Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

wewe kweli bado upo local kabisa kama kweli wew msomaji hujui kuwa google wanapanel ya kupublish research basi wewe ni jipu

https://scholar.google.com/

https://www.researchgate.net/topic/Google-Scholar

usirudie tena kutoa hiyo kauli
unaeleaa maana ya kusema kuwa google ina 4% tu na 96% are hidden from special sites...??

jamaa mbona tunarudi kulekule...

wew nishakwambia komaaaa na google kama utakuwa na uelewa zaid ya jinsi ulimwengu ulivyo...

nimefunga mhadala na wew kama una kitu chochote unachokijua kuhusu elimu ya mambo haya nadhani umedhihilisha kuwa unakimbilia kusoma soma unaulizia site huko ndo unakopi unakuja...

Unatumia zaidi ya nusu saaa kusaka ushahid wikipedia ,huna hata aibu aise...

unachojua ni kipi sasa mkuu??

Any way tuishie hapa...sitaweza kubishana na upupu unaotegemea wikipedia
 
hii inadhihilisha kuwa kila kitu ni kupinga mpkaa ukae muda mrefu unapitia pitia ndo unakuja kutia maelezo...

Ukiambiwa unafahamu au hafahamu unabaki kimya...

unategemea wikipedia kama msaada kwako...

utouti wako na wengine wanakukubali ni pale unapowazid kulata vitu toka wikipedia kama ulivyoenda sasa hivi kugoogle hiyo monoclonal ..

kaka kuwa mwelewa kama huna uelewa zaidi unakubali tu unapokea mambo mapya siyo kila kitu unawahi wikipedia..

Swali dogo tu nilikuliza unahisi taarifa zote zonawekwa google ambayo wew ndo first source yako??

Nadhani tutakuwa tunashindana kujaza utumbo wa wikipedia humu wakati kila mtu anaweza pakua huko akasome akaelewa ila kwanini taarifa muhimu haziko google...??

aise.....jamaa mbishi sana wewe..
Kweli kabisa.
 
ndo kwanza naisikia kwako damn...haaaaaah ..nilikuliza unaijua hujui...ni dhahiri huijui na hujui chochote kuhusaiana na monoclonal genetics umeendelea kuonesha undezi wako wa kupotea kwa muda unaenda tafuta tafuta huko....

Nilichokileta ni kidogo kulinganisha na nilichokifahamu na sijawahi kuwa nagoogle wikipedia kama ukivyo wew zaidi ya kucheza na hidden sites ambazo zinanifanya niamini baadhi ya mambo...

Full stop nakuomba ukale shule nene juu ya namna cloning inavyofanywa halafu uachane na maaelezo toka wikipedia kama reference point zako...

sio kila kitu kinawekwa wikipedia...ingekuwa ni hivo nadhani kila mtu angejua namna ya kuwatengeneza hata virus
mkuu click citation yako kwenye hilo jina ulilosahau kuondoa hyperlink wakati unapaste uone linakupeleka kwenye site gani hii hapa aise hujui kudanganya hata kidogo kijana wa gaia.com click kwenye jina david icke
Researcher David Icke anasema

source yako nyingine ni hii
https://www.history.com/topics/alien-and-sedition-acts
sasa utaniambia hizo ni hidden site acha siasa huna lolote
 
sasa bora mim source yangu wikipedia hata imekuwa indexed na search engine

wew hapo source yako ni gaia.com eti ndio msaada wako GAIA GAIA haijulikani ni commercial site au ni organization site yaan ni ujinga tuu
kiongozi labda uniambie nini kimekufanya uiamini GAIA (GAIA.COM)
Mkuu umekuja kwa spid ya jet nikajua unakitu cha ziada kumbe na ww n kama mm nisiejua lolote juu ya izi mambo.[emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
source za hii historia yako ni hapa ndio unajikuta mjanja eti umechimba kumbe ulichofanya ni kucopy na kutranslate basi
1.
Where Did Humans Originate?

2.
Did Extraterrestrials Genetically Engineer Humans?

wanajf pitieni hapo then mniambie kama huyu jamaa kuna research amefanya au ameamua kukopi na kupaste kutoka kwenye hiyo site
tena kupaste kwake kafanya translation kwanza kwa kutumia cjui google tanslator article ikaja ndio hiyo haina hata umbo

hata kufanya citation ya hiyo cite haujafanya then unasema ni akili yako eti umechimba just dz a plagiarism
Kaumbukaaa
IMG_20180920_082715.jpg
 
mkuu click citation yako kwenye hilo jina ulilosahau kuondoa hyperlink wakati unapaste uone linakupeleka kwenye site gani hii hapa aise hujui kudanganya hata kidogo kijana wa gaia.com click kwenye jina david icke

source yako nyingine ni hii
https://www.history.com/topics/alien-and-sedition-acts
sasa utaniambia hizo ni hidden site acha siasa huna lolote
mbona huyo nimemweleza kula kwenye uzi wangu juu..kwani hujamwona..??

Wana JF eti huyo mtu sijamwongelea humo??

hujasoma uzi wote..

kijana kale vitu,nakushauri vitu..

ukiona nimemweka David Icke ni kuwapa watu ufahamu ili wakamsome walau kwa juu juu ila mambo ya monoclonal analysis hata David Icke hajayatolewa ufafanuzi...

Wew nimekulzia unaijua huijui ? umekaaa kimya...

soma mkuu usiwe unakula futari ukishiba unajaza bandle unakimbia site za wikipedia..

Ngoja nikuongezee site nyingine ambayo ina elimu ndogo ambayo itakusaidia angalia kuwajua zaii Aliens..
Tafuta site moja inaitwa http://galacticconnection.com/ huko utajifunza mengi pia kwa wewe unayetegemea wikipedia
 
ndo kwanza naisikia kwako damn...haaaaaah ..nilikuliza unaijua hujui...ni dhahiri huijui na hujui chochote kuhusaiana na monoclonal genetics umeendelea kuonesha undezi wako wa kupotea kwa muda unaenda tafuta tafuta huko....

N.B nafunga mjadala na wew na siku nyingine usijaribu kulazimisha reference range yako kwa kutumia wikipedia..mtu anayejua mambo huwa habishani kwa kupotea potea na elimu yako ya kuunga unga juu ya biomolecular analysis...

Nilichokileta ni kidogo kulinganisha na nilichokifahamu na sijawahi kuwa nagoogle wikipedia kama ukivyo wew zaidi ya kucheza na hidden sites ambazo zinanifanya niamini baadhi ya mambo...

Full stop nakuomba ukale shule nene juu ya namna cloning inavyofanywa halafu uachane na maaelezo toka wikipedia kama reference point zako...

sio kila kitu kinawekwa wikipedia...ingekuwa ni hivo nadhani kila mtu angejua namna ya kuwatengeneza hata virus
@lifecoded japo jamaa ajui lolote kama mm lakn nimefrahia chalenji zake juu ya UZI wako.Coz kila alipokua anakchalenji ndipo ulimwag nondo zaid..Nataman aje mwingne tena akchalenj ili ufunguke
 
karibu sana mkuuu
 
mbona huyo nimemweleza kula kwenye uzi wangu juu..kwani hujamwona..??

Wana JF eti huyo mtu sijamwongelea humo??

hujasoma uzi wote..
ninachomaaanisha umecite kutoka gaia.com hyperlink iliyopo kwenye jina lake ni ya gaia.com kwa maana hiyo hii post haujachapa umefanya kukopi na kupaste ndio maana ikaja na hyperlink za gaia site

mdau yeyote anayejua issues ya plagiarism hapa angekuambia kabisa umefanya hicho kitu na post yako pia ni supercopy kutoka kwenye gaia.com c kitu cha kubisha hapa
 
huyo hana lolote wala hajui alichopaste hapa jf
pia sikulazimishi uniamini mimi
ungejibu tu kuwa najua au sijui tukazama zaid ndani kuhusu cloning ilivyo na kama kweli umebobea nipo radhi tufike mpka kwenye superhybridization ya genetic bases ..

Kama hujui chochote sema ili wakuelekeze mengine usikimbilie kutoa sites google huko..

hivi tukisema tusitumie simu au google ,ili kila mmoja atumie uwezo wake aliofahamu kuhusiana na haya mambo utaweza kweli ..??

weka google pembeni twende na field ya cloning unayoifahamu wewe..

labda hapo tutaelewana na unieleze steps zote za cloning ,usikimbilie zile za kule goggle ambapo ni maelezo tu..
 
Nilimaanisha ww.Jibu maswali ya jamaa ili mjadala uendelee
nitamjibu swali alilouliza ni moja lakni mpaka sasa maswali yangu yote niliyomuuliza hakuna hata moja aliyotolea majibu zaidi ya kuleta sera na story nyingi
pia mpaka now hakuna article yoyote yenye kitu kinaitwa monoclonal genome badala yake kuna monoclonal antibodies
sasa kuna forums lina watu na phd zao nao nimewapa hilo swali ila majibu wanayotoa hawajawahi sikia hicho kitu labda nimekosea kutype
nachotaka sasa jamaa atume kitabu chenye hiyo article tufunge mjadala
 
ninachomaaanisha umecite kutoka gaia.com hyperlink iliyopo kwenye jina lake ni ya gaia.com kwa maana hiyo hii post haujachapa umefanya kukopi na kupaste ndio maana ikaja na hyperlink za gaia site

mdau yeyote anayejua issues ya plagiarism hapa angekuambia kabisa umefanya hicho kitu na post yako pia ni supercopy kutoka kwenye gaia.com c kitu cha kubisha hapa
Nilichofanya kwenye udhi wangu ni kutoa elimu kidogo juu ya non coding DNA au junk DNA na ndo mana nimeweka citation kwa kumweka huyo Icke ili iwe njia nzuri kwa wale learners wa mambo haya..

Nisingeweza kushusha shule ya molecular level inayohusiana na superhybrid cloning kwa kutumia monoclonal genomic analysis..wengi wangebaki kapa bila kunielewa ndo mana nimeanza kidogo kidgo kuwaeleza watu jinsi hata hizo DNA bases ni kitu gani ndo mana kuna watu wamenielewa vizuri hata pale nilipodadavua kuhusu Mambo ya base pairing rules na watu wakanielewa na wengine kadri wanavyosoma taratibu ndipo wanapoenda kutafuta source nyingine ..

Kama ningeamua kuleta udhi wote jinsi cloning inavyofanyika nadhani ningeruhusu maswali nyuma tena kwa learners wa kawaida kwani wangeanza kuniuliza nini maana non codin bases !! ndo mana kupitia udhi huu wale ambao wanajifunza au wanafuatilia mambo hayo wameanza kwenda sambamba na mimi..

Siku si nyingi nitakuja kuanzisha uzi mpya ambao ndo niataenda kuelezea jinsi cloning inavyofanyika( Hasa human cloning ) nadhani hapa ndo nakukaribisha uje na elimu yako ya kutosha tena kale shule unakojua wew nitakukaribisha kwa mjadala ..

sina kingine nikutakie asubuhi njema na kama ni mkazi wa ughaibuni nikutakie usiku mwema..

Umekimbilia kuuliza watu..??

duuhhh aise pole snaa manake unakiri kabsaa hujui chochote. ..

Mkuu kwa lugha ya kawaida tunasema kama hujui chochote ,you have no right to oppose...

Hiyo ni sheria ya kimataifa hata kwenye mikataba ipo..kama hujui chochote usipinge kaz ya mwingine..

nilikuambia kuwa hutaiona monoclonal genomic analysis kwa sababu ndo elimu ya siri juu ya cloning...

wanakucheka tu huko unakowauliza...

duuh wew jamaa
 
ni hadit
Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi...

Sio lazima ukomaee na mealezo yangu lakini kama una imani yako baki na imani yako lakini kama unahitaji kujifunza mambo basi weka imani yako pembeni upate kujua haya..

kabla sijaendelea napenda kukufahamisha wewe au wale ambao mnapuuza sana juu ya conspiracy theories na kudai kuwa hazina proof sasa leo unaweza pata kitu hapa..

katika mwili wa kiumbe yoyote yule,kuna kitu iinachoitwa DNA hiki ndo kinachobeba mwongozo wa jinsi utakavyokuja hapa duniani kwa sura ipi,mfumo upi,mwonekano upi,kwa tabia ipi na sifa zote hizi hubebwa na kitu kinachoitwa DNA,

DNA ndo kila kitu kwan imebaba taarifa zote juu ya utengenezaji wa kila kitu ulichonacho mwilini..
killa kitu ulicho nacho mwilini mwako kuna specific genes (jeni) ambayo inahusika na utengenezaji wake,ikitokea jeni inayohusika kutengeneza pua imepata hitilafu ukiwa bado tumboni kwa mama yako basi utengenezwaji wa pua utakosekana na utazaliwa ukiwa huna pua,na ikitokea jeni(gene) inayohusika na kutengeneza remondeling ya sura yako iwe nzuri ila ikapata hitilafu basi utazaliwa ukiwa na sura kama kinyago.

All in all, genes ndo kila kitu katika mwili wa kiumbe yoyote yule,hizi abnormality tunazoziona ni kwa sababu gene zetu zinapata hitilafu mahala fulani kwenye arrrangement zake ndani ya DNA sequence..

Arrangement za gene zetu zipo kwenye DNA kwa mfumo wa base pairing rule ,Genes zinaundwa na DNA bases ambazo zipo katika makundi mawili ( purine na pyrimidine ,ambapo purine ni Adenine (A) na Guanine (G) lakini pia pyrimidine ni Cytocine (C),Tymine (T) na Uracil (U).Ila katika namna ya kupair ili kuform gene tunaona kuwa Adenine huwa anapair na Tymine hence A=T katika DNA na kwenye RNA inakuwa A=U Wale waliosoma molecular chemistry na bioloji watakuwa wanalijua hili. lakini pia Cytocine anapair na Guanine hence C=G
View attachment 839829

kwa hiyo purine ana pair na pyrimidine mmoja ili waform complimentary sequence ya kuja kutengenza gene factor control..kwa mfano gene inayohusika na utengeneza wa jicho ni ACG manake itokea mtu akapat effects kwenye arrangement hiyo ya ACG na kuwa AGC hapo tunasema gene imepata mutation na kazi yake ya kutengeneza jicho inapotea kwa hiyo mtu atazaliwa hana jicho

lakini ukiangalia vizuri kwenye sequence hiyo kuna DNA codes hazipei kutengeneza functional gene...zinabaki hivo hivo tu..ni kama asilimia 85 ya DNA bases hazina kazi ya kutengeneza functional amino acid...

So only few percent DNA codes zilizopo kwenye DNA yetu ndo zina gene code zinazotengeneza protein kwa ajili ya kutengeneza specific organ mwilini mwetu kwa wakati maalumu..

SWALI JE": hizo code zingine zinatengeneza nini au kazi yake ni nini sasa..kiufupi tunapat makundi mawili ya genes hapo,coding genes na non coding genes,,

kuna genes zinazopair ili kuunda functional genes( genes zinazofanya kazi na kuleta umbo maalumu mwilini) lakini kuna baadhi ya genes kwenye hoiyo hiyo DNA sequence hazi match (non coding genes) kutengeneza functional genes,,ni wazi kuwa kila bionadamu ana non coding genes ambazo hazicode kwa chochote mwilini mwake na kwanini ziwepo wakati hazina kazi..?
View attachment 839830wale watu wa molecular analysis na DNA chemistry nadhani hata nyie mtajiuliza au bila shaka mshajiuliza kwanini non coding genes zipo tu na hazihusiki kwa chochote,,,

lakini pia
Jozi ya wanasayansi kutoka Kazakhstan wanaamini kuwa aina zetu ziliundwa na mamlaka ya juu, ustaarabu wa mgeni ambao ama alitaka kuhifadhi ujumbe katika DNA yetu au tu kupanda maisha kwenye sayari nyingine.

Maxim A. Makukov wa Taasisi ya Astrophysical ya Fesenkov na Vladimir I. Shcherbak kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Farabi Kazakh alitumia miaka 13 akifanya kazi kwa Mradi wa Binadamu wa Genome - utume ambao ulituma ramani ya DNA ya binadamu.

Hitimisho lao lilikuwa kwamba wanadamu walitengenezwa na nguvu ya juu, na "seti ya mifumo ya hesabu na lugha ya kibei ya mfano" iliyoingizwa ndani ya DNA yetu.
coincidence,,??

kutokana na kuwepo kwa group la non coding genes kwenye DNA yetu wanasayansi wamefikia hatua ya kulipa jina la JUNK DNA ,means gene DNA ambazo kazi yake haijulikani bado.

Comparative genomics studies have shown that some of this junk DNA is highly conserved, sometimes over hundreds of millions of years, which suggests that these noncoding regions have undergone positive selection throughout evolution and confer an advantage in terms of preserving or minimizing certain biological traits.
(Uchunguzi wa jenomatiki umeonyesha kwamba baadhi ya DNA hii isiyojumuishwa imeonekana kuhifadhiwa sana katika mfumo wetu wa DNA , na wakati mwingine juu ya mamia ya mamilioni ya miaka, ambayo inaonyesha kuwa baadhi ya sehemu katika hii DNA imeonekana kubeba chembe chembe au vipande toka sehemu au DNA ya viumbe toka Anga za mbali... lakini mabadiliko yatokayo na mazingira huweza kuhifadhi au kupunguza baadhi ya sifa za kibiolojia.)

kuna baadhi ya tafiti zimekuja kufanyika kwa kuhusisha DNA sequence ya HUMANOID ALIENS na kukuta kuwa seqence ya non coding genes kwa binadamu zinafanana kidogo na a part of DNA pair genes kwenye HUMANOID ALIEN DNA.

kwa hiyo inawezkana kabisa human being were programmed na Alien kwa kazi maalumu na they are watching us for sure,,
View attachment 839838
DID EXTRATERRESTRIALS GENETICALLY ENGINEER HUMANS?

Uumbaji na mageuzi ni nadharia mbili maarufu za jinsi watu walivyokuwa. Ingawa labda ni nadharia zinazoenea zaidi, kuna shule nyingine ya mawazo: Binadamu viliundwa na extraterrestrials

Nadharia nyingine inachunguza wazo kwamba extraterrestrials manipulated DNA yetu ya kujenga damu mchanganyiko katika sayari yetu. Kipande cha ushahidi muhimu zaidi kuunga mkono nadharia hii ni kitu kinachojulikana kama Rh.

Uwepo wa kipengele cha Rh (Rhesus factor blood groups ) katika damu ya binadamu hufanya aina ya damu iwe chanya (Rhesus positive), wakati kutokuwepo kwake hufanya hasin(Rhesus negative bllod group). Watu wengi ni Rh chanya, na asilimia 15 tu ya idadi ya watu hawana sababu ya Rh.

Sababu ya Rh inaweza kuhusishwa na aina nyingine, hususani nyamba. Ukosefu wa hiyo unaendelea kubaki siri. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaamini kuwa inatokana na vitu vya nje. Wengi wanaokataa mgeni ni Rh hasi. ukiangalia kweli ni nadra sana kuwapata watu wenye blood group zenye RHESUS negative na baadaye nasikia lakini kuwa eti huwa wanapotea mazingira ya kutatanisha kama walivyoalbino'''( kwanini tena hapa tunapata watu wenge group jingine lenye kizazi che damu hasi ???)...

Je! Hii ni bahati mbaya? Inaonekana haiwezekani

Researcher David Icke anasema ,Huenda baada ya galactic civilization kwenye planet za mbali hukokuvurugika na kuleta hitilafu kubwa,familia nyingi za Aliens zilipata kutokuelewana na kusababisha mvurugano mkubwa ulioleta distruction za baadhi ya empire zao na kusababisha kusambaratika kwa madini maalumu kama ALMAS,GOLD,URANIUM,NEUTRON,PRUTONIUM,RADIUM ambayo ndo yanatumika kujengea empire zao n.k na kumewapelekea kudesign species watakaowasidia kurudisha baadhi ya mdini hayo yaliyoangukia kwenye plannet mbalimbali ambayo mojawapo ni EARTH,so existance ya human being ni programmed issure by Alien ndo mana wametuwekea signal za kuwasiliana nao,na signal hizo ni noc coding DNA genes ..

yan wamekuwekea DNA genes zitakazoprogrm mwili wako lakini pia wawe wanapata information kutoka kwako indirectly..

Mipango mingi sana inahusisha kuscan DNA zetu ziiingizwe kwenye universal data base ..lengo lake ni nini sasa,,?/

kwanini uwepo wa link kati ya human na Alien unafichwa sana ..??
kuna makubaliano makubwa sana kwanini siri hii imeendelea kuwepo .?

eveeything is by plan...
kusema kuwa lengo lao ni kufanya ukusanyaji wa madini yalipungua kwao au kurudisha baadhi ya madini inaweza ikawa point moja wapo ya kumprogram human being kama second collector wao..lakini pia kumtengeneza kiumbe ambaye atahifadhi traits(vinasaba ) zao.

Kuna baadhi ya documentary moja inaelezea kuwa Aliens empire katika baadhi ya high worlds ilivamiwa na cosmic radiation na kuwafanya kuanza kuchange color ya miili yao despite of being interlectual lakini hakuna kigumu mbele ya nature controller..

Baada ya kuvamiwa na hizo cosmic radiations iliwabidi aliens kutafuta ni wapi wataweza pandikiza DNA zao kwa ajili ya kuzuia Mutation( mabadiliko ya miili yao) kwa badae ..

ndo wakamua kuprogram viumbe ambao waliwaleta katika planet tofaut ikiwemo na dunia hii ili waweze kutunza biological traits zao..

lakini kwenye sayari zingine inasemekana kuwa hazikuwa nzuri sana kwani mabadiliko zaidi yalionekana kuwasili viumbe walioprogramiwa na kufanya kusitisha zoezi hilo lakini ilionekana kuwa dunia ndo sayari pekee ambayo haikuwa na uwezo wa kuundergo effects za cosmic radiations ambazo zinaleta mutation ya hizo traits za viumbe hao...

Ndo mana inawezekana kabisa kuwa Aliens wameamua kuwekeza hii kind of programing human being hasa dunia hii kwani some traits zao zipo ndani ya miili yetu ndo hizo Non coding DNA ..

Unajua kama unataka kuhifandhi kitu kwa muda mrefu ni dhahili utaandaa mazingira ya kuweza kumudu hali hiyo..

Ukitaka kupata ukweli huu jaribu kuumiza kichwa kwanin non coding DNA ndan ya miili yetu..?.

President John Adams passes the Naturalization Act, the first of four pieces of controversial legislation known together as the Alien and Sedition Acts, on this day in 1798.
(Rais John Adams anapitisha Sheria ya Ustawi, kwanza ya vipande vinne vya sheria ya utata inayojulikana kama Mgeni na Matendo ya Utamaduni, leo katika 1798.ambayo iliipa America kibali cha kufanya negotiation na Aliens kwa kazi maalumu lakini mambo yalifanywa siri nzito sana..)

Na kwanini watu wengi wanaofanya kazi kwenye taasis hizi za siri hasa serikali kama inajihusisha na maswali ya utafiti huwa wanakufa vifo vya ajabu sana,,

Nchi kama marekani yani watu wengi waliopo NASA kila wakisataafu wanarun mental problem na hiyo tunaita MENTAL ABDUCTION ,au wanaishia kuugua magonjwa kama kiharusi ( stroke) au hypertensive diseases au cardiovascular diseases kama HEART ATTACK,HEART FAILURE ,au BRAIN CANCER ,au CANCER OF UNKNOWN AETIOLOGY,,??

Kwanini watu wengi baada ya kufanya kazi kwenye taasisi hizo za siri wanapojaribu kutoa siri nyingi juu ya mambo yalivyo huwa wanaishia kupata ukichaa,,??

Fuatilia hili kama una ndugu yako anayefanya kazi serikalini hasa serikali za siri lazima kila wakistaafu watapata mental problem ,sio wote ila ni baadhi kulingana na sehemu na kitengo alichokuwa ,,

Hii yote pengine wasije kuanza kulopoka huko nje baada ya kutoka kifungoni..

Aliens are more superior interms of interlectual than human being ,tunaona technologia ikikua kwa kasi jambo ambalo lipo kinyume na utendaji kazi wa ubongo wa sasa wa mwanadumu,..kuna nini nyuma ya pazia,,??

kwanini uwezo wa mwanadamu kufikiri unapungua lakini technolojia inakuwa kwa kasi,,?? kina nani wanaoratibu haya mambo nyuma ya pazia.??

Tusije kweli kuwa tumeprogramiwa na Aliens kuwasaidia kuchukua hayo madini yaliyosambaratika kutoka kwao huko miaka mingi iliyopita na kuwafanya kuuumiza akili sana namna ya kufanya hiyo kazi ya kuanza kutafuta madini underground kwetu ila wakaamua kuprogram species watakaofanya hiyo kazi??
View attachment 839884

Nilipata muda wa kutembelea mradi wa kuzalisha umeme nchini Tanzania unaitwa kihansi electrical project upo IFAKARA wiliya ya kilombero mkoani Morogoro,
NADHANI ndo mradi uliocomplicated kuliko miradi yote ya umeme iliyopo Tanzania na AFrica mashariki kwa ujumla..

umeme wa KIHANSI unazaliswa underground kabsa ,yani kuna mlima mkubwa snaa halafu wamechonga tunnel inayoingia ndani ya mlima huo yenye umbali wa kilometre 3 halafu ndo unazama tena chini kwa umbali wa km 2 ndo unafika underground zambazo kuna makazi ya watu na mitambo yote,,kule chini ni kama umeinhia MLIMAN CITY SHOPPING CENTRE yan mitambo imeegeshwa huko balaaa,..

Sasa nikawa namuuliza Engener aliyekuwa zamu kuwa hivi ni binadamu kweli aliyehusika hapa au kuna some extra terrestrial ones,,??
aliishia kucheka na kuniambia under corabolations with some people iliwezekana. SASA KWANINI ALISEMA UNDER CORABORATION TULIWEZA,HIYO CORABOLATIO N A NANI..??

kwa akili yangu sikuaweza kuamini kama binadamu angeweza kupata access ya knowledge yote ile maybe sijui lakini..

mwisho,,,
Napenda kuomba mchango wenu wadau wenye ujuzi au uelewa juu ya uwepo wa non coding DNA bases kwenye mwili wetu lakini pia unapaswa ujiulize kuwa ,ni nini kazi ya non function genes,??
kwanini utafiti uliofanywa na wanasayansi Area 51 juu ya DNA sequence ya human na Alien ulionekana kufanana kwa percennt flani kwenye non coding genes??

JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?

cc
Da vincci Kipanga boy Sokoro waito Bitoz Sticky_fingers George_Mbuligwe Kiranga Humble African zitto junior TIASSA GuDume Francis3 Internal Lee Napoleon@Eiyee

na wengine kibao karibuni,,
ni hadithi nzuri hii wakiipata bongo muvi wakaifanyia haki
 
Shukrani mkuu!
Lakini mkuu jiulize pia na hao alien walitoka wapi????
Kwanza Aliens is hoax never existed ni man made creature of imagination...
Una ushahidi kua Aliens wapo...?
'"The greatest lie devil ever told is to convince the world he didn't exist " , Kevin spacey .
 
Na huyo aliens aliumbwa na nan
 
Back
Top Bottom