Proof for Police raid on NASA office(tallying center)

Proof for Police raid on NASA office(tallying center)

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
This is the evidence that shows the opposition was raided by the police. Lakini hawajui kuwa bado tuna tallying center nje ya Nairobi na nje ya Kenya. Nitatengeneza thread ya matokeo kutoka kwenye hizo tallying centers. Ningeomba watu wa NASA tue na utulivu. Tulitegemea hiki kitu. Bado tuko vizuri. Tena sana.
IMG_20170805_100542.jpg
IMG_20170805_000209.jpg
IMG_20170805_095513.jpg
IMG_20170805_095627.jpg
IMG_20170805_095655.jpg
IMG_20170805_100445.jpg
IMG_20170805_100459.jpg
IMG_20170805_100522.jpg
IMG_20170805_102811.jpg
 
Hii ni tallying center ya NASA. Ipo nje kidogo ya nchi ya Kenya.
IMG_20170805_100116.jpg
 
Hii nayo ni tallying center ya NASA. Pia ipo nje kidogi ya Nchi ya Kenya. Hizi hawawezi kabisa kuziingilia.
IMG_20170805_100044.jpg
 
Kama ya UKAWA

Sent using Jamii Forums mobile app
UKAWA hawakujipanga vizuri. Tatizo hiyo tallying center katoa siri blogger mmoja wa NASA lakini yuko chini ya radar kwa sasa. NASA wanahadi NGO( Non Government Organization) pia iko na tallying center na sio moja au mbili zipo hizo NGO zaidi. Acha tusimwage mchele penye kuku wengi.
 
Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.

Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
 
Siasa za Kenya mnazijua wenyewe...
 
This is the evidence that shows the opposition was raided by the police. Lakini hawajui kuwa bado tuna tallying center nje ya Nairobi na nje ya Kenya. Nitatengeneza thread ya matokeo kutoka kwenye hizo tallying centers. Ningeomba watu wa NASA tue na utulivu. Tulitegemea hiki kitu. Bado tuko vizuri. Tena sana.View attachment 558573View attachment 558576 View attachment 558577View attachment 558578 View attachment 558579View attachment 558580 View attachment 558581View attachment 558582 View attachment 558588
Huu uvamizi nauona saa hii kwa Ktn News. Kumbe ulifanyika!. Basi inaonekana Kuna watu kapaniki na wanajijua.
 
Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.

Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?

Mkuu kama umesoma vizuri hiyo barua ya NASA wanasema wamechukua hadi camera.
 
Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.

Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
Makarao. Hehe!
 
Mulisaaa kuparakachukuliwa kwa viti na cables mbona bado sio proof iliyomakenika.

Hicho kituo hakikuwa na camera? Kwanini wasiweke picha za makarao au watu wakiwa ndani ili kuuaminisha umma?
Umeuliza swali zuri sana. Kilikuwa na CCTV cameras. Jumla ya askari walio vamia hicho kituo walikua almost kama 30. Walipo ingia walikuta vijana waliokuwa wakipewa mafunzo nakuwambia walale chini. Walichukua savers, laptops, Simu, tablets na DVR inayo control CCTV cameras. Walichukua majina ya watu wote, sehemu wanapoishi ikiwa na vitambulisho vyao vilichukuliwa pia. Walitishiwa kupigwa risasi kama wangepiga kelele. Pia kwenye picha hao ni viongozi wa NASA au sio wa NASA??. Nimekuwekea picha ya mlango ukionyesha kuwa kitasa kilivunjwa. DVR ya CCTV waliondoka nayo. Lakini bado tumejipanga. Wamemgusa simba mkiya.
 
Mulisaa hivi mbona Wewe wajua mengi kuhusu kilichotokea kushinda WaKenya wenyewe?
 
Sio watu kama bashite wale wana hakikisha hakuna proof behind.
Walichukua DVR inayo control CCTV cameras. Walikaa almost more than an hour. Wakichukua nakuchunguza viatu. Lakini niwajinga sana. Wangesubilia muda wa uchaguzi labda wakafanya hivyo impact ingekuwepo kubwa. Not at this time. Plan B,C,D,E na F zipo zakutosha at this time. Naukweli hawawezi.
 
Whenever I come across- --your comments.

Lazima ninuse harufu za Jubilee. All the best Kenyans
Hehe acha siasa hilo jina ulotumia,makarao ndo limenishangaza,old school sheng! Siku hizi ni mambang'a.🙂
 
Back
Top Bottom