lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
- Thread starter
- #221
mkuu,naomba nikwambie ukweli...Mi Kwa uelewa wangu mdogo, Aliens, dragon,na mazombi Hawaii ni viumbe ni ngumu kuonekana Kwa sasa,Ila ni viumbe watakaokuwa wanatumika kipindi cha New World Order katika kufanikisha mambo mbalimbali,movie za leo zimejaa uchawi na mazombi,si Kwa bahati mbaya just kukukna brainwash we home ni kitu cha kawaida Tu,hao aliens KAZI zao ndo kama hivyo kuwezekana teknolojia na mipango kutimia,mfano watakuja na uwezo WA kujua Quinine Mwitu Yuko Dar sehemu Fulani kulitia microchip ambazo utadungwa kupitia dawa unazomeza,chanjo za kila leo mara ndui NK vitu unavyojiuliza mbona huko ulaya hawana hizi chanjo,Au kupitia GPS za simu yako aidha Kwa kujua au kuto kujua simu yako inawapelekea location ulipo,sasa ikitokea Quinine Mwitu amekuwa liberious au hataki kutii namalaka iliyopo hyo ya New World Order hapo ndo atatumiwa mazombi yamteketeze au madragoni nk,Kwa sasa aliens unaweza usiwaone Ila wanatumika majukum Yao na kuna Siku watakuwa hadharani
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo movie ni Sci-fiction lakini kuna mambo wanayaelezea kwa siri nzito sna...
There are so many codes of reality being spoken inside the movies...
kuna movie moja inaitwa The matrix ,inamhusisha bwana mdogo Nero...
Ile move itafute halafu utagundua kinachoongelewa mule kupitiq reality hii tulionayo..
Kumbuke maisha unayoyaishi sasa jivi yalishaongeleka kupitia movie za mwaka 1970 huko ..
Unapokuwa unatazama kitu fuatilia kwa jicho la tatu hasa maneno wanayokuwa wanaongelea ..forget abaout the action being monitored inside but wanakuwa wanaelezea siro kwa mafumbo sana..
kuna movie mpya sasa hivi inaitwa DEADPOOL 2 ..
msikilize deadpool mwenyew maneno anayoyasema juu ya super hero people tunaoishi nao bila kuwajua...
kuna watu wanaamua wew leo ule nini ,ushindeje kwa kucontrol moody yako ,wanagenerate abnormal events zinazokufanya uchange moody yako..
Ila ili uweze kucontrol emotions hizo ni lazima uwe njee ya box kwanza...
Sent using Jamii Forums mobile app