Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

hatari sana mkuu,mtafute mtu mmoja anaitwa Nick Wauters ndo aliyeiruhusu ile movies kutengenezwa,yani unaambwa movies au series zake zilikuwa na utata snaa ..

Tafuta series yake moja inaitwa THE 4400 ni balaa

mpaka ilfungiwa mwka 2007..

Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee nitaitafuta,kumbe The events ushaiona eeh ,huyu MTU nitamtafuta pia

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Au umefungua third eye ndo mana unasema tumetokana na aliens??
Kitu gani kinakufanya uamini zaidi katika aliens

acha ushabiki ambao umerely na bible tu na nikikuambia unipe tafsiri juu ya maneno ya kwenye bible hiyo unakimbia ..
PhotoGrid_1535920443903.jpg

nisomeee hapo juu halafu unambie umeelewa nini kwwnye hiyo mistari inayotolewa ufafanuzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww jamaa yani bible ndo unaichukulia kama ndo kila kitu et ee...hivi hujui kuna doctrine nyingi zinaelezea mambo mazito ambayo bible yako hiyo imeshindwa au haijayatolewa ufafanuzi...

tatizo unaonekana mfia dini sana...

soma hapa chini kuhusu bible yako hiyo..
na hiki ni kisehemu kidgo snaa
View attachment 855115

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni binadam kaandika mkuu
Mbona hata ww unaweza ukaandika vitu kama ivo mkuu
Alaf kingine Kama huamini uwepo wa Mungu bhasi pia huamini uwepo wa shetani, wala uchawi
 
Unataka evidence ya aina gn
Unalijua vizuri taifa la Israel ww..??
unajua ni kwanini linaitwa taifa teule la Mungu lakini kwanini vurugu ndo zinanzia huko..??

nijibu hapa ndo tuendelee make unaushabiki wa kweny biblia..

Nambie kwanini vita haiishi huko kwwnye taifa teule..???

kwanini Mungu kashindwa kuzima mziki unaoendelea kuchezwa huko kama kweli ni taifa teule..??
Twende na point zako mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni binadam kaandika mkuu
Mbona hata ww unaweza ukaandika vitu kama ivo mkuu
Alaf kingine Kama huamini uwepo wa Mungu bhasi pia huamini uwepo wa shetani, wala uchawi
nimekwambia twende na usemi wako juu ya taifa la Mungu na uniletee vifungu hapa tuvichambue usemi wake..kwani i tunabishana ??

Et kaandika mtu!! kwa hiyo bible kila siku inafanyiwa editing inafanyiwa na Mungu??

Mungu ndo anayetoa vitabu kama The gospal of thomas,the gospal of mary magdalene, the gospal of the lost twins, na Vingine?? hebu nambie Mungu yupi alitoa amri hivyo vitabu vitolewe kwenye bible ya kwanza na kuruhusu bible yenye mapungufu tuliyonayo..??

Nijibu kwa facts nikuone mchambuzi mzuri mkuu..

If you have no facts on given facts remain silence and watch how the World is going utajivunza mengi...

unafikiri hakuna wanaoiamini bible kukuzidi www mbona wanapitia michango ya maoni ya watu...??
usiwe Rigid kwenye imani unayoiamini...

Relaz your mind,let your mind allow new things to challange your awareness ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupo hapa kujifunza ..unatoa evidence na mwenzio unatoa evidence pengine mmoja wetu anaweza kuwa wrong somewhere mkuu,hatuoneshani uwezo ,by the way tunaitafuta iliyo kweli ili ituweke huru tutoke kifungoni mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiukweli mi Sina point/uwezo wa kupambana na wewe kwa hoja
Maana nimefatilia hoja zako nyingi kiukweli zina ushawishi
Labda mtu ambae naona unaweza kupambana nae ni Mshana Jr
 
Kuna swali huwa najiuliza hivi ni kweli hii sayari ingekuwa ni yetu by original hii hali ya kupambana na mazingira kwa nini iendelee kutusumbua [emoji1] [emoji1]
Je ni kweli viumbe wengine wanapata shida kuishi kwenye hii sayari kama sisi au wao ndo wenyeji "sisi tulivamia" eneo ambalo sio letu ..kama na hao viumbe wengine wanapata tabu kuishi humu kama sisi bhasi ntapunguza mawazo yangu yasiyo na mbele wala nyuma ....utofauti uliopo kati yetu sisi na viumbe wengine bado unanipa wasiwasi na naweza kuunga mkonyo hoja
 
mkuu binadamu amekuwa mtu wa kuelekezwa kila kitu namna ya kuyakabili yanayomzunguka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mfano nikakuuliza ni kitu gani unakiamini kweye uumbaji ?
uumbaji upi? natural au artificial creation...??
binafsi naamini juu ya general concept ya kuwa viumbe vinazalia kwa factor control flani ambayo ndo inaruhusu progression ya maisha ya viumbe hao
Pia naamni juu ya artificial reprogression ya new species from pre existing ones.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
uumbaji upi? natural au artificial creation...??
binafsi naamini juu ya general concept ya kuwa viumbe vinazalia kwa factor control flani ambayo ndo inaruhusu progression ya maisha ya viumbe hao
Pia naamni juu ya artificial reprogression ya new species from pre existing ones.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye evolution uko vizuri ...tuanze na natural
 
Kwenye evolution uko vizuri ...tuanze na natural
Natural creatiin iko guided by factor control flani ambayo inaruhus viumbe wote wapitie sequence( consider about spiral continum iliyojaribu kuelezewa ) kwenye fibonacci number and life regression codes ambazo zinatolea ufafanuzi kwenye DNA analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom