Mimi ndio nilisoma Ulaya, mdogo wangu kasoma USA kagoma kurudi anasema bongo hawezi kuishi!Mkuu acha kujificha bhana jitaid uwe unaonekana
Vp yule mdogo wako anayesoma ulaya amesharud? Nimeshaanda mang'ombe kabisa ya mahar
Hapana wengi hio RR wanaona ni PROhooo kumbe mkuu iv ulibadili id? Maana hapa naona unaitwa RRONDO badala ya PRONDO
Asante nawe poa nimejifunza mengi kule jf garage kupitia post zako. Lazima nitoe appreciation mkuuAisee nafurahi kusikia something positive. Asante mkuu.
AhahhahaKama uko serious nikufanyie booking...wawili ITAPENDEZAA
Naomba link magari WhatsAppAisee nafurahi kusikia something positive. Asante mkuu.
Sisi wote wanaume...fahamu hilo..Hahahaaaa mkuu kumbe wewe ndo umesoma ulaya vizur sana kiongoz wangu
Kwahiyo kwa mdogo wako ndo sitampata siyo?
Ile avatar ya mchepuko wangu umeipeleka wapi?Ahahhaha
Nakupendea hapo tu RRONDO
Ahahhah usiniambie unataka niirudisheIle avatar ya mchepuko wangu umeipeleka wapi?
Mkuu acha bas wewe si ulileta story ya dada yako yule aliyekuwaga kakosa mume kisa anatembelea gar kali hivyo akapewa ushaur na mama kuwa alipak awe anaenda kazin kwa mguu, ndo akapata mchumba mkala mpungaSisi wote wanaume...fahamu hilo..
Irudishe tafadhali....Ahahhah usiniambie unataka niirudishe
Hahahaaaa mkuu shunie humuwez huyo siyo wa level yakokwenye race ya kumpata mdogo wake rrondo Na Mimi naingia mkuu maana Shunie naogopa kumfuata. Sijui kwa nini roho yangu inasita.
Yule ni cousin sister, mdogo wa damu ni wa kiume.Mkuu acha bas wewe si ulileta story ya dada yako yule aliyekuwaga kakosa mume kisa anatembelea gar kali hivyo akapewa ushaur na mama kuwa alipak awe anaenda kazin kwa mguu, ndo akapata mchumba mkala mpunga
Ukasema mdogo wako mwingine wa kike yuko USA ndo nikakwambiaga akirud bongo nishutie au umesahau kaka?
Nitairudisha kwa heshima yakoIrudishe tafadhali....