Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

mkuu,naomba nikwambie ukweli...

hizo movie ni Sci-fiction lakini kuna mambo wanayaelezea kwa siri nzito sna...

There are so many codes of reality being spoken inside the movies...

kuna movie moja inaitwa The matrix ,inamhusisha bwana mdogo Nero...

Ile move itafute halafu utagundua kinachoongelewa mule kupitiq reality hii tulionayo..

Kumbuke maisha unayoyaishi sasa jivi yalishaongeleka kupitia movie za mwaka 1970 huko ..

Unapokuwa unatazama kitu fuatilia kwa jicho la tatu hasa maneno wanayokuwa wanaongelea ..forget abaout the action being monitored inside but wanakuwa wanaelezea siro kwa mafumbo sana..

kuna movie mpya sasa hivi inaitwa DEADPOOL 2 ..
msikilize deadpool mwenyew maneno anayoyasema juu ya super hero people tunaoishi nao bila kuwajua...

kuna watu wanaamua wew leo ule nini ,ushindeje kwa kucontrol moody yako ,wanagenerate abnormal events zinazokufanya uchange moody yako..

Ila ili uweze kucontrol emotions hizo ni lazima uwe njee ya box kwanza...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali wamekuwa programmed Ku pave ways Kwa ajili ya Hawaii viumbe,


Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mambo wanalimitiwa wasitoe siri nyingi sana..

We human being are nothing at ol interms of intelligent...

Yan kaaa kimya ufikilie despite being unaishi ,umejenga nyumba,una kazi yako ,but ni kitu gani hasa au ni uwezo gani ulionao ambao umefanya jambo flan asistancw kutoka kwa mtu yoyote..??

how much power do you have..??

baada ya kutafakari kwa muda ndo utakuja ugundue kuwa kuna watu wana nguvu na ndo wafanikishaji wa mambo yote..

human being are there as introductory being from other being..

Ukishajua kuwa huna uwezo wa kuprogram kitu halafu unasema binadamu ndo kiumbe mwenye akili zaidi wakati unachokifanya hata hakijulikani basi ujue umebeba genee kweli za hao watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasomaga vitabu vya David Icke aisee! Kweli mkuu si binadam tunaishi Tu hatujui hata kinachoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa unaitoa wapi? Unafaham maana ya neno alien? Hizi conspiracy theories inafaa sana kuchanganya na akili za zako. Nyingine ni chai tu wazungu wakiwa free wanapika wanaweka kwenye mitandao waswahili wanabeba kama yalivyo na kuamini.of course hata wazungu wasiotumia akili wapo.wanaamini.

 
Kuna siri nzito sana ulimwenguni wanadamu wachache sana ndio wanaozielewa
Wengi wetu tunaishi tu na kutimiza majukumu yetu ya kila siku kama kutafuta hela,kula,kunywa,kuzaana nk.
Huku tukisubiria kufa na ufufuo
 
[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio bible tu..ata quruan nayo n vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
according to molecular reality through DNA analysis najikuta nasema Proof..

But mindly bila kuhusisha utafiti huo najikuta nasema inawezekana...!!??

we mchango wako ukoje ...??

Sent using Jamii Forums mobile app

Ikiwa unasema ni proof through DNA Analysis means test zimefanyika na kuthibitisha.

Naomba uniambie hiyo test ilifanyika wapi na hao humanoid alliens walichukuliwa sehemu gani na nini kilitokea baada ya zoezi hilo kumalizika???
 
Ikiwa unasema ni proof through DNA Analysis means test zimefanyika na kuthibitisha.

Naomba uniambie hiyo test ilifanyika wapi na hao humanoid alliens walichukuliwa sehemu gani na nini kilitokea baada ya zoezi hilo kumalizika???
The study began in 2012 when Garry P. Nolan, an immunologist at Stanford University and lead researcher on the project, heard of the U.F.O. documentary, “Sirius,” which featured the tiny form as possible evidence of aliens. At the time, the film was still in production, so Nolan reached out to producers and offered to examine the mummy’s DNA,
Read more:

kwa maelezo zaidi publishment za jamaaa huyo Garry P .Noran



Sent using Jamii Forums mobile app
 
President John Adams passes the Naturalization Act, the first of four pieces of controversial legislation known together as the Alien and Sedition Acts, on this day in 1798.
Nimejaribu ku relate maelezo yako haya na habari yako nimeshindwa.

Je umeweka sababu ya kuwepo neno alien??

Nimeingia history.com na kukuta hii intro ya alien and sedition acts.
"The Alien and Sedition Acts were a series of four laws passed by the U.S. Congress in 1798 amid widespread fear that war with France was imminent. The four laws – which remain controversial to this day – restricted the activities of foreign residents in the country and limited freedom of speech and of the press."

At that time, what alien meant??
 

Ingekuwa vyema uweke hiyo specific publication hapa coz Dr Nolan ana research zaidi ya 180.

Then maswali niliyouliza kwamba baada ya test nini kilitokea kwa alien hujajibu ndugu
 
so Nolan reached out to producers and offered to examine the mummy’s DNA,
Huyo mummy alipatikana vipi mkuu??

Producers ndo walimtafuta au Dr Nolan ndio aliemtafuta??

Nnavyoelewa way back binadamu walikuwa wakizika miili ya watalawa kupitia njia ya mummification rejea wafalme wa misri ya zamani (pharaos)
 
Mimi nilishavisoma na nikaelewa kama kadoda11

Ila nilikuwa nataka unijibu wewe kwa uelewa wako alikuwa na wakina nani.?



Sent using Jamii Forums mobile app
Siwez kukujib mana ni nje ya mada hii lakini pia kama umesoma na kuelewa bado tena unatak ujue mimi nimeelewaje basi utakuwa hujasoma vitabu vyote basi sivyo utakuwa unataka tu mabishano yasio na maana na ninaomba tuishie hapa tu zaidi tutetee ama kupinga Mada hii bila kuchanganya upande wa pili
 
mmmmmh...unaweza ukanitajia research 10 alifanya Noran ambazo zinahusiana na Molecular Analysis kama kweli inamfahamu vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…