Tupo mkuu.Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Hamna kitu hapo nairobiwalker poleKuna kijana Fulani mmoja Kenya underground anajiita Rhymaholic MVI. Huyo namkubali sana. Jamaa ako bie. Tafuta Ngoma zake mdundo. Nadhani Facebook page yake hii... Rhymaholic MVI.
Groupe public Rhymaholic MVI | Facebook
Nataka nifikishe 100 ndio niwaache sasa.job well-done @Annael.keep them posted.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]90. Diamond Platnumz
that one is very true bro.hasa zile matutu za buru58,ni ngumu sana kusikia soft music.the music played is very loud and has some element of hardcore...wale watu PB na tuberculosis zile matatu haziwafai.