Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Aliyekuambia kuwa ulitoka kuwa sokwe ni nani...??

Mbona leo hatuoni mabadiliko hayo..??

huwezi ukajiuliza swali hapo..??

wanaokutawala ndo wanakudanganya hivo kuwa ulikuwa sokwe..ili usihoji zaidi how nature brought you into existance..

kwanini sokwe wamebaki kuwa sokwe na hatuoni wakibadilika ..??
(Hiyo inaitwa genetic diversity )
umesoma shule ya msingi huko wakakudanganya binadamu wa kwanza aliishi Tanzania ukameza kama ilivyo ila kadri unavozidi kwenda juu( ndani zaidi) unagundua kuwa jmaaa hawana nia njema na sisi ,wanazidi kukublackmind kabsa ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naomba unipe ufafanuzi zaidi wa hii post yk [emoji121]🏽️[emoji1432][emoji1432]
 
Hapo uliposema kwamba 'hawana nia njema na sisi'
siku zote wanajaribu kuficha ukweli how creatures hasa binadamu alivyoevolve na jinsi nature inavyomcontrol..

Kumekuwa na paradoxy nyingi sana zinazopindisha ukweli wa mambo jinsi mwanadamu alivyokuja hapa duniani..

Mpaka inafikia mahali nchi za africa zinalishwa matango kuwa mwanadamu wa kwanza ulimwwngyni aliishi Tanzania ..

Lengo ni kuendelea kuficha ukweli na kumfanya mwafrica asijue alitoka wapi..

Ukishaambiwa aliishi tanzania huwezi anza kujiuliza kuwa alitokea wapi.

Only few will understand how things go and work..
 
🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti this is too fucking big but worry not we can reach above it some day by our fates and believes
 
Naomba muangalie movie inaitwa attraction nafikiri utapata kujua zaid about ellian japo wanasema kuwa movie its all about acting but kuna story wanatufundisha hawa wazungu between us and allien
 
mkuu keratin ndo protein ngumu zaidi na haipotezi DNA sequence zake kwa muda mrefu..

Hiyo ni kwa sababu ni very strong and rigid when thick, it can be very flexible when very thin.

kwa hiyo kwenye Keratin Traits hazipotei kirahisi kama ilivyo kwenye ngozi..

Ngozi ikioza tu basi Sequence inapotea ila sio kwenye keratin.

keratin is a protein, which in turn is made up of amino acids and cysteine disulfide. The latter makes sulfur atoms form a firm structure called disulfide bridges. The levels of the amino acids and disulfide bridges determine what the hair will look like.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats is pathophysiology of hair as a tissu lived without blood supply while other tissue gone

As we all know dat brain is the last organ to die after death occured but it differ from hair since that hair doesn't metabolize by aurobic bacteria
 
siku zote wanajaribu kuficha ukweli how creatures hasa binadamu alivyoevolve na jinsi nature inavyomcontrol..

Kumekuwa na paradoxy nyingi sana zinazopindisha ukweli wa mambo jinsi mwanadamu alivyokuja hapa duniani..

Mpaka inafikia mahali nchi za africa zinalishwa matango kuwa mwanadamu wa kwanza ulimwwngyni aliishi Tanzania ..

Lengo ni kuendelea kuficha ukweli na kumfanya mwafrica asijue alitoka wapi..

Ukishaambiwa aliishi tanzania huwezi anza kujiuliza kuwa alitokea wapi.

Only few will understand how things go and work..

Mkuu unazid kunifikirisha baadhi ya mambo
Sisi waAfrika tumekua wazito sn ktk kuhoji
 
Ukiangalia maendeleo ya teknolojia yalivyo utagundua kuwa kuna nguvu ambayo iko mahali (siri ) inayoratibu mpango mzima. Kwanini? Chukua mfano rahisi kabisa ujio wa simu za mkononi angalia mtiririko wa jinsi teknolojia yake inavyobadilika ktk ubora wake kati ya toleo moja na jingine,utagundua kuna uratibu wa hali ya juu ambao si akili ya kawaida ya kibinadamu.
 
According to your info, duniani palionekana ni mahali sahihi ambapo effects za cosmic radiations zisingeweza kuafect viumbe vilivyopo ndani yake.. Sasa kwa nini waprogram binadamu kwa codes ili binadamu hao waishi duniani while wao wasiishi sehemu hiyohiyo waliyoiona ni salama??
By the way somo zuri sana and ni vizuri kuchakata bongo zetu zifikirie mambo mengine mengi tuu
 
Back
Top Bottom