PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Hawa wanamuziki hawana watu wa kuangalia matamshi yao kabla ya kwenda studio...maneno sale sale badala ya sare sare yanatia kichefuchefu.
si bora hawa wa kwetu wanajitahidi....ukisikiliza kiswahili kinachoimbwa na wakenya unaweza ukatapika kabisa.
 
Ni kwel kwa sasa wabongo tupo juu ila wakenya ni uzembe wao tu nakumbuka miaka ya 2008 kurud nyuma nyimbo zao zilishika sana na walitawala na hata wabongo tulikuwa tunapagawa na nyimbo zao like nansia nikikuwaza wa nameless enzi zile ulibamba sana . sijui kimewapata nin siku hiz naona hata Jaguar siku hiz kimya
 
Hata maua yanauopamba video za bongo ni maua mazuri mno
 
Kitu kipya Lava Lava Toka wasafi

Huyu baada ya miezi miwili atakuwa amewafunika nonini ,bahati,willy Paul, elani na wengine wengi.Poleni wakenya aliye uroga mziki wenu bado anatembea uchi kwenye mapaa ya watu[emoji23]
 
Acha ujinga kijana mdogo. Passport unaweza chukua ya yeyote Na upige picha. We're talking based on your knowledge of Kenya. it's clear you've never been to Kenya.
😀😀😀😀😀😀 ulitaka nikuoneshe picha yangu na jina langu???
 
😀😀😀😀😀😀 ulitaka nikuoneshe picha yangu na jina langu???

Sihitaji picha yako wala jina lako wala passport yako ila maarifa yako kuhusu Kenya ni ushahidi tosha kama umefika Kenya. Mfano - mtu aliyefika Dar hivi majuzi hawezi kana kwamba jengo la TPA halipo Dar. Vilevile akiyefika Nairobi anaelewa kwamba KICC lipo Nairobi. Ushaelewa kijana?
 
sasa kama hutaki jina na picha yangu unataka nini???? unaogopa ntakuaibisha au ?????? nafkiri ushaelewa maana yangu
asante kwa kuja karibu tena😀😀😀😀😀😀
 
sasa kama hutaki jina na picha yangu unataka nini???? unaogopa ntakuaibisha au ?????? nafkiri ushaelewa maana yangu
asante kwa kuja karibu tena😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
gwiji wa bongo flavor king kiba
ALIKIBA-1.jpg
alikiba-emad.jpg
Ali-Kiba.jpg
 
katika ngoma ambayo inanipagawisha kwa sana kwa wakati huu,ni hii ya harmonize.
everything from melody,swahili fluency, beat and video is on point.
bonge la ngoma dadadeki,bongofleva noma sana,no wonder why kenyans love our music.
 
moja kati ya wasanii wa kikenya ninao wakubari ni johnny vigeti,huyu jamaa ni muasisi wa kundi maarufu la hiphop lililofahamika kama kalamashaka.

watoto wa juzi hawawezi mfahamu.
kuna wakati alijihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.bila shaka kwasasa yupo vizuri.jamaa anafanya conscious hiphop ile "videadly".

naona wewe ni a real hip-hop head. punchline kibao verse ni classic
 
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.

kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Namkubali sana Jaguar na ngoma yake " kigeugeu'
 
naona wewe ni a real hip-hop head. punchline kibao verse ni classic
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Naukubali sana mziki wa Kenya hasa hip hop pamoja na sauti soul Bila kumsahau the bad boy nyashnski jamaa yupo juu sana. Alafu misiamini kama eti Kenyan music umedrop kiivo bado upo sana tu. By the way ngoma yangu kali kutokea Kenya ni Nameless nasinzia ... Hi ngoma niya century achana na hizi bubblegum za bongo wanaimba vitu havieleweki na kujisifu+mapenzi.
 
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.

kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Tupo wengi tu naukubali mziki wa kenya[emoji106]
 
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.

kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]

Honestly mimi ni Mtanzania na ninapenda sana nyimbo zao hasa kutoka Single Artists n groups km hawa:-

Swahili Nation

E-Sir

Longombas

Amani

Necessary Noize

Nameles

Jua Kali

Nonini

Nyota Ndogo

Na sasa kina Jaguar

P Unit

Saut Soul

Back
Top Bottom