Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Nimekufuatilia sana nikagundua wewe mfia kkkt na haukubaliani ma mabadiliko ya kiroho.
Bado unaipenda kkkt iliyodumaa kiroho na hukupendezwa na huduma za uamsho za Kimaro.
Nimekugundua kuwa umhafidhina na sio imani sahihi ya Kikristo.

Kkkt ni dude kubwa ambalo halina msaada katika jamii bado lipo kuwanyonya wa kkkt kimapato ilhali mrejesho katika jamii ni hafifu sio kiriho wala kimwili.

1. Shule za kkkt ziko kipigaji ma ziko taabani
2. Hotel ya corodor spring wakunwa walipiga zaidi ya 3B waumini wamechangishwa karibu wafe na wakakimbia walio wengi.

3. Selian hospital nahitaji kusema zaidi?

Bora Kimaro mara 1000 kuliko hao wachungaji na maaskofu vihiyo.
Utashambuliwa Ila Hananja alikuwa KKKT pia na aliondoka kwasababu hizi hizi za Kimaro Sasa! wakati ufike Wana KKKT wakubali mabadiliko, malasusa anawapeleka motoni bila kujuaaaa
 
Aende akafanye hayo mazuri sehemu nyingine. Hiyo ndio ilikuwa mifumo ya wamisionari. Unapelekwa sehemu ngumu ukiweza kuleta maendeleo unajamishwa na kupelekwa sehemu mbovu zaidi.
Wamisionari toka wapi? Mbona walienda kukaa sehemu nzuri za Hali ya hewa Safi, Radhi yenye rutuba? Lushoto, Moshi, Mbeya, Kagera?
 
Kwani likizo ni muda gani??? Nani anaepanga utararibu wa likizo kwa wachungaji?? Mnataka kulipangia kanisa mpaka utaratibu wa likizo kisa kimaro acheni uhunii
Hata hujaelewa hoja yangu,rudi juu soma kwanza niliyemquote,kisha soma tena comment yangu,halafu rudi usome comment yako uone mparanganyiko uliouleta hapo mwishoni.
 
Msikilize na mchungaji Hananja, amesema mengi yanayoonesha angalu issue ni Nini. Wivu na unafiki kaviongelea pia
Huyu Hananja anatema povu, alitemwa na sababu zake zinasikitisha lakini sana sana zinachekesha, nasikia akianza mahubiri 98% ya mahubiri ni comedy, wakamchoka wakamtupa nje.... ana hasira mbaya...
 
Ndio maana ameambiwa apishe kwa muda wa siku 60 uchunguzi ukamilike, sasa nyie mmeanza kushuyumu maamuzi ya kanisa kabla hata uvhunguzi haujakamilika na watu kupewa taarifa

In and all KKKT kama taasisi huwa inatoa taarifa ya maamuzi yoyote kwa waumini wake kwa hiyo tujipe muda
Kumbe Kanisa limeshatoa tamko tayari kuwa kapewa likizo ya siku 60 kupisha uchunguzi? Hilo sikulijua,katika pita pita zangu kote kuhusu sakata hili nimeona tu Mchungaji akiaga na kuweka bayana baada ya Siku 60 atatakiwa kureport Makao Makuu ya Dayosisi.
 
Asset Vs liability? Halitumiki kibiashara Ila Benki wanadai chao
Hayo majengo yamejengwa kwa michango ya waumini, hii mikopo unayoizungumza ni ipi hebu nifumbue mamco ndugu yangu

Na hata kama kuna mkopo naamini jnalipwa kwa ile michango ya jengo knayokusanywa kila jumapili
 
Kumbe Kanisa limetoa sababu za kumpatia hiyo likizo ya siku 60? Na kama limetoa ni sababu zipi hizo unaozomshauri mpaka aombe msamaha?
Kwani kapewa likizo tu bila kupewa sababu? Kamuulize labda atakuambia. Mi simjui lakini hii tabia ya watumishi kuvimba kichwa na kudhani kuwa bila wao kazi za Mungu hazitaendelea hazina upako wa roho wa Mungu bali roho hii ya majivuno, utukufu na kiburi ni roho ya shetani.

Ameonewa hajaonewa ajishushe na kuomba msamaha na Mungu Anayemuabudu katika roho na kweli atamuinua tena zaidi ya hapo alipokuwa. Au ashupaze shingo afungue kanisa lake akafanye lo lote analotaka huko. Mungu Atainua wengine kuziba nafasi yake.
 
Kumbe Kanisa limeshatoa tamko tayari kuwa kapewa likizo ya siku 60 kupisha uchunguzi? Hilo sikulijua,katika pita pita zangu kote kuhusu sakata hili nimeona tu Mchungaji akiaga na kuweka bayana baada ya Siku 60 atatakiwa kureport Makao Makuu ya Dayosisi.
Yes ameambiwa apumzike kwa siku 60 uchunguzi ufanyike baada ya hapo atatakiwa kuripoti makao makuu ya dayosisi ambapo naamini atapewa pia majibu ya uchunguzi na hatua inayofuata

Aliaga lakini hakusema undani wa barua ndio maana watu wamechukua hili jambo kisiasa sana
 
Hayo majengo yamejengwa kwa michango ya waumini, hii mikopo unayoizungumza ni ipi hebu nifumbue mamco ndugu yangu

Na hata kama kuna mkopo naamini jnalipwa kwa ile michango ya jengo knayokusanywa kila jumapili
Hata hiyo mikopo ni deals ndo maana wakopaji hawaangalii kama utalipa au la? Kimaro hakutaka kujihusisha na hilo jengo. Akiwa hapo alianzisha project ya jengo jipya la Sunday school+ofsi (likajengwa Kwa 200m TZS) bila mkopo wa Benki KKKT mpewe nn?
 
Daah! Roman Catholic will remain the best Church ever in every thing eg. Leadership structure, Ethics, Faith and all what you know. Hivi kweli hata wewe mleta Uzi na usomi wako( nahisi kidogo umefanikiwa kubukua) unaweza ukaeleza kuwa hayo unayoita mafanikio ya Kimaro ni yeye ndio kayaleta na sio Mungu, kanisa na Waumini? Hao yatima amewasomesha kutoka pesa ya mfukoni mwake, ? Hicho kiwanja Cha mil 300 ni fedha zake binafsi au sadaka. Kanisa sio Mali ya mchungaji,Wala askofu. KKKT wanapaswa kusimama kwelikweli na ikiwezekana wakajifunze Kwa mlezi wao Catholic. La sivyo taasis itavurugwa sana na watu wasio tambua maadili na misingi ya kulinda taasisi Yao ya kidini. Ngoja niishie hapo,anayetaka kubishana NAMI aje saiz
Hapo umenena mkuu.
 
Kwani kafukuzwa tu bila kupewa sababu? Kamuulize labda atakuambia. Mi simjui lakini hii tabia ya watumishi kuvimba kichwa na kudhani kuwa bila wao kazi za Mungu hazitaendelea hazina upako wa roho wa Mungu bali roho hii ya majivuno, utukufu na kiburi ni roho ya shetani.

Ameonewa hajaonewa ajishushe na kuomba msamaha na Mungu Anayemuabudu katika roho na kweli atamuinua tena zaidi ya hapo alipokuwa. Au ashupaze shingo afungue kanisa lake akafanye lo lote analotaka huko. Mungu Atainua wengine kuziba nafasi yake.
Kumbe amefukuzwa na siyo likizo tena ya siku 60? Nakiri kumbe sina ufahamu na hili sakata.Ngoja niwe msomaji zaidi ili nilielewe kwanza.
 
Kabisa mwaya! [emoji848][emoji848]

Tulishapasahau miaka mingi tangu enzi za ile kwaya ya wakongo ya wimbo hakuna Mungu kama wewe Kijitonyama ilikuwa kama haipo,

Usharika huo umekuja kujulikana baada ya Pastor Kimaro kuja huo ndio ukweli.

Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?
Hivi huyo Anna anazani ataweza kutembelea nyota ya Kimaro kweli ?.......................kuna nini hapa mbona kama kuna kitu nyuma ya pazua
 
Yes ameambiwa apumzike kwa siku 60 uchunguzi ufanyike baada ya hapo atatakiwa kuripoti makao makuu ya dayosisi ambapo naamini atapewa pia majibu ya uchunguzi na hatua inayofuata

Aliaga lakini hakusema undani wa barua ndio maana watu wamechukua hili jambo kisiasa sana
Inaonekana Mkuu una access na taarifa nyeti za hili sakata.Asante kwa kushare na sisi wengine.
 
Hata hiyo mikopo ni deals ndo maana wakopaji hawaangalii kama utalipa au la? Kimaro hakutaka kujihusisha na hilo jengo. Akiwa hapo alianzisha project ya jengo jipya la Sunday school+ofsi (likajengwa Kwa 200m TZS) bila mkopo wa Benki KKKT mpewe nn?
Kimaro ameingia kijitonyama wakati jengo limekamilika, na wakati huo nakumbuka kuna chuo kimoja walikua wakodi jengo hilo na mpaka sasa wapo

Mimi nimehama kijitonyama miaka ya 2015 ambapo jengo ya kitegauchumi lilikua limekamilika na walikua wanatangaza kila jumapili kwamba kuna nafasi za kupanga kwenye jengo la kitegauchumi kwa mtu anayetaka, sasa wewe sijui unazungumzia kijitonyama ipi ndugu
 
Kuna watu wanaamini BADO eti hizi Taasisi zinazojiita za kiroho eti zinamtumikia Mungu huyu aliyetuumba!!

Hizi ni TRA sekta ya kiroho,Yaani ni uwekezaji wa kiuchumi wa kutumia Tawi la kiroho!!
 
Kuna watu wanaamini BADO eti hizi Taasisi zinazojiita za kiroho eti zinamtumikia Mungu huyu aliyetuumba!!

Hizi ni TRA sekta ya kiroho,Yaani ni uwekezaji wa kiuchumi wa kutumia Tawi la kiroho!!
Kama ni TRA waanzie kwa mwamposa kwanza halafu ndio waje huku kwingine
 
Back
Top Bottom