Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

Kichaa Msafi

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1,087
Reaction score
2,134
Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])

Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.

Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.

Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani

Golola-Moses.jpg
moses-golola-29101ddc-89c4-4e84-baa7-89b524e48b1-resize-750.jpg
 
Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaitwa Umar Semata, ndie aliemchapa Golola, wala msipagawe na hilo body la Golola

download.jpeg


kuna utofauti mkubwa wa kujaza body kwa vyuma ama sindano na kupigana.

Hata gari likiwa kubwa sana dereva mzoefu analipiga rivazi.

Mandonga asishindane na huyu bondia kwenye nguvu, amkabili kwa speed, akili, uzoefu, n.k.
 
kuna utofauti mkubwa wa kujua kuinua vyuma na kupihana.

Gari linaweza kuwa kubwa sana ila dereva analiedezhabatakavyo.

Hayo mamisuli sio ya kutisha kama mtu hajui boxing.
Ndugu yangu huyu sio mnyanyua vyuma tu hata mikanda anayo mingi Kwa uzoefu wa huyu jamaa naona promota wamechoka kumuona Mandonga akicheza cheza jukwaani huyu Golola uwezo wake hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga sababu nimeshashuhudia mapambano yao wakipigana na watu tofauti
IMG-20210803-WA0116.jpg
IMG-20171209-WA0031.jpg
IMG_20180319_225740_318.jpg
 
Back
Top Bottom