Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

karibu sana..
hivi wewe unatambua aliens kama kitu gani?
je kiumbe chochote kigeni dunia si alien?
kama kuna micro organism ametoka kwenye sayari nyingine akaingia duniani si alien?
je kiongozi tukisema alien hao wameumbwa na mungu na wanadamu wameumbwa na mungu bac wakapewa DNA zinazokaribia kufanana tunakosea?

maada yako sikupitia yote vizuri nimetulia kumbe wew unasema wanadamu wameubwa na alien na si kwamba alien na wanadamu wanaonekana kama wamenyumbulishwa yaan kuna sifa za kigenetic wanazofanana hapo utakuwa umekosea kiongozi.

labda tueleweshane hapa
 
Darsa kdg hapa Mkuu
mkuu..nahisi kiongozi akianza kukitolea ufafanuzi atalielezea vizuri..

Ila kiufupi kwenye Chaldean numerology ,namba zimeelezewa kukingana na strength ya kila namba ilivyo na nguvu ( frequency) katika kusynchronize na universal pattern energy..

kupitia Chaldean numerology utajus jinsi majina yalivyo na nguvu katika kumfanya mwanadamu awe na nguvu za kuapload knowlege somewhere( Core universal energy)..

Ndo mana wazungu wanakwambia ,be careful kumpa jina mwanao...jina unalompa mwanao linaweza affect maisha yake yote mpaka kufa..

ndo mana wanamuziki wanatumia majina mbadala tofauti na majina yao ya kuzaliwa ,kwani jina unalopewa unapozaliwa unakuwa umepewa jina ambalo wameamua tu kukupa bila kujua herufi za jina lako ambazo kila herufu inasimama na namba flani ukipiga total ya namba hizo zitakupa life pathy yako..

kwa hiyo kila life pathy ina strength kadhaaa kulingana na frequency ya energy inayotape toka universal synchronization energy system na kuufanya mwili wako uwe na high resolution ...

Kwa hiy hizo nick name unazoona wanapewa na secret societies siyo kwamba wamejitungia ,hapana ni majina ambayo ukiyaconvert unapata Numerology number flani ambayo inarepresent set flani ya key opening gateway na higher centers na kumfanya awe na nyota ya pekee snaa katika dunia hii..kila mtu atakuwa akilisikia jina hilo anakuwa na sense of plesure ya uwepo wako..

so Chaldean numerology ina mambo mazito ya siri..
 
Mama nanii lete bisi Uzi ushakuwa mtamu
 
Inawezekana watu wameshawaona ila wanaishia kusema nimeona jini hahahah
Hii thread ni nzuri sema napata kigugumizi sana kwa hawa viumbe kutokana na kuwa kama wao wametuumba kusudi waje wachukue madini according to sayari yao imehabiwa (sina uhakika) sasa mbona tz hatujawahi kuwa ona ama kuwa sikia mahali fulani

Isitoshe sisi ndo kuna madini mingi na mengine hayapo dunia nzima like TANZANITE au tuseme hawa ellian

Hawaonekani wako mfumo wa jini au mnasema walikuwepo viumbe wengine nje na binadamu swali hao viumbe walikuwa ellian wenyewe ama majini

Haya mambo m naona mzungu ndo anamajibu pekee tena yule alieandika kitabu cha hx kuwa binadamu alikuwa nyani....Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu..nahisi kiongozi akianza kukitolea ufafanuzi atalielezea vizuri..

Ila kiufupi kwenye Chaldean numerology ,namba zimeelezewa kukingana na strength ya kila namba ilivyo na nguvu ( frequency) katika kusynchronize na universal pattern energy..

kupitia Chaldean numerology utajus jinsi majina yalivyo na nguvu katika kumfanya mwanadamu awe na nguvu za kuapload knowlege somewhere( Core universal energy)..

Ndo mana wazungu wanakwambia ,be careful kumpa jina mwanao...jina unalompa mwanao linaweza affect maisha yake yote mpaka kufa..

ndo mana wanamuziki wanatumia majina mbadala tofauti na majina yao ya kuzaliwa ,kwani jina unalopewa unapozaliwa unakuwa umepewa jina ambalo wameamua tu kukupa bila kujua herufi za jina lako ambazo kila herufu inasimama na namba flani ukipiga total ya namba hizo zitakupa life pathy yako..

kwa hiyo kila life pathy ina strength kadhaaa kulingana na frequency ya energy inayotape toka universal synchronization energy system na kuufanya mwili wako uwe na high resolution ...

Kwa hiy hizo nick name unazoona wanapewa na secret societies siyo kwamba wamejitungia ,hapana ni majina ambayo ukiyaconvert unapata Numerology number flani ambayo inarepresent set flani ya key opening gateway na higher centers na kumfanya awe na nyota ya pekee snaa katika dunia hii..kila mtu atakuwa akilisikia jina hilo anakuwa na sense of plesure ya uwepo wako..

so Chaldean numerology ina mambo mazito ya siri..
Nimekuelewa vzr mno
 
Kawaida ila bado ningependa kujua kwanini ziwe 9 ingawa najua kila namba ina maana yake

Mfano 1 kwa kigiriki Alpha na kiarabu Alif na kiebrania ni Alefkwa kiswahili tunasema moja yaan namba ya mwanzo
mkuu,elimu ya maumbo na namba inaficha nguvu kubwa sana..

ndo mana Tesla anakwambia " if you would know the magnificance of numbers and symbols,you could change the world"..

Alikuwa anamanisha kitu kikubwa snaa..

siri za ulimwwngu huu zimefichwa katika maumbo na namba pamoja na herufi..

Moja inaandikwa 1, mbili inaandikwa 2 ,tatu inaandokwa 3 ,manake nini jinsi umbo la namba hizo linaleta nguvu flani katika energy spinning quatum ambapo linaunganisha moja kwa moja kati ya universal pattern na mahali namba il ilipo...

Kwa hiyo umbo kmaa pembe tatu lina maana kubwa snaa pale...

Kwa hiyo kila namba ina uzito wake katoka kusynchronize with the universal pattern..

Frequency energy ( Energy frequency) ya namba 3 ni ndogo kuliko energy frequency inayozalishwa na namba 6 ,same like kwa 9 kwa hiyo the more the numbers inakuwa kubwa ndipo uwezo wake unakuwa na value flani katika chaldean secret code interpretation..
 
Wale walioonwa na watoto kule zimbabwe nao ni hoax,halafu,mbona kule bermuda triangle hakuingiliki,na mwisho kwa nn wamarekani wanapalinda sana pale kwenye tobo lililo ncha ya kaskazini mwq dunia,kwa nn ikikatiza ndege yoyote au kitu chochote kitakachojaribu kulisogelea lile tobo lazima wamtungue,kuna nn pale????
Do your research vizuri kabla hujaandika kitu bro
umewapeleka chaka watu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi wewe unatambua aliens kama kitu gani?
je kiumbe chochote kigeni dunia si alien?
kama kuna micro organism ametoka kwenye sayari nyingine akaingia duniani si alien?
je kiongozi tukisema alien hao wameumbwa na mungu na wanadamu wameumbwa na mungu bac wakapewa DNA zinazokaribia kufanana tunakosea?

maada yako sikupitia yote vizuri nimetulia kumbe wew unasema wanadamu wameubwa na alien na si kwamba alien na wanadamu wanaonekana kama wamenyumbulishwa yaan kuna sifa za kigenetic wanazofanana hapo utakuwa umekosea kiongozi.

labda tueleweshane hapa
mkuu..naomba nikueleze kitu..

utata unapokuja na kusema kuwa Aliens pamoja na binadamu wameumbwa na Mungu,ninkwa vipi tuukubali usemi huo wakati ukichunguza mental analytical evidence zinagoma kumweka binadamu kama kiumbe ambae yupo kwenye jamiii hiyo ..

Moja ya evidence ya kuprovu kuwa mwanadamu katengenezwa na Aliens ni uwepo wa Mental ability ndogo kwa mwanadamu ambapo limeendelea kudhibitishwa hilo katika mikataba ambayp mwanadamu anakili kuwa na uelewa mdogo sana mpka kukubali masharti makubwa ya kupewa artificial intelligent na Aliens katoka kusimplify mambo yake..

kitu kingine kinachosadifu ni kuwa mentally controlled na higher life forms species ambao uwepo wao umeonekana kuwa dominant kwetu..
Vivyo hivyo Hat molecular analysis imedhibitisha uwepo wa non coding DNA bases kwenye mwili wako ambapo kwenye Aliens body zinafanya kazi( functinal DNA) ..

ndo mana tunasema kuwa Non coding DNA bases ni kama antena system kutrap mawazo ya mwanadamu na kucontrol system nzima ya mwili wako...

na hilo lishafanyiwa ufumbuzi mpaka mwanadamu akakiri kabsaa kuwa we are the product from the higher life forms..ndo mana mikataba ya kutoonesha uwepo wa Aliens katika kucontrol maisha ya mwanadamu imeendelea kuwa siri nzito snaa lengo na kutowapa upenye watu wa kufikiri nje ya box huku serikali kubwa zikiendelea kupewa maarifa makubwa na kubenefit from such kind of interaction awareness..

Ushahidi mwingine ni pale tunapotumia Aliens monoclonal genetic formula kupata cloning progen startor ambazo ndo zinazotupa mwongozo wa kutengeneza new species wenye uwezo mkubwa wa kiakili tofauti na mwanadamu wa kawaida..

kwanini only Foreign DNA strand ndo zinatumika katika kutupa new organism wenye maarifa makubwa??
 
ukwel ndio huo fact zitabaki kuwa fact na nadharia zitabaki kuwa nadharia
Asante kwa kuja mkuu maana haya matango pori tuliokuwa tunamezeshwa vichwa vinauma afadhali umekuja kupoza maumivu kidogo....nilikuwa nauona huu Uzi kama ile hadithi ya nchi ya kusadikika
 
Jozi ya wanasayansi kutoka Kazakhstan wanaamini kuwa aina zetu ziliundwa na mamlaka ya juu, ustaarabu wa mgeni ambao ama alitaka kuhifadhi ujumbe katika DNA yetu au tu kupanda maisha kwenye sayari nyingine.
je! kuna research ipi walifanya na kudhibitisha kuwa non coding gene zilitengenezwa na aliens?

kama aliens walihifadhi ujumbe kwenye hizo non coding gene mpaka hao wanasayansi kusema hivyo wanatakiwa kujua code hizo zimebeba ujumbe gani sasa nikuulize wamelijua hilo na kama wamejua nipe ujumbe uliobebwa na hizo code

kutokana na kuwepo kwa group la non coding genes kwenye DNA yetu wanasayansi wamefikia hatua ya kulipa jina la JUNK DNA ,means gene DNA ambazo kazi yake haijulikani bado.
mpaka hapa kiongozi hiyo ni siasa hawana fact hao wanasayansi

(Uchunguzi wa jenomatiki umeonyesha kwamba baadhi ya DNA hii isiyojumuishwa huhifadhiwa sana, wakati mwingine juu ya mamia ya mamilioni ya miaka, ambayo inaonyesha kuwa mikoa hii isiyo na ukodishaji imewahi kuchaguliwa mzuri katika mageuzi na kutoa fursa kwa kuhifadhi au kupunguza baadhi ya sifa za kibiolojia.)
hapa umefanya translation kwa kutumia translator sizani kama umeelewa ulichokiandika pia naamin hakuna aliyeelewa hii quotation

kuna baadhi ya tafiti zimekuja kufanyika kwa kuhusisha DNA sequence ya HUMANOID ALIENS na kukuta kuwa seqence ya non coding genes kwa binadamu zinafanana kidogo na a part of DNA pair genes kwenye HUMANOID ALIEN DNA.

kwa hiyo inawezkana kabisa human being were programmed na Alien kwa kazi maalumu na they are watching us for sure,,
kwanini usiseme huenda both aliens na mwanadamu wameumbwa na muumbaji mmoja ambaye ni mungu ndio maana wakafanana baadhi ya vitu?

kwanini isiwe viceversa kuwa mwanadamu ndio amemtengeneza aliens?
ukiangalia kweli ni nadra sana kuwapata watu wenye blood group zenye RHESUS negative na baadaye nasikia lakini kuwa eti huwa wanapotea mazingira ya kutatanisha kama walivyoalbino'''( kwanini tena hapa tunapata watu wenge group jingine lenye kizazi che damu hasi ???)...

unao ushahidi wa kupotea kwa hao watu?
upande wa albino ndugu hata sisi tumesoma maswala ya albinism kutokea kwa albino ninaelewa ila hawa albino hawapotei badala yake kutokana na ushirikina wanauliwa na kutekwa niseme tu ni kwamba wanapotezwa

Huenda baada ya galactic civilization kwenye planet za mbali hukokuvurugika na kuleta hitilafu kubwa,familia nyingi za Aliens zilipata kutokuelewana na kusababisha mvurugano mkubwa ulioleta distruction za baadhi ya empire zao na kusababisha kusambaratika kwa madini maalumu kama ALMAS,GOLD,URANIUM,NEUTRON,PRUTONIUM,RADIUM ambayo ndo yanatumika kujengea empire zao n.k na kumewapelekea kudesign species watakaowasidia kurudisha baadhi ya mdini hayo yaliyoangukia kwenye plannet mbalimbali ambayo mojawapo ni EARTH,so existance ya human being ni programmed issure by Alien ndo mana wametuwekea signal za kuwasiliana nao,na signal hizo ni noc coding DNA genes ..

hapa umeshasema ni huenda hivyo ni kuzania tu c fact tena hakuna tofauti na hadithi ya sungura na kobe

Mipango mingi sana inahusisha kuscan DNA zetu ziiingizwe kwenye universal data base ..lengo lake ni nini sasa,,?/

hiyo universal database ipo wapi?
ushahidi wa kuwepo kwa hiyo database upo? leta fact

MKUU NAOMBA MAJIBU HAPO
 
je! kuna research ipi walifanya na kudhibitisha kuwa non coding gene zilitengenezwa na aliens?

kama aliens walihifadhi ujumbe kwenye hizo non coding gene mpaka hao wanasayansi kusema hivyo wanatakiwa kujua code hizo zimebeba ujumbe gani sasa nikuulize wamelijua hilo na kama wamejua nipe ujumbe uliobebwa na hizo code

mpaka hapa kiongozi hiyo ni siasa hawana fact hao wanasayansi

hapa umefanya translation kwa kutumia translator sizani kama umeelewa ulichokiandika pia naamin hakuna aliyeelewa hii quotation

kwanini usiseme huenda both aliens na mwanadamu wameumbwa na muumbaji mmoja ambaye ni mungu ndio maana wakafanana baadhi ya vitu?

kwanini isiwe viceversa kuwa mwanadamu ndio amemtengeneza aliens?

unao ushahidi wa kupotea kwa hao watu?
upande wa albino ndugu hata sisi tumesoma maswala ya albinism kutokea kwa albino ninaelewa ila hawa albino hawapotei badala yake kutokana na ushirikina wanauliwa na kutekwa niseme tu ni kwamba wanapotezwa

hapa umeshasema ni huenda hivyo ni kuzania tu c fact tena hakuna tofauti na hadithi ya sungura na kobe

hiyo universal database ipo wapi?
ushahidi wa kuwepo kwa hiyo database upo? leta fact

MKUU NAOMBA MAJIBU HAPO
nadhani kitu ambacho unapaswa kukifanya ni kuprovu kwanza uweo wa hizo scientific facts ambazo wamefikia mpaka wakapostulate hizo findings zao...

Kingine labda nikwambie tu ukweli kuwa unapokuwa unapinga uwezo wa universal data base manake inadhihirisha kuwa ni kweli hujafanikiwa kuipata hiyo ndo mana inawekwa siri..

kuwepo kwa usiri mkubwa juu ya universal data base ndipo tunapofikia ya kuprove positively uwepo wa results ambazo only few wanapata access..

Kingine ni kwamba ulitaka waweke ukweli kwa wote,!! unajua madhara ambayo taasisi za siri zitapata baada ya kuexpose ukweli hadharani...??

do you think mambo yataenda kama yanavyoenda..??

pengine kama nimesahau maswali yako kbla sijakujibu naomba uniambie au toa mchango juu ya uweo wa junk DNA bases kwenye mwili wa binaadamu kabla ya kutoa facts za kisiasi...

tusipinge kwa siasa ,pinga kwa kutoa au kupinga biological point of reality...
ukiweza kuchangia juu ya Junk DNA nadhani nitakuona mtu unayefuatilia mambo unless otherwise nitakuona mwanasiasa uliozoea kuquote bila kufikilia scientific proof of realim...

Na pengine nitakuomba uniambie juu ya kwanini tunatumia foreign strang katika kuconstruct new genome of high intelligent tofauti na strand yetu..!!

ukishindwa hapo basi hujui chochote kuhusu DNA junk tunayoiongelea ..
 
mkuu..naomba nikueleze kitu..

utata unapokuja na kusema kuwa Aliens pamoja na binadamu wameumbwa na Mungu,ninkwa vipi tuukubali usemi huo wakati ukichunguza mental analytical evidence zinagoma kumweka binadamu kama kiumbe ambae yupo kwenye jamiii hiyo ..
Moja ya evidence ya kuprovu kuwa mwanadamu katengenezwa na Aliens ni uwepo wa Mental ability ndogo kwa mwanadamu ambapo limeendelea kudhibitishwa hilo katika mikataba ambayp mwanadamu anakili kuwa na uelewa mdogo sana mpka kukubali masharti makubwa ya kupewa artificial intelligent na Aliens katoka kusimplify mambo yake.
hiyo si sababu mfano mwanadamu na nyani nadhani unaamini nyani hana akili kuliko mwanadamu je kwa sababu hiyo tuseme nyani ameumbwa na mwanadamu? na baada ya hapo tuseme hiyo ni mental analytical evidence huku tukijipongeza

.
kitu kingine kinachosadifu ni kuwa mentally controlled na higher life forms species ambao uwepo wao umeonekana kuwa dominant kwetu..
Vivyo hivyo Hat molecular analysis imedhibitisha uwepo wa non coding DNA bases kwenye mwili wako ambapo kwenye Aliens body zinafanya kazi( functinal DNA) ..
haha hivi kuna mtu alishawafanyia DNA checkup hao aliens na hata uhakika wa sehemu aliens wanapoishi hakuna sasa cjui walichunguzwa vipi hizo DNA zao

mkuu naomba utaje njia zilizotumika kufanya analysis ya aliens DNA kama utaweza kutoa hata moja inayoeleweka

ndo mana tunasema kuwa Non coding DNA bases ni kama antena system kutrap mawazo ya mwanadamu na kucontrol system nzima ya mwili wako...
mwanzo ulisema hizi non coding gene hazifanyi kazi yoyote sasa hii uliyoitaja si kazi?

pia hizi habari za kuchapa inasemekana inadhirisha wazi hakuna uhakika kwasababu kama kitu kilifnayiwa utafiti wangeonesha baada ya kufanya utafiti kwa kupitia procedure fulan tumegundua haya lakin wew kila jibu lako halikosi maneno haya (inasemekana or huenda)

na hilo lishafanyiwa ufumbuzi mpaka mwanadamu akakiri kabsaa kuwa we are the product from the higher life forms..ndo mana mikataba ya kutoonesha uwepo wa Aliens katika kucontrol maisha ya mwanadamu imeendelea kuwa siri nzito snaa lengo na kutowapa upenye watu wa kufikiri nje ya box huku serikali kubwa zikiendelea kupewa maarifa makubwa na kubenefit from such kind of interaction awareness..
mwanadamu yupi aliyekiri? kama mimi pia bado nabishana na wew hapa pia wapo na wengine kama mimi nao watabisha basi amini ni wale wanadamu wasiofikiri vizuri ndio wamekiri

wewe jaribu kusema kuna moja wapo ya mwanadamu ambaye hakuhitaji kujiongeza basi akakiri yeye ni product ya aliens

Ushahidi mwingine ni pale tunapotumia Aliens monoclonal genetic formula kupata cloning progen startor ambazo ndo zinazotupa mwongozo wa kutengeneza new species wenye uwezo mkubwa wa kiakili tofauti na mwanadamu wa kawaida..

kwanini only Foreign DNA strand ndo zinatumika katika kutupa new organism wenye maarifa makubwa??

unaweza kunipa evidence kweli DNA inayofanyiwa manipulation ni ya aliens
 
Back
Top Bottom