inawezekana vizuri mno mkuu.
.kitu gani kigumu hapo..??
Kama unaweza hamisha makao toka nchi kavu hadi baharini unashindwaje kuamini kuwa dunia iliandaliwa kwa ajili ya kuplant{ kupandikiza maisha ya viumbe (organism) huku..
Kila nadharia inakuwa na nguvu katika kujitetea..
Leo hii tunaona United State of Emirates [Uarabuni] wanageuza jangwa{ desert} kuwa bahari na bichi za kupunga upepo huoni kuwa the universe is too flexible katika kuruhusu reprogression and recreation ya maisha ya viumbe au kiumbe yoyote??
Mkuu mazingira yanaandaliwa mkuu..huwezi amini jambo kubwa halafu ukakataa jambo dogo wakati jambo kubwa limeundwa na jambo ndogo ndogo..
Bigger things never exist if not made by smaller things..
Nothing big expresses itself unless small one aside to make the big exist..
kwa lugha ya kawaida tunasema vitu vidogo huunda vitu vikumbwa..
kama umeweza kugeuza mazingira. ya jangwa ambayo yalishindwa kusapoti mimea ijue sasa hivi yanasapoti ,utashindwaje kuamininkuwa maisha ya hapa duniani yaliandaliwa..;!
Tupo kwwnye giza nene ambalo wachache wamepata kuelewa jinsi Matrix of life ilivyo..
Tupo kwenye universal matrix ambayo imeweka mitego mingi kwa viumbe wake.
Ukiweza kujinasua na huu mtego basi utakuwa umevuka ng'ambo kubwa snaa kiuelewa..
Everything is simulation ..everything can be recreated in any form else where in this universe ,only to understand the universal matrix how it is composed
Sent using
Jamii Forums mobile app