Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
hata hapa tz hakuna mziki unao-trend mda wote.another thing ni ati wakenya hupenda sana kuwa nafasi ya mbele katika kupata nyimbo zinazotrend..hivyo,hata kama ni wimbo mpya wa bongo na unapendeza utausikia kotekote...baada ya muda wataupotezea
kwanza kuna huyu jamaa anaitwa fidQ..huyu legacy yake ipo..diamond ali kiba na huyu jamaa wangu proff jay..akina chege waliwahi kuvuma sana na sasa darasa ndio habari nyingine..jamaa kajaaliwa rundo la kipawa na sijui ile sheng kajifunzia wapi maana ina mshiko ajabuhata hapa tz hakuna mziki unao-trend mda wote.
karibia nyimbo nyingi sana mda wake wa ku-trend ukiisha,nazo hupoteza ladha na kutoweka.
lakini kuna ile hali ya mwanamziki kuacha legacy katika nyimbo aliyotoa.
wanamuziki wengi wa kitz,kazi zao zinafanikiwa kuacha legacy hapo Kenya.
naona umejizuia sana,nafsi ikakushinda ukaamua uje tu u-comment.Mziki ya Kenya inatumia sheng' sanasana na itapendeza wakenya peke yao juu nyie hamuelewi sheng...
Kuja twitter sai mseenaona umejizuia sana,nafsi ikakushinda ukaamua uje tu u-comment.
soma hizo screenshots kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
naona umejizuia sana,nafsi ikakushinda ukaamua uje tu u-comment.
soma hizo screenshots kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
acha kuidanganya nafsi yako.your favorite east african music genre is BONGOFLEVA.
wakati wakenya wanaojielewa wanakubari bila kuficha kuwa bongofleva ni moto wa kuotea mbali,wewe unakuja na porojo ya Twitter. SMH.Kuja twitter sai msee
Hata bashite hapendi sembuse MimiJe kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.
kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]