si bora hawa wa kwetu wanajitahidi....ukisikiliza kiswahili kinachoimbwa na wakenya unaweza ukatapika kabisa.Hawa wanamuziki hawana watu wa kuangalia matamshi yao kabla ya kwenda studio...maneno sale sale badala ya sare sare yanatia kichefuchefu.
Huyu baada ya miezi miwili atakuwa amewafunika nonini ,bahati,willy Paul, elani na wengine wengi.Poleni wakenya aliye uroga mziki wenu bado anatembea uchi kwenye mapaa ya watu[emoji23]Kitu kipya Lava Lava Toka wasafi
Kamuoneshe na Baba yako Uhuru Kenyatta😀😀😀😀
View attachment 513991 View attachment 513992 View attachment 513993
😀😀😀😀😀😀 ulitaka nikuoneshe picha yangu na jina langu???Acha ujinga kijana mdogo. Passport unaweza chukua ya yeyote Na upige picha. We're talking based on your knowledge of Kenya. it's clear you've never been to Kenya.
😀😀😀😀😀😀 ulitaka nikuoneshe picha yangu na jina langu???
Hamna kitu hapoUmesikiza Ngoma ama unapuuza tu juu ya ubishi?
sasa kama hutaki jina na picha yangu unataka nini???? unaogopa ntakuaibisha au ?????? nafkiri ushaelewa maana yanguSihitaji picha yako wala jina lako wala passport yako ila maarifa yako kuhusu Kenya ni ushahidi tosha kama umefika Kenya. Mfano - mtu aliyefika Dar hivi majuzi hawezi kana kwamba jengo la TPA halipo Dar. Vilevile akiyefika Nairobi anaelewa kwamba KICC lipo Nairobi. Ushaelewa kijana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]sasa kama hutaki jina na picha yangu unataka nini???? unaogopa ntakuaibisha au ?????? nafkiri ushaelewa maana yangu
asante kwa kuja karibu tena😀😀😀😀😀😀
naona wewe ni a real hip-hop head. punchline kibao verse ni classicmoja kati ya wasanii wa kikenya ninao wakubari ni johnny vigeti,huyu jamaa ni muasisi wa kundi maarufu la hiphop lililofahamika kama kalamashaka.
watoto wa juzi hawawezi mfahamu.
kuna wakati alijihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.bila shaka kwasasa yupo vizuri.jamaa anafanya conscious hiphop ile "videadly".
Namkubali sana Jaguar na ngoma yake " kigeugeu'Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Tupo wengi tu naukubali mziki wa kenya[emoji106]Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]