Mkuu,
Ina maana hizi codes zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine? Je kwanini watu wote hatufikiri sawa? Je DNA hizi zimetengenezwa katika formular tofauti tofauti na kwanini? Je kuna DNA Bora kabisa na nyingine za kawaida? Nipe majibu hayo kwanza, nitarudi.
..
.kila mtu ana mlango wa kutokea..
the matrix system of reality offers
permutation (
Njia tofauti kwa kila mtu,life codes open by permutation system).
The way unavyoichukulia dunia na unachokiona wewe
kipo tofauti na mtu mwingine anavyopersive ndo mana tunapersive tofauti tofauti..
Kila mtu kashikiliwa kwa
life code flani maishani mwake ,ndo mana
life pathy ya kila mtu ni tofauti tofauti(
soma kuhusu CHALDEAN NUMEROLOGY VIZURI)
DNA zinatengenezwa katika permutation system(
mfumo ambao haufanani na mwingine ) ili kila mtu
anashikiliwe na matrix system kwa strength tofauti tofauti ili kuepusha kuingiliana kwa mawimbi ya ufahamu baina yako wew na ulimwengu unaokushikilia..kika mtu anaisha kutokana na mawimbi( frequency range flani) yanayokufanya Ujulikane kwenye mfumo unaoshikilia kila kitu katika ulimwengu huu..
Imagine redio stations zingekuwa zinatumia
frequency moja(
mawimbi ya aina moja) nadhani kungekuwa na
mwingiliano wa sauti na usingeweza kuelewa chochote kinachorushwa na redio station hizo..ndo mana kila redio ina
frequence yake na
haifanani na nyingine ulimwenguni..
Ndivyo ilivyo hata katika mfumo wa
DNA yako ..ina mfumo au arrangement za
DNA bases tofauti na mwingine na wala hufanani na mtu yeyote ulimwenguni..
Hii ni kuruhusu uweze kuwa na fikra huru na kuweza kukufanya uwe na uwezo wa kusynchronize na universal pattern of reality pindi uingiapo katika high dimension( high perception of reality)..
Tukija kwenye swali lako la mwisho la kuwa Je kuna DNA bora kuliko zingine na ni kwanini..??
Ndio ubora wa DNA unatengemea na
genetic code arrangement kwenye complimentary base pairing system..
Kwa mfano kama
DNA yako yenye kuanzia na base pairing y
a GGC bases ambayo inakuwa na frequence rangea lets say
234 KHZ na
Mimi DNA yangu inayoanzia na arrangement ya base ya
CGG ambayo ina frequency ya
108KHZ manake mimi nitakuwa na
uwezo mdogo wa kusynchronize ya
universal energy fild ambayo ndo imetushikilia sis sote katika frequency range tofauti tofauti na hapo tukija kwenye
Intelligence wew utakuwa na
intelligence kubwa kunizidi kwani DNA yako imekonectiwa kwa high energy flow kulinganisha na mimi..
Kwa hiyo kila mtu anasynchronize katika frequency range tofauti..
Ndo mana
Nikola Tesla mwanasayansi hatare ambaye ilifikia sehemu akawa na uwezo wa kuona electromagnetic waves( mionzi) jambo ambalo ni ngumu kwa sisi popoma ..
na ndo mana ukisoma hidden documents zake anakwambia
IF YOU WANT TO UNDERSTAND HOW NATURE IS ,THINK ABOUT ENERGY,FREQUENCY na VIBRATION..(
Akimanisha ,kama unataka kuelewa mfumo mzima wa jinsi ulimwengu ulivyo fikiria kwenye hizo codes zinazoelezea hivyo vitu vitatu).
Alikuwa na maana kubwa sana..
kwa hiyo DNA zetu hazilingana mpaka ulimwengu unafutika..
But you can reshape your DNA base arrangement kama unataka kuwa
GENIUZ..everything is possible ,the universe is too
frexible kwa kila kitu,it offers a number of options .