Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
nimesoma mada yako yotee nikiwa nimetulia mchana huu huku nikitafakari kila sentensi yako nimepata kitu cha ziada japo umegusia kwenye mambo ya genetics kwa wingi.
nimejaribu kuunganisha dots na hatimaee nimepata mstari kamili.
kama kuna mtu au mtoa mada umeshawahi sikia ishu za reptilia kutawala dunia na kucontrol mambo yao wanayoyajua wenyewe wao kwa wao lakini si sisi (open secret issues) nadhani nitaweza kukubaliana na wewe japo ni kama assumptions lakini itanibidi sio kwa asilimia mia japo hata 40% hao reptilia ni kama wamefanyiwa clonning niseme hivyo au kubadilishwa sura lakini kiuhalisia sio binadamu na inasemakana ni aliens na kila bara wapo nadhani hata kila nchi sio wachache ni wengi sasa labda ni kweli na ni mpango wao ila shukrani kwa kuniongezea madini huwa napenda kusoma mambo kama haya.