Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Alliens ni sawa na vampire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha inaonekana ni sci-fi lakini badae kunaweza kukaleta picha flani...Alliens ni sawa na vampire
swali ngumu linakuja pale ambapo Aliens wanasadikika kuwa na Intelligdnce kubwa kuzidi binadamu na wamehusika kwa kiwango kikubwa kumwelekeza binadamu namna ya kufanya cloning ya viumbe wengine..hivyo kufanya uwepo wao kuwa na uhusika mkuu wa kuwepo kwa binadamuNa mbwa, nyani,sisimizi,mamba?nao wangepewa akili wangeweza kusema kwa mfano mbwa angesema sisi ndo tumewaumba ili tuwatumie kwenye kazi zetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli inaweza kuwa kisoda lakini inamanufaa makubwa kuliko akili ndoo nzima
Utumishi mbele za Mungu sio kwamba Mungu anamapungu. Mungu ni mkamilifu. Namtumikia kwa kutoa elimu kwa wengine wasiomjua
Sawa putuuu kweli kweli
Sasa na hao aliens walitengenezwa na nani?Na yeye Mungu aliumbwa na nani na kwa kusudi gani mkuu ?
....just curious to know
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kwako ni za namna gani?...Taifa teule kivipi mkuu,..na limeteuliwa na nani..?
...akili za walokole ni za hovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandiko yake yasema wazikusudi lake ni nini hasa ambalo alikuumba..?? did you share him his intention to create you..??
how did you know his intention..?? umejuaje kusudi la mungu kama bado unakufa then unashindwa kujua ulikuja duniani kufanya nini na kama usingekuja ni mapunngufu yapi mungu angeyapata..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliens ni jina ambalo wazungu wamewapa viumbe wenye nguvu kubwa za kufanya utambuzi kwa kutumia nguvu ya shetani usige ukadhani niviumbe wa sayari nyingine hiyo ni team ya shetani ambayo smtm ina cross na binadamu kutengeneza kizazi cha nusu binadamu nusu shetani ndo utasikia reptilian humanoids.Utafichwa na research fake nyingi lakini ujue hizo breed za kishetani.Na kuhusu uwezo wao ni mkubwa kweli na mfano jiulize uwezo wa kawaida tu wa mchawi wa kawaida tu, toka hapo jiulize wale wazee wa zamani waliokuwa na uwezo wa kuzuia mvua,ukifikiria sana utagundua mtu km ana uwezo wa kuzuia mvua.swali ngumu linakuja pale ambapo Aliens wanasadikika kuwa na Intelligdnce kubwa kuzidi binadamu na wamehusika kwa kiwango kikubwa kumwelekeza binadamu namna ya kufanya cloning ya viumbe wengine..hivyo kufanya uwepo wao kuwa na uhusika mkuu wa kuwepo kwa binadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
utajisikiaje kama siku ukigundua kuwa wew ni moja wapo ya product au hybrid ya humanoid ( Reptilian) ??Aliens ni jina ambalo wazungu wamewapa viumbe wenye nguvu kubwa za kufanya utambuzi kwa kutumia nguvu ya shetani usige ukadhani niviumbe wa sayari nyingine hiyo ni team ya shetani ambayo smtm ina cross na binadamu kutengeneza kizazi cha nusu binadamu nusu shetani ndo utasikia reptilian humanoids.Utafichwa na research fake nyingi lakini ujue hizo breed za kishetani.Na kuhusu uwezo wao ni mkubwa kweli na mfano jiulize uwezo wa kawaida tu wa mchawi wa kawaida tu, toka hapo jiulize wale wazee wa zamani waliokuwa na uwezo wa kuzuia mvua,ukifikiria sana utagundua mtu km ana uwezo wa kuzuia mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Breed nyingi zinafanyika katika soul level na huwezi niambia kwa mfano mtoto ambaye tayari amecrossiwa nakuwa na ushetani ndani yake ataweza kurudi normal maana anakuwa kizazi cha stetani ambacho sio normal binadamu tena, soul yake tayari imechukuliwa.Aliens sio wale tunawaona kwenye movies[emoji30][emoji30],zile ni sanaa tu na kutupumbaza...hapo ulipo unaweza ku cross nakuwa nusu binadamu nusu shetani na ukawa jeshi la shetani moja kwa moja au tokea shetani katupwa dunia na watu wake ushawahi kusikia mmoja katubu nakurudi upande wa pili?utajisikiaje kama siku ukigundua kuwa wew ni moja wapo ya product au hybrid ya humanoid ( Reptilian) ??
utachukua jukumu gani kuhakikisha unaishi katika misingi ambayo Mungu anataka viumbe vyake kiishi..??
Je utalaani sana kwa hali hiyo inghali ushakuwa product ya hao viumbe..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina imani katika roho zisizo na Utambuzi(negative force spirit)Breed nyingi zinafanyika katika soul level na huwezi niambia kwa mfano mtoto ambaye tayari amecrossiwa nakuwa na ushetani ndani yake ataweza kurudi normal maana anakuwa kizazi cha stetani ambacho sio normal binadamu tena, soul yake tayari imechukuliwa.Aliens sio wale tunawaona kwenye movies[emoji30][emoji30],zile ni sanaa tu na kutupumbaza...hapo ulipo unaweza ku cross nakuwa nusu binadamu nusu shetani na ukawa jeshi la shetani moja kwa moja au tokea shetani katupwa dunia na watu wake ushawahi kusikia mmoja katubu nakurudi upande wa pili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno...utajisikiaje kama siku ukigundua kuwa wew ni moja wapo ya product au hybrid ya humanoid ( Reptilian) ??
utachukua jukumu gani kuhakikisha unaishi katika misingi ambayo Mungu anataka viumbe vyake kiishi..??
Je utalaani sana kwa hali hiyo inghali ushakuwa product ya hao viumbe..??
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haHili nalo neno...
Watu wanashindwa kutambua kwamba hata simba na ukali wake ule lakini si kwa watoto wake
Ndani ya ushetani kuna wema pia
Na kiumbe ndiye point ya maamuzi
Ni mwendo wa Yin & Yang mwanzo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliens kuwaona ni bahati snaa ...sio kwamba mpaka kila mtu awashuhudie ..kwanza ikitokea umeaona ukatoa taarifa serikali inazimisha kimya sna swala hiko kabla halijawafikia raia wa kawaida...
kuna maeneo kadhaaa duniani ambapo Aliens wanahusishwa kutua na baadhi ya maeneo hayo ni kama Peru,Brazil,America including mexico,German,England,Netherland,South Africa,pamoja na Zimbabwe...
Pia kuna maaeneo baadhi yanahusishwa kutua hao Aliens..
Swala la kusema unahitaji kuwaona hao Aliens hapa Tanzania ili ujiridhishe ni ngumu kwani nchi zinazochimba hayo madini ni washirika wakubwa na hao Aliens..
inasemekana kabsa kuwa kuna baadhi ya watu wamepata mental abduction kutokana na direct human contact with Aliens unless otherwise waamue kukuacha tu uwatazame...
Tanzania sio eneo rasmi la kutua hao viumbe lakini kuna baadhi ya sehemu usiku wanatua kwa kutumia vyombo vyao maarufu kama Sourcer .
Fanya tafiti hasa nyakati za usiku maeneo yenye uwazi mkubwa (Lanch) halafu kaaa usiku wa manane maeneo hayo utaweza kunotes paranormal sitiltings za abnormal beings maeneo hayo..
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwaona ni nadra sana..Miaka ya 2000, nilikua milima ya upareni..... hiyo sehemu kileleni kuna uwazi flan km uwanja wa mpira(si pakubwa sana), siku moja usiku(sa3 flan ivi) niliona mwanga mkubwa sana, yaani hata kama ingekuwa ni gari, ule mwanga siwezi linganisha..... kipindi icho ndo nasoma soma vifiziks vya fom tuu...... aah, nikaconclude ni satelite za orbit ya chini chini(ingawa kadri navoendelea kugundua, satelite isingetembe chini kiasi kile)...... ila huwa ile image inanijia na huwa sikubaliani na kitu nilichoconclude coz ilikuwa karibu sana....... na huwa sikumbuki tukio zima.... nakumbuka tu ule mwanga bas.