PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

kuna wale rafiki zangu wakenya ambao sometimes they become too extreme when I post these type of screenshots,najua huko waliko wana hasira sana.
ila hakuna namna itabidi wachague moja, kupita kimya kimya au waje na facts.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
c676ea2d18be658acc1dc734d0c38e2c.jpg
32fe6be8e063400c1da06a2ccab263e6.jpg
9d01f33d168d529a3f0f1c1227d84bcd.jpg
 
another thing ni ati wakenya hupenda sana kuwa nafasi ya mbele katika kupata nyimbo zinazotrend..hivyo,hata kama ni wimbo mpya wa bongo na unapendeza utausikia kotekote...baada ya muda wataupotezea
 
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.

kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]

Naah! Siyo siku hizi. Nawakumbuka Kleptomaniax wa Ogopa DJs sana sana ule wimbo wao Swing Swing. Pia Nonini wa keroro.

Ila Tz bongoflava iko juu na imara.
 
Mziki ya Kenya inatumia sheng' sanasana na itapendeza wakenya peke yao juu nyie hamuelewi sheng...
 
another thing ni ati wakenya hupenda sana kuwa nafasi ya mbele katika kupata nyimbo zinazotrend..hivyo,hata kama ni wimbo mpya wa bongo na unapendeza utausikia kotekote...baada ya muda wataupotezea
hata hapa tz hakuna mziki unao-trend mda wote.
karibia nyimbo nyingi sana mda wake wa ku-trend ukiisha,nazo hupoteza ladha na kutoweka.

lakini kuna ile hali ya mwanamziki kuacha legacy katika nyimbo aliyotoa.
wanamuziki wengi wa kitz,kazi zao zinafanikiwa kuacha legacy hapo Kenya.
 
kwanza kuna huyu jamaa anaitwa fidQ..huyu legacy yake ipo..diamond ali kiba na huyu jamaa wangu proff jay..akina chege waliwahi kuvuma sana na sasa darasa ndio habari nyingine..jamaa kajaaliwa rundo la kipawa na sijui ile sheng kajifunzia wapi maana ina mshiko ajabu
 
Mziki ya Kenya inatumia sheng' sanasana na itapendeza wakenya peke yao juu nyie hamuelewi sheng...
naona umejizuia sana,nafsi ikakushinda ukaamua uje tu u-comment.
soma hizo screenshots kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
c676ea2d18be658acc1dc734d0c38e2c.jpg
32fe6be8e063400c1da06a2ccab263e6.jpg
9d01f33d168d529a3f0f1c1227d84bcd.jpg
 
I Love Kenyan music like crazy.

Hatutapigana na kusengenyana forever....Kenyans and Tanzanians.

acha kuidanganya nafsi yako.your favorite east african music genre is BONGOFLEVA.
 
naona umejizuia sana,nafsi ikakushinda ukaamua uje tu u-comment.
soma hizo screenshots kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
c676ea2d18be658acc1dc734d0c38e2c.jpg
32fe6be8e063400c1da06a2ccab263e6.jpg
9d01f33d168d529a3f0f1c1227d84bcd.jpg

Yeah you are right. Penye ukweli usemwe, Bongo flava and Naija music.....and to some extent SAn music have taken the Kenyan music scene by storm, such that many Kenyans dont care about their own music that much.
Some Kenyans argue that they like Bongo flava cos it's poetic, the beats well organized, not as discordant as in the Kenyan music, but it is not clear to me why then SAn or Ngrian songa are more popular than the Kenyan songs cos they sound quite the same in terms of the tempo and the trashy messanges.
 
Nikiwa kama MTz kuna wasanii wa KE nawahusudu kinouma mfano Juacali,Nonini,Wyre,Yule mdada Avril nadhani ....wapo wengi tuu na hii ni sababu tangu nikiwa home mdogo Radio Stations nyingi nilikua nasikiliza za Kenya na hata sasa nikiwa Kijijini ndo hivyo maana Stations za Tz nilipo hazikua zinasikika.At their level Kenyan Musicians wanakuja vizuri tuu sio wa kubeza.Dawa ya moto ni moto naihusudu sanaaa.
 
acha kuidanganya nafsi yako.your favorite east african music genre is BONGOFLEVA.

My taste in music is quite diverse.....ranging from Metallica, Coldplay, Angelique Kidjo, Kenny G, Rollingstones, Darassa (whom I assumed was a Kenyan btw), Brenda Fasi, Oliver Ngoma....
 
Kuja twitter sai msee
wakati wakenya wanaojielewa wanakubari bila kuficha kuwa bongofleva ni moto wa kuotea mbali,wewe unakuja na porojo ya Twitter. SMH.

kama shida yako ni screenshots za wakenya toka Twitter wakisifia mziki wa tz na artist wa tz,usijari nitazileta.ila kwa sasa tubaki kwanza YouTube.

musically, bongofleva rules EA ,even your top artist like caligraph jones,are down with it.can you imagine!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0dc9205dda5507213c6a9f19d87d18f9.jpg
6318b3ecb5cab2afafc01008c658872b.jpg
018406a2eb71565d76b8c44888c60901.jpg
3d18c5ca32bc47f2946cf129716b6a59.jpg
e3681fc74e3dadbcb7d6a4b47e6038c2.jpg
 
Collins unatafuna miraa saa hii?.
 
Je kuna vijana wa kitanzania wanapenda sana mziki wa kikenya kama vijana wa kikenya wanavyopenda mziki wa kitanzania?.

kama wapo,wakenya leteni ushahidi hapa.ila msipaniki.[emoji23] [emoji23]
Hata bashite hapendi sembuse Mimi
 
Acheni vita tucheze muziki......I cant get enuff of these guys, wow!

Back
Top Bottom