Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Kuna tafiti gani na ugunduzi gani huko mizinga? Au na huko kunashukaga aliens?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mzee baba... Kwanza si pa kwenda kwenda hovyo... Halafu si waona palivyo kaakaa, jina tu linatisha.... Hivyo kwa vile ni eneo la siri hatuwezi jua ya sirini yanayofanyika pale... Ila moja ya sehemu muhimu sana tena sana kwa nchi yetu Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tafiti gani na ugunduzi gani huko mizinga? Au na huko kunashukaga aliens?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna ulinzi mkubwa sana maeneo wanaposhuka hao viumbe..

tatizo mtu kutaka Aliens washuke sokono ndo aamini...

Waulize watu wanaofanya kazi katika sector nyeti hasa jeshi ndo watakupa mambo halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la msingi ambalo naona unakwepa kulijibu ni kuwa hao viumbe wengine waliwekwa na nan?!
 
Sipafahamu mkuu, Sijui palivyokaa. Eneo la Siri kama Area 51 panajulikana na baadhi ya tafiti na teknolojia zilizozalishwa pale zipo na zinajulikana. Hapo mizinga vipi chief? Au ni taboo kupaongelea?

Hata huku tuna Bermuda yetu pale Nungwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna watu hapa kwetu wanaruhusiwa kuingia nyuma ya ile milima ya kambi ya ngerengere Moro?! Maeneo mengine ni ya kimkakati sio kila mtu aende
 
kuna ulinzi mkubwa sana maeneo wanaposhuka hao viumbe..

tatizo mtu kutaka Aliens washuke sokono ndo aamini...

Waulize watu wanaofanya kazi katika sector nyeti hasa jeshi ndo watakupa mambo halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nikuulize Wewe! Vipi hapa bongoland walishashuka kwenye eneo la Siri? Wali exchange teknolojia gani na sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitu nimemwambia huko nyuma kwamba tayari tumegeuzwa wajinga kwa kuwasom
 
Swali la msingi ambalo naona unakwepa kulijibu ni kuwa hao viumbe wengine waliwekwa na nan?!
wew si unajibu lako ambalo ni mungu ndo kaweka viumbe hao...

Kwa sababu hata ukielezwa how evolution ya universe ilivyokuja utakataa kwa sababu unaamini neno Mungu kama supreme being wa vitu vyote..

Sijakataaa kuwa hakuna controller wa mambo yotr but umesoma kuhusu doctrine zinazoelezea how different races came to arise..??

umesoma kuhusu how the universe arose..?? au umekalili tu kuna mtu alikuwa anakomand hiki njoo hiki rudi..

Naomba nikulize kitu..


hivi hapo mwanzoni mungu alikuwa anakaa na akina nani wakati tunaona kuwa umri wa binadamu kwenye universe hiii ,humans only evolved about 200,000 miaka iliyopita ...
lakini umri wa universe ni miaka Bilion 13.9 ,hivi huoni kuwa huyo mungu alikuwa anakaa na kina nani kabla ya kumleta binadamu ...?? yani kwamba alikuwa ana species za kina Dinassaors pekee..??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwa siri kwa sababu mashetani yanaitwa alien lakini siyo kwli.
huoni kwamba inaweza kuwa ni njia pekee ya kumfanya mtu awachukie na kumfanya kuwa mbali nao ili wao wafanye selective interaction huku wakipandikiza mambo yao??

kwa sababu njia pekee ya mtu kumfanya asikusome ni kmfanya awe Adui yake... make atakaaa mbali na ww na hatakaa aumize kichwa juu yake ndo mana tumekalilishwa kuwa ni mashetani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ndo ametuumba sisi binadam watu pia wanauwezo tofaut wa kufikir kuna watu ni magenias ndo wameweza kufanya hivyo vitu unahisi ni alliens Mungu yupo na uwepo wake unadhihirika
 
Kipimo kilichopima umri wa universe kina miaka mingapi??
 
Maisha yatuvuruge na hvyo vitu vingine vituumize kichwa, tunapata nini?? Tupo busy tunajenga viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…