Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

Promota mnataka Mandonga afie ulingoni?

Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])

Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.

Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.

Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani

View attachment 2692468View attachment 2692469
Betting, yule jamaa kala hela nyingi mno, atakubali kupigwa na nandonga mchezo unaisha
 
anaitwa Umar Semata, ndie aliemchapa Golola, wala msipagawe na hilo body la Golola

View attachment 2692486

kuna utofauti mkubwa wa kujaza body kwa vyuma ama sindano na kupigana.

Hata gari likiwa kubwa sana dereva mzoefu analipiga rivazi.

Mandonga asishindane na huyu bondia kwenye nguvu, amkabili kwa speed, akili, uzoefu, n.k.
Hizo mbinu zote ulizompa mandonga ujue kuwa mandonga mwenyewe hana
 
Ndugu yangu huyu sio mnyanyua vyuma tu hata mikanda anayo mingi Kwa uzoefu wa huyu jamaa naona promota wamechoka kumuona Mandonga akicheza cheza jukwaani huyu Golola uwezo wake hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga sababu nimeshashuhudia mapambano yao wakipigana na watu tofauti View attachment 2692480View attachment 2692481View attachment 2692483
Mi nataka niletee huyo wa chini kuliq kwa promota aliyeshika mkanda. Huyo mtoto wa mama anatia huruma ndio nataka nimnyooshe.
 
Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])

Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.

Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.

Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani

View attachment 2692468View attachment 2692469
Mandonga kadandia mtumbwi wa vibwengo..🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanaangalia tu maslahi na sifa za kijinga

Au labda Mandonga na huyo Golola wameshakubaliana kuwa mmoja ashinde kisha wagawane pesa za mashabiki (viingilio) au dau lililowekwa.
 
Tatizo mechii hii tuna hofia uhai wake [emoji3][emoji3][emoji3]hatuko tayar kumpoteza mandoga maana hatujawai kua na mpiganaji kama yeye tz [emoji23][emoji23]
Yeye wadhani hana akili, akiona cha kufia atajifisha.
 
Mi binafsi napenda namna Mandonga anavopromoti Boxing.Nafikiri hata huko Kampala Atajaza Ukumbi.Mandonga ni PR Stunt wa Ngumi.Naona zaidi yeye ni Kama Promota wa Ndondi.
 
Nlkua naongea na promoter nikamwambia hapa bonding wetu akichomoka yeye mwanaume
promoter akajibu kweli akishinda na hapa basi tunampandishia dau
 
the worst thing about sports, the outcomes can be affected by many factors apart from cv or record.... psychology, body healthy, betting etc...so never underestimate MANDONGA to that point, they know what they doing....
 
Back
Top Bottom