Kabla yakujiuliza kuhusu technology; binadamu ni roho, nafsi na mwili (in case u know that) ama kwa lugha nyingine, binadamu ni roho iishiyo ndani ya mwili ikiposses nafsi (a human is a "spirit" living in a body, possesses a soul). Sasa ni kipi kati ya hivi vitatu ambavyo aliens walitengeneza ( because am sure they can't create a spirit, I doubt if they can create a soul either). Ila nataka urejee historia ya teknolojia ( ambayo inatrace back miaka michache tuu nyuma) halafu trace na historia ya existance ya hao aliens ( it must be thousands of millions years maana c ndo wao wametuumba maana binadamu mwenyewe anakuwa traced back millions of years) halafu utafute uhusiano hapo.
Lakini pia nashauri ukajikumbushe matumizi ya akili ya binadamu kwa kipindi cha uhai wake (ambayo ni asilimia chache sana, less than 10), ukielewa hapo utagundua kua mambo makubwa yote unayoyajua, usiyoyajua na ambayo bado yatatokea, human being is capable of doing, though satan can do that too.
Maana theory zinasema "laiti kama binadamu ataweza kutumia 100% ya akili yake, anaweka kukumbuka mpaka kipindi alivyokua tumboni ( kuanzia trymister ambayo ubongo ulikua formed). So don't doubt a human brain bro, to be more specific dont doubt your brain, ts not healthy, ts not wise.
Sent using
Jamii Forums mobile app