KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
lifecoded kwa hiyo umehamisha magoli ya wanasayansi wanaotuhainisha na kizazi cha nyani??😀😀😀😀 Ila Napenda kufuatilia conspiracy series naamini hawa Aliens wapo sidhani kama hata madirectors wa hizo movies,series wangekuwa wanaweka vitu vya kufikirika kama hakuna sidhani! ila nimekusoma kwa makini nimefaidika na hili somo!