Promotion kwa kigezo cha Ndio Mzee ktk Mwalimu Nyerere Memorial Academy!!!!!

Duuu hii kali.
MSEMAOVYO wapelekee na hii maana najua huna haki ya kusema maana huna utafiti ila unabwabwaja tuu. Haya ni ya kweli na ungekuwa huru si mtumwa ungedhibitisha. Dk John Magoti asema "JK hana cha kumwambia seuze kamati ya wabunge?" NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40% KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza" kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU. MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO. UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu. DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU. Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO. HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi. LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA. NI NANI ANAYEYALINDA UOVU HUU WA CHUO HIKI HADI WANAKUWA NA KIBURI CHA RUSHWA KIASI HIKI? CHUO KINAKUFA KABISA ISIPOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA, WAFANYAKAZI WAHOJIWE KISIRISIRI WATAELEZA UOZO WOTE.
 
Mkuu hakuna utaratibu wa kumfikishia.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hiki angejua jinsi jina lake linavyotumika vibaya kuidhinisha mambo yasiyo ya kweli na aliowaamini kwa kutumia madaraka vibaya asingekubaliana nao.
 
[h=2]Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere[/h]
WANAJANVI SALAM?

Namasikitiko makubwa juu ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Kigamboni ambacho kwa ukweli mimi kama mtu wajirani na chuo hiki yanayotokea yananipa mashaka endapo katika serikali ya rais Kikwete kuna watu makini katika kusimamia elimu yetu.

Huyu mkuu wa chuo alishawahi kufungiwa mlango na watumishi miaka kazaa nyuma na akanusuriwa na mzee kingunge Ngiombare Mwiru.

Alistaafu akapewa miaka mitano akamaliza akapewa tena miaka miwili hadi feb 2014, sasa kunataarifa kuwa kaomba kujiuzuru haraka oct 2013 pamoja na Mkt wa bodi DK SALI A SALIM baada ya kuona moto unawake kila kona.

Moja; Magoti anatuhumiwa yeye na MR Lwambano kula zaidi ya Tsh milioni 300 za fedha ya gharama ya wanafunzi ya matibabu

Yani walichangisha pesa kinyume na agizo la serikali LA MWAKA 2008

Serikali iliagiza tangu mwaka 2008 kuwa mwanachuo au sekondari aliejiunga na bima ya afya Hatotozwa tena gharama ya matibabu na taasisi za umma na taasisi hizo zijiunge na bima ya matibabu

DK MAGOTI kwa njia za panya akaanzisha mchango wa matibabu wa shilingi laki moja kila mwaka kwa kila mwanazfunzi na kwa mwaka alichangisha zaidi ya milioni 150 kwa wanachuo waliokuwa takribani 1500,mchango huo ulidumu kwa muda waamiaka 3 hadi 2013 kutokana na kitumbua kuingia mchanga mara baada ya mwanachuo aliekuwa akisoma chuoni hapo kwa wakati huo ABUBAKAR ASENGA .D kuwasha moto wa kukataa kulipa gharama hizo na hatimae aliondolewa chuoni kwa kusimamishwa miezi 3 na kesi hadi sasa inaendelea ambapo chuo kimeshatumia zaidi ya milioni 10 kumlipa wakili wakuhakikisha mwanachuo huyo arudi chuoni hapo.

Magoti akaweka tangazo kuwa atarejesha pesa zote za wanachuo ambazo amezichangisha weye bima za matibabu ,jambo ambalo hajafanya hadi sasa, na wanachuo wengi wameshamaliza chuo na wako tangu miaka 3 nyuma, atarudishaje pesa hizi na hizi pesa zimetumikaje mana nasikia imebaki laki 6 tu?

Nani anazikagua? Wakati zahanati hapa chuoni inapewa ruzuku ya dawa na tabibu analipwa na serikali.
Hadi sasa wanachuo ambao hawana bima (na chuo hakitaki kuanzisha huduma hiyo chuoni) wanatakiwa kulipa shilingi laki moja kila mwaka, mwanachuo aumwe au asiumwe lazima aliepe na gharama hizo ni kwa zahanati ya chuo tu inayofungwa saa 10 jioni na tabibu ni huyo mmoja tu.

Mwanachuo akipewa rufaa ni kwa gharama zake,baaada ya malalamiko sasa Magoti kaamua eti mwakachuo akizidiwa zaidi atapelekwa Burhani hosp ambapo ameingia nao mkataba wa kifisadi pia.

Kila kitu huyu mzee anaamua mara baada ya kushauriwa na huyu bwana Lwambano ambae ndie anaonekana kumiliki utajiri wa Dk Magoti.

Kumbukeni huyu Lwambano ameajiriwa chuo cha Nyrere mara baada ya kufilisi kiwanda cha kahawa Moshi, na ameajiriwa akiwa na miaka 40 kinyume na taratibu za serikali.

Anafanya kazi zaidi ya tatu hapa chuoni,msajili,mhadhiri,msimam izi wa zabuni,msimamizi wa rasilimali watu na kadhalika.

Mara zote huyu bwana Magoti, alikpokuwa akiandikwa hapa mtandaoni na ufisadi wake alikuwa akitetewa na bwana mmoja anaejulikana kwa jina la Mabuba ambae ni memba wa sikunyingi humu ,na ni mfanyakazi hapa chuoni.
SASA MABUBA NAE YAMEMKUTA NA KAMA YUMO HUMU ASEME KWELI HAPA

Alikuwa afisa wa mitihani, akaamuriwa aweke somo la mtihani kwenye ratiba kinyuime cha taratibu kwa kuwa somo lilikuwa jipya na halikuwa kwenye mpangio wa mwaka, alikataa na siku ya mwisho, Magoti aliingia ofisini kwa Mabuba na kutunga mtihani,kuchukua karatasi za majibu na akaenda kwenye chumba cha wanachuo wanaotakiwa kufanya mtihani na kuwasimamia yeye mwenyewe kwa kuwa alitangaza somo hilo kuanza kufundishwa pasi na marekebisho ya kanuni wakati bwana Mabua alisema endapo somo hilo litafanyika basi atajiuzulu nafasi yake

Mabuba sasa AMEACHIA OFISI,ameelewa ukweli na uzalendo umemshinda akaamua kuachia nafasi na akaondolewa na kuteuliwa mtu mwingine ambae kwa kweli nikichekesho mana wanachuo imebidi wapate matokeo yao kwa njia ya kusoma kwenye matangazo kwenye ubao,,kwa kuwa hakuijua ofisi wala hakupewa semika ni kama kawaida ya Magoti ya kuhamka asubuhi na kusema wewe ndiwe utakuwa afisa mitihani na unakuwa.
NI DIKTETA MKUBWA.

Pole Mabuba, ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa maana lazima udhihiri.

Tatu; WATUMISHI HAPA CHUONI SASA hawapati allowance yeyote ile ikidaiwa hakuna pesa na pesa zilienda kujenga nyumba ya kukaa wanafunzi katika tawi la chuo cha zanzibar kinyume cha taratibu.

Chuo hakina fedha chuo ambacho kilikuwa kinakaribia idadi ya wanachuo 2000 miaka miwili iliyopita sasa walioomba kujiunga na chuo hawafiki 200 na kunahati hata wasiwasili wote, sasa chuo hakifikishi jumla ya wanachuo 1000
WAZIRI MKUU PINDA NJOO KWA ZIARA YA GAFLA HAPA CHUONI AMURU UZUNGUMZE NA WAFANYA KAZI BILA MAGOTI NA MR LWAMBANO KUWAPO,,,,,TUKWAMBIE MAMBO ZAIDI YA YALE YA MWAKA JUZI ULIPOKUJA NA KUKUTA UFISADI ULIOKITHIRI CHUONI.

HAPA CHUONI kulikuwa na mkuu wa idara ya maktaba huyu bwana ni Mmasai hakutaka mchezo aliletewa orodha ya vitabu 5 vilivyonunuliwa kila kimoja shilingi laki saba wakati vinauzwa shilingi elfu arobaini kariakoo, akapandisha mori na kwenda kwa Magoti,alipofika akaambiwa alaa kumbe unakiherehere na wakubwa WA NCHI HII…..
basi utaisoma namba, huyu bwana Mmasai ana first class degree katika mambo ya maktaba na aliajiriwa akiwa na diploma mpaka sasa ajatambuliwa wala kupandishwa cheo, wenzake wanapanda tu yeye kila mwaka anaambiwa bajeti si ya Wamasai

Mkt wa bodi ya chuo hiki ni DK SALIM AHAMED SALIM, DK HUYU ANAMAJUKUMU MAZITO YANAYOMPA NAFASI MAGOTI KUFANYA ATAKACHO kwakuwa hakuna mtu wakaribu kumfatilia.

ALICHUKUA MAGARI YA SERIKALI KWENDA KUTOLEA POSA YA mwanae Musoma na kushiriki kwenye harusi Arusha KAFANYWA NINI?

Lwambano kila kukicha anachukua magari ya serikali chuoni na kwenda nayo Rufiji kwenye shamba lake,
LWA MBANO SASA ANAMILIKI MAFUSO ZAIDI YA 7,EXTRIAL GARI YA KUTEMBELEA NA JUZI AMENUNUA PRADO NEW MODEL AMEIPAKI CHUMBANI NYUMBANI ANAPOISHI NA AMEIJENGEA UKUTA akifanya mpango wakubadili hati kuandika jila la nduguye.

Kila mara anawalingishia wafanyakazi wenzake kuwa yeye amejijenga vya kutosha na yupo tayari kwa chochote.
Mambo ya Magoti yalimkuta pia aliekuwa makam mkuu wa chuo Mr Mushi na kukataa kuongezewa mkataba na badala yake kuwa mwalimu wa kawaida,siku ambayo Mushi alisema hivyo haraka bwana Magoti akamteua mtu wake ambae yeye hajui kusema hapana bali NDIYO TUU anaitwa Mr Lunyelele kuchukua nafasi kabla ya bodi kuamua.

Sasa Lwamabano anapesa kuliko chuo, Juzi ameikopesha SACCOS YA wafanyakazi wachuo na yeye ndie anatembea na makabrasha ya saccos.

BWANA MAGOTI SIKU AKIKUTANA NA WANACHUO KUZUNGUMZA NAO,HOTUBA ZAKE NI MAARUFU KWA KUANZA HIVI, “NDUGU WANACHUO KAMA KAWAIDA HAKUNA MASWALI H APA”,ANAHUTUBIA ANAONDOKA
NAULIZA HIVI DK MAGOTI AMEKINUNUA CHUO CHA MWALIMU NYERERE?
MAANA CHUO SASA KINAITWA CHUO CHA KUMSAHAU NYERERE

Alimuajiri shemejie amabe alisomea vyeti vya mtu akiwa na diploma na kumsomesha hadi Phd bwana MHAGAMA,kilipo waka likawekwa tangazo eti ameamua kuacha kazi kwa hiari.

Sasa hapa chuoni bwana Magoti amemuajiri ndugu yake anaeitwa Mr KIOI,huyu bwan pia ameajiriwa chuo cha DIT suala ambalo nikinyume cha taratibu za serikali kwa mtu kuwa na ajira mbili rasmi ndani ya taasisi za serikali,utashangaa wakati Magoti ni mkubwa ktk nchi hii anatishia kila mtu,

Napita nimekuzoea
 
Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

Wana JF kumekuwa watu hususan Mkuu Uzalendi, Mpalamtoko na wengine juu ya tuhuma za chuo hicho, hapa naweka barua iliyoandikwa na bwana Mabuba kwenda kwa mkuu wa chuo. Kumbukeni ndugu huyu naye ni mtuhumiwa, amekuwa akituhumiwa kutoa vyeti feki. Nitajitahidi kuwaletea kila doc nitakayoipata.

Tuhuma hizi kama ni kweli, basi vyuo kazi ipo.​
paperclip.png
Attached Files

Napita nimekuzoea
 
Hii sasa ni fedheha katika taasisi ya Umma. Kuna ndg yangu amepewa promotion hapo na kusisitiziwa iwe siri yake maana yeye amependelewa tuu na wenzake waliomaliza shule wote wameachwa, kwa hiyo akivujisha tuu atarudishwa kwenye cheo cha awali. Nukuu kwenye barua hiyo hii hapa,

“You will be under probation for six months exclusive of any period of leave. It should be clearly understood that in the event of failing to prove suitable for the promotion during the probation period, you will be restored to the post you were serving prior to your promotion.

Other terms and conditions of service will remain unchanged.”

Ukweli ni kwamba hata walimu waliokuwa wanatufundisha hawana ari ya kazi kwani wamegawanywa ili watawalike "devide and rule". Promotion ni moja ya mbinu zinazotumika yaani ndio Mzee kwa wanaume na wake za watu wenye heshima zao na rushwa ya ngono kwa wanawake wa ndio mzee. Vielelezo vyote vipo nitaviweka hapa ktk muda muafaka. Nawasilisha.

Unaaaaa!
 
Back
Top Bottom