Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
😂😂😂😂🤣🤣Mandonga mtu kazi atakutana na Golola sura kaziSema mchizi anaogopesha. Braza Mandonga hapa sikushauri, kula kona.
Chief huyu jamaa sio anatisha tu hata jukwaani ni mzima sana jaribu kupitia wasifu wakeSema mchizi anaogopesha. Braza Mandonga hapa sikushauri, kula kona.
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani[emoji419][emoji375]Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano
Ndugu yangu huyu sio mnyanyua vyuma tu hata mikanda anayo mingi Kwa uzoefu wa huyu jamaa naona promota wamechoka kumuona Mandonga akicheza cheza jukwaani huyu Golola uwezo wake hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga sababu nimeshashuhudia mapambano yao wakipigana na watu tofautikuna utofauti mkubwa wa kujua kuinua vyuma na kupihana.
Gari linaweza kuwa kubwa sana ila dereva analiedezhabatakavyo.
Hayo mamisuli sio ya kutisha kama mtu hajui boxing.
Kabisa ilifika kipindi mabondia Uganda walikuwa hawataki kupigana na huyu jamaaIla ukija kwenye CV, aisee huyo Moses Golola CV yake imeshiba. Enzi anacheza kick boxing, alikuwa anatandika kweli wapinzani wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]"Hiri rijamaa rinaonekana rimekomaa kinoma!"
Ritamnyonya mavi (in someone's voice [emoji1787])
Hazizid round 2Kwahiyo tutegemee Mandonga kupigwa kwa Knokout sio?
Mandonga safari hii ana kila dalili ya kukalishwa chini mapema kabisa.Kabisa ilifika kipindi mabondia Uganda walikuwa hawataki kupigana na huyu jamaa
Basi tumshauri asipande ulingoni, asije kufia ulingoniHazizid round 2