Natumai humu nyote ni wazima wa afya njema kabisa ,pole kwa yote lakini leo napenda kutoa mchango wangu kidogo kulingana na nilichopata kukiona au kujidhihilisha juu ya swali gumu ambalo limekosa majibu miaka nenda rudi juu ya binadamu alitoka wapi...
Sio lazima ukomaee na mealezo yangu lakini kama una imani yako baki na imani yako lakini kama unahitaji kujifunza mambo basi weka imanoi yako pembeni upate kujua haya..
kabla sijaendelea napenda kukufahamisha wewe au wale ambao mnapuuza sana juu ya conspiracy theories na kudai kuwa hazina proof sasa leo unaweza pata kitu hapa..
katika mwili wa kiumbe yoyote yule,kuna kitu iinachoitwa
DNA hiki ndo kinachobeba mwongozo wa jinsi utakavyokuja hapa duniani kwa
sura ipi,mfumo upi,mwonekano upi,kwa tabia ipi na sifa zote hizi hubebwa na kitu kinachoitwa DNA,
DNA ndo kila kitu kwan imebaba taarifa zote juu ya utengenezaji wa kila kitu ulichonacho mwilini..
killa kitu ulicho nacho mwilini mwako kuna specific genes
(jeni) ambayo inahusika na utengenezaji wake,ikitokea jeni inayohusika kutengeneza pua imepata hitilafu ukiwa bado tumboni kwa mama yako basi utengenezwaji wa pua utakosekana na utazaliwa ukiwa huna pua,na ikitokea jeni(gene) inayohusika na kutengeneza remondeling ya sura yako iwe nzuri ila ikapata hitilafu basi utazaliwa ukiwa na sura kama kinyago.
All in all, genes ndo kila kitu katika mwili wa kiumbe yoyote yule,hizi abnormality tunazoziona ni kwa sababu gene zetu zinapata hitilafu mahala fulani kwenye arrrangement zake ndani ya DNA sequence..
Arrangement za gene zetu zipo kwenye DNA kwa mfumo wa base pairing rule ,Genes zinaundwa na DNA bases ambazo zipo katika makundi mawili (
purine na pyrimidine ,ambapo purine ni
Adenine (A) na Guanine (G) lakini pia pyrimidine ni Cytocine (C),Tymine (T) na Uracil (U).Ila katika namna ya kupair ili kuform gene tunaona kuwa Adenine huwa anapair na Tymine hence A=T katika DNA na kwenye RNA inakuwa A=U Wale waliosoma molecular chemistry na bioloji watakuwa wanalijua hili. lakini pia Cytocine anapair na Guanine hence C=G
View attachment 839829
kwa hiyo purine ana pair na pyrimidine mmoja ili waform complimentary sequence ya kuja kutengenza gene factor control..kwa mfano gene inayohusika na utengeneza wa jicho ni ACG manake itokea mtu akapat effects kwenye arrangement hiyo ya
ACG na kuwa
AGC hapo tunasema gene imepata
mutation na kazi yake ya kutengeneza jicho inapotea kwa hiyo mtu atazaliwa hana jicho
lakini ukiangalia vizuri kwenye sequence hiyo kuna DNA codes hazipei kutengeneza functional gene...zinabaki hivo hivo tu..ni kama asilimia 85 ya DNA bases hazina kazi ya kutengeneza functional amino acid...
So only few percent DNA codes zilizopo kwenye DNA yetu ndo zina gene code zinazotengeneza protein kwa ajili ya kutengeneza specific organ mwilini mwetu kwa wakati maalumu..
SWALI JE": hizo code zingine zinatengeneza nini au kazi yake ni nini sasa..kiufupi tunapat makundi mawili ya genes hapo
,coding genes na non coding genes,,
kuna genes zinazopair ili kuunda functional genes( genes zinazofanya kazi na kuleta umbo maalumu mwilini) lakini kuna baadhi ya genes kwenye hoiyo hiyo DNA sequence hazi match (non coding genes) kutengeneza functional genes,,ni wazi kuwa kila bionadamu ana non coding genes ambazo hazicode kwa chochote mwilini mwake na kwanini ziwepo wakati hazina kazi..?
View attachment 839830wale watu wa molecular analysis na DNA chemistry nadhani hata nyie mtajiuliza au bila shaka mshajiuliza kwanini non coding genes zipo tu na hazihusiki kwa chochote,,,
lakini pia
Jozi ya wanasayansi kutoka Kazakhstan wanaamini kuwa aina zetu ziliundwa na mamlaka ya juu, ustaarabu wa mgeni ambao ama alitaka kuhifadhi ujumbe katika DNA yetu au tu kupanda maisha kwenye sayari nyingine.
Maxim A. Makukov wa Taasisi ya Astrophysical ya Fesenkov na Vladimir I. Shcherbak kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Farabi Kazakh alitumia miaka 13 akifanya kazi kwa Mradi wa Binadamu wa Genome - utume ambao ulituma ramani ya DNA ya binadamu.
Hitimisho lao lilikuwa kwamba wanadamu walitengenezwa na nguvu ya juu, na "seti ya mifumo ya hesabu na lugha ya kibei ya mfano" iliyoingizwa ndani ya DNA yetu.
coincidence,,??
kutokana na kuwepo kwa group la non coding genes kwenye DNA yetu wanasayansi wamefikia hatua ya kulipa jina la
JUNK DNA ,means gene DNA ambazo kazi yake haijulikani bado.
Comparative genomics studies have shown that some of this junk DNA is highly conserved, sometimes over hundreds of millions of years, which suggests that these noncoding regions have undergone positive selection throughout evolution and confer an advantage in terms of preserving or minimizing certain biological traits.
(
Uchunguzi wa jenomatiki umeonyesha kwamba baadhi ya DNA hii isiyojumuishwa huhifadhiwa sana, wakati mwingine juu ya mamia ya mamilioni ya miaka, ambayo inaonyesha kuwa mikoa hii isiyo na ukodishaji imewahi kuchaguliwa mzuri katika mageuzi na kutoa fursa kwa kuhifadhi au kupunguza baadhi ya sifa za kibiolojia.)
kuna baadhi ya tafiti zimekuja kufanyika kwa kuhusisha DNA sequence ya
HUMANOID ALIENS na kukuta kuwa seqence ya non coding genes kwa binadamu zinafanana kidogo na a part of DNA pair genes kwenye HUMANOID ALIEN DNA.
kwa hiyo inawezkana kabisa human being
were programmed na Alien kwa kazi maalumu na they are watching us for sure,,
View attachment 839838
DID EXTRATERRESTRIALS GENETICALLY ENGINEER HUMANS?
Uumbaji na mageuzi ni nadharia mbili maarufu za jinsi watu walivyokuwa. Ingawa labda ni nadharia zinazoenea zaidi, kuna shule nyingine ya mawazo: Binadamu viliundwa na extraterrestrials
Nadharia nyingine inachunguza wazo kwamba extraterrestrials manipulated DNA yetu ya kujenga damu mchanganyiko katika sayari yetu. Kipande cha ushahidi muhimu zaidi kuunga mkono nadharia hii ni kitu kinachojulikana kama Rh.
Uwepo wa kipengele cha Rh katika damu ya binadamu hufanya aina ya damu iwe chanya, wakati kutokuwepo kwake hufanya hasi. Watu wengi ni Rh chanya, na asilimia 15 tu ya idadi ya watu hawana sababu ya Rh.
Sababu ya Rh inaweza kuhusishwa na aina nyingine, hususani nyamba. Ukosefu wa hiyo unaendelea kubaki siri. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaamini kuwa inatokana na vitu vya nje. Wengi wanaokataa mgeni ni Rh hasi. ukiangalia kweli ni nadra sana kuwapata watu wenye blood group zenye RHESUS negative na baadaye nasikia lakinim kuwa eti huwa wanapotea mazingira ya kutatanisha kama walivyoalbino'''
Je! Hii ni bahati mbaya? Inaonekana haiwezekani
Researcher
David Icke anasema ,Huenda baada ya galactic civilization kwenye planet za mbali hukokuvurugika na kuleta hitilafu kubwa,familia nyingi za Aliens zilipata kutokuelewana na kusababisha mvurugano mkubwa ulioleta distruction za baadhi ya empire zao na kusababisha kusambaratika kwa madini maalumu kama
ALMAS,GOLD,URANIUM,NEUTRON,PRUTONIUM,RADIUM ambayo ndo yanatumika kujengea empire zao n.k na kumewapelekea kudesign species watakaowasidia kurudisha baadhi ya mdini hayo yaliyoangukia kwenye plannet mbalimbali ambayo mojawapo ni EARTH,so existance ya human being ni programmed issure by Alien ndo mana wametuwekea signal za kuwasiliana nao,na signal hizo ni noc coding DNA genes ..
yan wamekuwekea DNA genes zitakazoprogrm mwili wako lakini pia wawe wanapata information kutoka kwako indirectly..
Mipango mingi sana inahusisha kuscan DNA zetu ziiingizwe kwenye universal data base ..lengo lake ni nini sasa,,?/
kwanini uwepo wa link kati ya human na Alien unafichwa sana ..??
kuna makubaliano makubwa sana kwanini siri hii imeendelea kuwepo .?
President
John Adams passes the Naturalization Act, the first of four pieces of controversial legislation known together as the
Alien and Sedition Acts, on this day in 1798.
(
Rais John Adams anapitisha Sheria ya Ustawi, kwanza ya vipande vinne vya sheria ya utata inayojulikana kama Mgeni na Matendo ya Utamaduni, leo katika 1798.ambayo iliipa America kibali cha kufanya negotiation na Aliens kwa kazi maalumu lakini mambo yalifanywa siri nzito sana..)
Na kwanini watu wengi wanaofanya kazi kwenye taasis hizi za siri hasa serikali kama inajihusisha na maswali ya utafiti huwa wanakufa vifo vya ajabu sana,,
Nchi kama marekani yani watu wengi waliopo NASA kila wakisataafu wanarun mental problem na hiyo tunaita MENTAL ABDUCTION ,au wanaishia kuugua magonjwa kama kiharusi ( stroke) au hypertensive diseases au cardiovascular diseases kama HEART ATTACK,HEART FAILURE ,au BRAIN CANCER ,au CANCER OF UNKNOWN AETIOLOGY,,??
kwanini watu wengi baada ya kufanya kazi kwenye taasisi hizo za siri wanapojaribu kutoa siri nyingi juu ya mambo yalivyo huwa wanaishia kupata ukichaa,,??
fuatilia hili kama una ndugu yako anayefanya kazi serikalini hasa serikali za siri lazima kila wakistaafu watapata mental problem ,sio wote ila ni baadhi kulingana na sehemu na kitengo alichokuwa ,,
Hii yote pengine wasije kuanza kulopoka huko nje baada ya kutoka kifungoni..
Aliens are more superior interms of interlectual than human being ,tunaona technologia ikikua kwa kasi jambo ambalo lipo kinyume na utendaji kazi wa ubongo wa sasa wa mwanadumu,..kuna nini nyuma ya pazia,,??
kwanini uwezo wa mwanadamu kufikiri unapungua lakini technolojia inakuwa kwa kasi,,?? kina nani wanaoratibu haya mambo nyuma ya pazia.??
Tusije kweli kuwa
tumeprogramiwa na Aliens kuwasaidia kuchukua hayo madini yaliyosambaratika kutoka kwao huko miaka mingi iliyopita na kuwafanya kuuumiza akili sana namna ya kufanya hiyo kazi ya kuanza kutafuta madini underground kwetu ila wakaamua kuprogram species watakaofanya hiyo kazi??
View attachment 839884
Nilipata muda wa kutembelea mradi wa kuzalisha umeme nchini Tanzania unaitwa
kihansi electrical project upo IFAKARA wiliya ya kilombero mkoani Morogoro,
NADHANI ndo mradi
uliocomplicated kuliko miradi yote ya umeme iliyopo Tanzania na AFrica mashariki kwa ujumla..
umeme wa KIHANSI unazaliswa underground kabsa ,yani kuna mlima mkubwa snaa halafu wamechonga tunnel inayoingia ndani ya mlima huo yenye umbali wa kilometre 3 halafu ndo unazama tena chini kwa umbali wa km 2 ndo unafika underground zambazo kuna makazi ya watu na mitambo yote,,kule chini ni kama umeinhia
MLIMAN CITY SHOPPING CENTRE yan mitambo imeegeshwa huko balaaa,..
Sasa nikawa namuuliza Engener aliyekuwa zamu kuwa hivi ni binadamu kweli aliyehusika hapa au kuna some extra terrestrial ones,,??
aliishia kucheka na kuniambia
under corabolations with some people iliwezekana.
kwa akili yangu sikuaweza kuamini kama binadamu angeweza kupata access ya knowledge yote ile maybe sijui lakini..
mwisho,,,
Napenda kuomba mchango wenu wadau wenye ujuzi au uelewa juu ya uwepo wa non coding DNA bases kwenye mwili wetu lakini pia unapaswa ujiulize kuwa ,ni nini kazi ya non function genes,??
kwanini utafiti uliofanywa na wanasayansi Area 51 juu ya DNA sequence ya human na Alien ulionekana kufanana kwa percennt flani kwenye non coding genes??
JE; tunaweza kweli kuwa ni programmed species za hao jamaaa,,?
cc
Da vincci Kipanga boy Sokoro waito Bitoz Sticky_fingers George_Mbuligwe Kiranga Humble African zitto junior TIASSA GuDume Francis3 Internal Lee Napoleon@Eiyee
na wengine kibao karibuni,,