugwa mkwarq fukuto lipo ndani kwa ndani hawaruhusiwi kuongea na sisi tunadhani majirani taasisi yao ni imara kumbe taasisi yao sio huru

Sijui umenipata lakini
Kwakweli sijui ya makanisa mengine..nilikua nakompare tu Rc yangu na yanayoendelea huko kkkt..Sidhani mambo kama haya yaweza tokea kwetu halafu waumini wakayafumbia macho.
Kwingine Fpct, sda, nk sifaham
 
Dk Shoo ameshanusa hivyo viwanja, anavitaka pamoja na dalali mwenzie askofu wa Dar es salaam

Walienda kuunza hotel mbeya Mwaikali akawagomea, wakaanzisha vita.

Wakakodi wapiga debe wa stendi, wakawaita wajumbe wa mkutano mkuu wa kumfukuza Mwaikali
Mpinga Kristo..
 
Kwakweli sijui ya makanisa mengine..nilikua nakompare tu Rc yangu na yanayoendelea huko kkkt..Sidhani mambo kama haya yaweza tokea kwetu halafu waumini wakayafumbia macho.
Kwingine Fpct, sda, nk sifaham
Rc ndo worse kabisa ni heri yetu ambayo yanafanyika kwa uwazi, yenu ni ya kificho na vitisho
 
Kwakweli sijui ya makanisa mengine..nilikua nakompare tu Rc yangu na yanayoendelea huko kkkt..Sidhani mambo kama haya yaweza tokea kwetu halafu waumini wakayafumbia macho.
Kwingine Fpct, sda, nk sifaham
RC msemaji Ni Mmoja tu na yupo Vatican anawateulia mpaka Askofu huko Mbulu-Dongobesh
 
Huyo Anna atakuwa amekariri tu liturujia katika kusalisha.
Kipaji au ndoto(maono) ya mtu ni kama mimba kwa mwanamke.
Hakuna mwanamke anaeweza kukugawia sehemu ya mimba aliyo nayo. Anachoweza kufanya ni kukuelekeza tu kwa mume aliyempa mimba ili kama ataridhia akupe na wewe.
Hivyo kumkabidhi Anna maono ya Eliona ni Impossible mission.
 
Kwani ni uongo?

Katolic wako strong mzee! Hata ukimuuliza Malasusa au Shoo watakwambia hivyo.

Kosa kubwa la hapa tanzania ukiwa msema ukweli.

Hicho pia kilimgharimu Magufuli, kuongea ukweli.
Huko Moshi wana-RARUA matako ya watoto...
 
Mfano wako ni mzuri sana
 
Hawa wanaoandamana na kulaumu wanaenda kinyume na taratibu. Watulie Kanisa litoe muongozo. Hapo ni kufanya mtu aonekane ni muhimu kuliko taasisi yenyewe! Ukiona una akili hizo ujue bado mchanga kiroho.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwaya ya TARUMBETA ilishapotea Kimaro kaifufua
Kwa hiyo alikua naongoza kwaya na waumini aisowaamini, waumini matapeli,majangili, wezi wahed, kama mtumishi wa kiroho unaongoza watu wa namna hiyo tunapata mashaka kwamba yawezekana kimaro nae ni jizi,jangili, mwizi wahed,

Ifike mahali tuheshimu ukristo, huwezi kuupinga ukristo hadharani namna hiyo ilhali wewe jukumu lako ni kumtangaza Kristo na kuhubiri watendo mema ili watu wafuate matendo ya Kristo.

Imagine Waziri mkuu asimame mbele ya hadhara asemr serikali ni wezi watumishi wote wezi, raisi mwenyewe mwizi na jangili, vyombo vya ulinzi matapeli wote,na aende mbali na kusema yeye anafanya kazi na upinzani kwa sababu hamuanini mtu hata mmoja wa chama chake wala serikali...unadhani syatem itamuacha?
 
Wape za uso, Kanisani unafuata nyota ya mchungajii au kumuomba Mungu wako?
 
Watu weusi sisi ni tatizo hapa duniani.
Ukifanya mema unakua tatizo, ukifanya mabaya unakua tatizo mradi basi tu sisi ni viumbe hai kama ilivyo miti, majani na wadudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…