UKAWA hawakujipanga vizuri. Tatizo hiyo tallying center katoa siri blogger mmoja wa NASA lakini yuko chini ya radar kwa sasa. NASA wanahadi NGO( Non Government Organization) pia iko na tallying center na sio moja au mbili zipo hizo NGO zaidi. Acha tusimwage mchele penye kuku wengi.
Huu uvamizi nauona saa hii kwa Ktn News. Kumbe ulifanyika!. Basi inaonekana Kuna watu kapaniki na wanajijua.This is the evidence that shows the opposition was raided by the police. Lakini hawajui kuwa bado tuna tallying center nje ya Nairobi na nje ya Kenya. Nitatengeneza thread ya matokeo kutoka kwenye hizo tallying centers. Ningeomba watu wa NASA tue na utulivu. Tulitegemea hiki kitu. Bado tuko vizuri. Tena sana.View attachment 558573View attachment 558576 View attachment 558577View attachment 558578 View attachment 558579View attachment 558580 View attachment 558581View attachment 558582 View attachment 558588
Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.
Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
Makarao. Hehe!Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.
Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
Kusema sio kazi kubwa Jimmy, we all know politics. Wa-drop hizo pics habari ikwishe mazee.Mkuu kama umesoma vizuri hiyo barua ya NASA wanasema wamechukua hadi camera.
Whenever I come across- --your comments.Makarao. Hehe!
Kusema sio kazi kubwa Jimmy, we all know politics. Wa-drop hizo pics habari ikwishe mazee.
Umeuliza swali zuri sana. Kilikuwa na CCTV cameras. Jumla ya askari walio vamia hicho kituo walikua almost kama 30. Walipo ingia walikuta vijana waliokuwa wakipewa mafunzo nakuwambia walale chini. Walichukua savers, laptops, Simu, tablets na DVR inayo control CCTV cameras. Walichukua majina ya watu wote, sehemu wanapoishi ikiwa na vitambulisho vyao vilichukuliwa pia. Walitishiwa kupigwa risasi kama wangepiga kelele. Pia kwenye picha hao ni viongozi wa NASA au sio wa NASA??. Nimekuwekea picha ya mlango ukionyesha kuwa kitasa kilivunjwa. DVR ya CCTV waliondoka nayo. Lakini bado tumejipanga. Wamemgusa simba mkiya.Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.
Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
Mulisaa hivi mbona Wewe wajua mengi kuhusu kilichotokea kushinda WaKenya wenyewe?Umeuliza swali zuri sana. Kilikuwa na CCTV cameras. Jumla ya askari walio vamia hicho kituo walikua almost kama 30. Walipo ingia walikuta vijana waliokuwa wakipewa mafunzo nakuwambia walale chini. Walichukua savers, laptops, Simu, tablets na DVR inayo control CCTV cameras. Walichukua majina ya watu wote, sehemu wanapoishi ikiwa na vitambulisho vyao vilichukuliwa pia. Walitishiwa kupigwa risasi kama wangepiga kelele. Pia kwenye picha hao ni viongozi wa NASA au sio wa NASA??. Nimekuwekea picha ya mlango ukionyesha kuwa kitasa kilivunjwa. DVR ya CCTV waliondoka nayo. Lakini bado tumejipanga. Wamemgusa simba mkiya.
Walichukua DVR inayo control CCTV cameras. Walikaa almost more than an hour. Wakichukua nakuchunguza viatu. Lakini niwajinga sana. Wangesubilia muda wa uchaguzi labda wakafanya hivyo impact ingekuwepo kubwa. Not at this time. Plan B,C,D,E na F zipo zakutosha at this time. Naukweli hawawezi.Sio watu kama bashite wale wana hakikisha hakuna proof behind.
Because am in control with NASAMulisaa hivi mbona Wewe wajua mengi kuhusu kilichotokea kushinda WaKenya wenyewe?
Haha we Mtanzania una mambo.
Hehe acha siasa hilo jina ulotumia,makarao ndo limenishangaza,old school sheng! Siku hizi ni mambang'a.🙂Whenever I come across- --your comments.
Lazima ninuse harufu za Jubilee. All the best Kenyans