Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Huyo mummy alipatikana vipi mkuu??

Producers ndo walimtafuta au Dr Nolan ndio aliemtafuta??

Nnavyoelewa way back binadamu walikuwa wakizika miili ya watalawa kupitia njia ya mummification rejea wafalme wa misri ya zamani (pharaos)
nitajie research kumi unazozijua alizofanya Noran kuhusu genome research ndo uje hapa ...make naona kama hutanielewa...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nimekuelewa

Ila napingana na wewe kwenye suala la kuchanganya

Maana tupo ili kujifunza

labda hili nalo linaweza kuwapa ushawishi katika udadisi na kuunga Doti.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sijakuelewa,kwa hiyo hao unabisha kuwa hao aliens hawakuonekana zimbwabwe?,na hilo tobo halipo?,sio kila kitu usichokiamini ni conspiracy theory,vingine vimehappen for real
 
Shida mkuu watu wamejifungia ktk maarifa waliyonayo tu,hawataki kujifunza maarifa mengine halafu wanabaki kubisha kila kitu wasichokijua wao
hata mi nashangaaa sana..

they are just ignoring kila kitu bila kuwa na evidence za kuumiza vichwa vyao kusoma ..

Tatizo we dont open up our mind to receive new studied things from our friends ambao wamepata kujua jambo flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

I salute you Mkuu,hongera sana [emoji1474][emoji1474][emoji1305][emoji1319] umeandika vizuri sana na ukweli sana.Ni wachache sana tutakuelewa.Unapatikana wapi mkuu?unaishi wapi na unajihusisha na nini?
 
@lifecoded
Jamii kuubwa hapa haitakuelewa bse ni watu wapo wapo tu hawajihangaishi na kupata knowledge ya ziada.. ni kama tu uende kijijini huko ndani ndani uanze kueleza mambo ya technologia etc etc watakua wanachangia ilimradi tu au wanakuangalia tu

Ni kweli dunia ina watu wenye siri nyingi sana ndo maana kuna secret clubs zenye viapo vizito i.e masons, jesuits etc

binafsi nimemsom ickle David.. kiasi namuelewa sana japo kiasi pia ananiacha njia panda mno.. Alien wana exist katika dimensions nyinginezo na maisha yanaendelea ni kama tu ukiwasha tv yako ukaweka ITV haimanishi chanel nyingine hazifanyi kazi, nazo pia zinaendelea na vipindi vyake therefore na sisi ni hivi hivi its all about dimensions!! na unaweza kutrqin kuona vitu in a diferent dimension hawa tunao humi humu na universe ni kuuuubwa mno theres no way tuwe peke yetu!!

bahat mbaya sijui sana kuhusu sayansi kwenye suala la DNA hua nasima nabak najiuliza maswali

Dini ni tools too za kututawala na me binafsi siziamni kabisa!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe siyo msomaji wa vitabu na makala mbalimbali lazima ukubaliane na huyu mtoa mada, kwa swala la teknolojia wa einstein,graham bell,pierre and marie and others were they related to alliens ,soma upate kufahamu mengi mkuu ,ati alliens wametuumba tuwatafutie madini yao hhahahaha,
SWALI LANGU TENA
ILIKUWA RAHISI KUMUUMBA BINADAMU KULIKO KUCHIMBA/KUTAFUTA MADINI YAO

NB:server zako zikiwa hazina madini ya kutosha soma tuu uzi usichangie.
 
rudia uzi vizuri...wala sio madini tu ni pamoja na kuhifadhi hizo tarits( DNA )zao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu /Allah umewahi kumuona..?...mbona anajengewa mpaka majengo plus kutengewa muda/siku ya kumuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata katika hali ya kiimani MUNGU?ALLAH NI roho lkn hao viumbe ni vitu na kwenye masinema <mapicha tunaviona lkn atujawai kuviona kama viumbe hai vinavyoishi zaidi yakudanganywa
 
Mkuu Lifecoded Uko vizuri,nimekusoma vizuri.Ni kweli kabisa aliens can create humans,kuna binadamu kabisa ukiwangalia utadhani ni 100% humans but they are not,wengine ni humans-aliens hybrid.Upande wa RH + and RH - ni kweli kabisa wengi wetu ni RH + ,ambao ni - ni wachache sana na ni very powerful Katika hii DUNIA na wanaishi sana muda mrefu mfano UK queen & royal family (most of them are reptilian aliens na siyo binadamu wa kawaida ).
 
sure...sante sana mkuu kwa kuongezea ila watu wanadhani tunaunda story tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri tuu hao mnaoita alien sisi huenda tuna waita malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…