PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

hili swala halina ubishi mziki unaopendwa zaidi east africa ni bongo flavor...............................na wasanii wanaokubalika zaidi east africa mpaka africa ni wa tanzania, kama niliwah kuingia club mmoja mombasa inaitwa casablanca niliskia nyimbo ya allykiba ya aje ikirudiwa 3 times na watu wakinogewa zaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
bongofleva ni noma kaka....
BTW unamuona mzee wa iPhone 7 anavyohaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani uzi unamyima raha ajabu.anajaribu ku-troll lakini wapi,kisu kikali cha ngariba kimeingia mahala pake.[emoji23] [emoji23]
 
Collins unatafuna miraa saa hii?.
At least muziki tunaeza taja kina wyre,sautisol,khaligraph,octopizzo,bahati,nonini,avril,akothee,willy Paul,jua Kali,eko dida,Timmy tdat,Nyashinski,etc
Ebu nitajie mtz kwa the following categories;
1.Athletics
2.Rugby
3.overseas Footballer ie wanyama
4.international actor ie lupita
5.any Tanzania Nobel prize winner
 
We hujawai kufika Mombasa kama hujui Nyali bridge so shut the fuckk up msee
 
Elani......dont underestimate the quality of the Kenyan music. This one went international.

 
Kam twitter uone vile mnakojolewa msee
 
we mzee wa iphone 7 usifanye ubishi kua mazoea kwa hili halina ujanja mziki wa tanzania unatamba sana Africa na unapendwa sana tena sana na wakenya na ukiangalia side effect utagundua mziki wa tanzania ndio umeua soko la mziki wa kenya kwenu
 
we mzee wa iphone 7 usifanye ubishi kua mazoea kwa hili halina ujanja mziki wa tanzania unatamba sana Africa na unapendwa sana tena sana na wakenya na ukiangalia side effect utagundua mziki wa tanzania ndio umeua soko la mziki wa kenya kwenu
Cjakataa haitambuliki ila pia Kenya kuna wasanii renowned Africa kama group maarufu sana ya sauti Sol,jaguar etc sasa nitajie any of the above watanzania
 
At least muziki tunaeza taja kina wyre,sautisol,khaligraph,octopizzo,bahati,nonini,avril,akothee,willy Paul,jua Kali,eko dida,Timmy tdat,Nyashinski
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mie wabana pua akina mondi siwasikilizi aise, lakini upande wa HipHop kutoka production hadi rappers nawapa heshima sana, akina Fid Q, Niki mbishi, joh makini, professa j wa zamani, G nako, marehemu Ngwair na Langa, jaymo mo technics mo flava πŸ™‚, huwa na wasikiliza saaaana, but hawa mainstream kidogo nawapotezea. Hip Hop pia Kenya imeimarika, commercially though bongo flava iliteka soko zamani sana. Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…