Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

Betting, yule jamaa kala hela nyingi mno, atakubali kupigwa na nandonga mchezo unaisha
 
Hizo mbinu zote ulizompa mandonga ujue kuwa mandonga mwenyewe hana
 
Mi nataka niletee huyo wa chini kuliq kwa promota aliyeshika mkanda. Huyo mtoto wa mama anatia huruma ndio nataka nimnyooshe.
 
Mandonga kadandia mtumbwi wa vibwengo..🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanaangalia tu maslahi na sifa za kijinga

Au labda Mandonga na huyo Golola wameshakubaliana kuwa mmoja ashinde kisha wagawane pesa za mashabiki (viingilio) au dau lililowekwa.
 
Tatizo mechii hii tuna hofia uhai wake [emoji3][emoji3][emoji3]hatuko tayar kumpoteza mandoga maana hatujawai kua na mpiganaji kama yeye tz [emoji23][emoji23]
Yeye wadhani hana akili, akiona cha kufia atajifisha.
 
Mi binafsi napenda namna Mandonga anavopromoti Boxing.Nafikiri hata huko Kampala Atajaza Ukumbi.Mandonga ni PR Stunt wa Ngumi.Naona zaidi yeye ni Kama Promota wa Ndondi.
 
Nlkua naongea na promoter nikamwambia hapa bonding wetu akichomoka yeye mwanaume
promoter akajibu kweli akishinda na hapa basi tunampandishia dau
 
the worst thing about sports, the outcomes can be affected by many factors apart from cv or record.... psychology, body healthy, betting etc...so never underestimate MANDONGA to that point, they know what they doing....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…