Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Nimesoma comment kwanzia mwanzo mpaka mwisho nilichokigundua katika uzi huu

kuna watu wamejazana ambao wanasali hapo kijitonyama tena wengine wachangiaji wanaokosoa na kutetea

kuna mdau mmoja bila shaka atakuwa ni mzee wa kanisa wa kijitonyama aliyetemwa kwaiyo machungu ya kutokuwa kwenye baraza la wazee amekuja kutoa machungu yake huku maana ulaji si unakuwaga kwanza kwa baraza la wazee hasahasa wale watunza fedha wa usharika kwaiyo mrija umefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo anamsagia kunguni mchungaji wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....upone kwa jina la Yesu wee mzee wakanisa mstaafu usiyetaka kustaafu
 
Hivi huyu kimaro ni nani hasa Hadi kutrend namna hii Jf!? Au ni member humu!?

Kila ninapo-refresh, nyuzi zake haziishi humu....kuna utumishi kweli hapa!?

Au it's all about kick! Trying to turning back the hands of time!?

You can't turn back the hands of time on this dispute!

Huo ndio ukweli mchungu! Sikio halizidi kichwa, huwezi kushindana na ulipotokea!- the base/roots

Kuna maisha mengine nje ya hapo
 
KKKT

wao wanapungua nn? Mbona jamaa alikua mnyenyekevu? Ukristo wa kusoma liturjia mwanzo-mwisho uliwagharimu Roman ndo maana sasa hivi wameanzisha JUMUIYA full kutishana ili waumini zaid wasitoroke kwenda kutafuta kwingine
KKKT hawana jumuiya?!!??
 
Mnaitukana KKKT na mnadai ameleta uhamsho, uhamsho wa matusi. Unafahamu uhamsho?. Uhamsho mnaandama mmevaa visuruari vya kubana?. Tena kanisani?. Be serious



Hapa unataka kusema nini?

Kwenda kwenye kadhia kama ile ya kuonesha Hisia kwa watu wengi vile chochote chaweza tokea mfano kusukumana, kuangushana kwa bahati mbaya ,

Kwa kuvaa suluari kwa mazingira yale ni sahihi kabisa.

Ndio maana jeshini vazi ni suluari bila kujali jinsia.

Mimi sipendagi kuona mwanamke amevaa suluari lakini kwa mazingira yale niliwaelewa.

Au ulitaka wavae magauni au skirt upepo ukija uwaache msingi wazi uangalie?
 
Hizi project Ni minor Sana ukilinganisha na anachofanya mastai pale kimara korogwe Kuna shule na hospital na mall na hzo zote za evening na morning Glory

Alichonikera Ni sifa alizo wapa wakatoliki waswasi Tena mbele ya kwaya kwa kuwaita viongozi wetu kuwa Ni matapeli sijapenda hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli au sio kweli? Kama ni kweli alipaswa kusifia gizani?

Swala la watumishi wa Mungu wenye upako maalumu ni swlaa binafsi. Ukimtoa Mastai pale Jotogwe, jua kwamaba kila kitu kitasimama, watu wanafuata upako wake, sadaka nyingi zinatokana na upako wake. Akiondoka watu hawatakuja kufwata majengo.

KKKT wangekuwa na utaratibu wa kuhamisha wachungaji after a certain period kusingekuwa na haya yote. Ukishamuacha mtu akakaa 7-10yrs unafanya mpaka waumini wajimilikishe huyo mtu hasa akiwa anafanya mambo mazuri ya marndeleo na ana mahubiri mazuri plus hiyo karama nyingine ya "miujiza".
 
Kumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iweje
Mimi siyo muumini wa KKT nauliza hao wazee waliweza hayo yote kabla ya uwepo wa Kimaro hapo usharikani Kijitonyama?
 
Kwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn

Ego

Kimaro baada ya kupata mafanikio makubwa akaanza kiburi nabkuendesha kanisa kinyume cha taratibu na miongozo ya kanisa

Akipewa maonyo anakuja madhabahuni ni kuanza kunanga uongozi anaonewa na kuwatengenezea waumini picha kuwa hatakiwi

Umaarufu na kiburi vimemponza
Hajui kula na vipofu
 
Ego

Kimaro baada ya kupata mafanikio makubwa akaanza kiburi nabkuendesha kanisa kinyume cha taratibu na miongozo ya kanisa

Akipewa maonyo anakuja madhabahuni ni kuanza kunanga uongozi anaonewa na kuwatengenezea waumini picha kuwa hatakiwi

Umaarufu na kiburi vimemponza
Hajui kula na vipofu
Mnajikanganya eidha kwa makusudi au kutoijua imani ya Kikrìsto.
Inaonyesha mnaishi katika mapokea na litrujia.
Unapoihubiri imani ya kweli na sio mapokeo ya dini.
Huwezi kuhubiri imani ya kikristo kwa ajili ya kuwapendeza wakuu wa dini bali kumpendeza Mungu.
Kkkt wengu ni mambumbu katika imani
 
Tena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena
Hapana Mwenyenzi Mungu Mtakatifu ndio shahidi wa Kweli Daima
 
Ego

Kimaro baada ya kupata mafanikio makubwa akaanza kiburi nabkuendesha kanisa kinyume cha taratibu na miongozo ya kanisa

Akipewa maonyo anakuja madhabahuni ni kuanza kunanga uongozi anaonewa na kuwatengenezea waumini picha kuwa hatakiwi

Umaarufu na kiburi vimemponza
Hajui kula na vipofu
Lete ushahidi
 
Sasa angeanza na upanuzi wa kanisa (ghorofa 3) si ndio ingekua nongwa? KKKT mlipata bahati kupata mtumishi mwenye maono. Ila mkaleta mchezo
 
Mnajikanganya eidha kwa makusudi au kutoijua imani ya Kikrìsto.
Inaonyesha mnaishi katika mapokea na litrujia.
Unapoihubiri imani ya kweli na sio mapokeo ya dini.
Huwezi kuhubiri imani ya kikristo kwa ajili ya kuwapendeza wakuu wa dini bali kumpendeza Mungu.
Kkkt wengu ni mambumbu katika imani

Kwanini sasa yupo kweye kanisa linalo ongozwa na miongozo ya kanisa?

Si aanzishe kanisa lake aendeshe kwa mujibu wa maono yake

Ukiwq Rc Padri hutakiwi kuoa.... period
Huo ndio msimamo wa kanisa na sio Bibilia wala ukristo, kama huwezi au hutaki usiwavuruge wenzio hama nenda panapo kufaa

Hata wakina kakobe nk wanamiongozo ya kanisa huwezi ondoka
 
Lete ushahidi

Ushahidi gani unataka?
Nasali hapo mkuu

Kimaro kila onyo au hata ushauri akipewa siku hiyo mahubiiri yatakua ndio hayo
Ata nanga hapo na kusema haogopi wala kufuata mtu bali anafuata roho anavyo muongoza..... hapa sasa ndio huenda kinyume na kanuni,taratibu na miongozo ya kanisa anakomaa na anacho kiamini yeye

Akaanzishe kanisa lake litakalo ongozwa na roho mtakatifu ananvyo muongoza
Huku KKKT kunamiongozo
 
Hivi mchungaji kupata uhamisho ni kosa? Au sio utaratibu wa kawaida?
Tuache uchochezi wa kijinga.
RC mapadre hata maaskofu huhamishwa na hutasikia kelele
 
Back
Top Bottom