PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

dah! jamaa unalewa na sifa...umefurahi sana...haha congrats lakini..thread nzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WHY LIE..BONGO MUSIC HAS THAT BEAUTIFUL AFRICAN ORIGINAL BEAT..WHILE KENYANS TRY TO COPY AMERICAN RAP..KING KAKA TRIES BUT MOST KENYAN ARTISTS ARE JUST TRYING TO SOUND AMERICAN..
 
Sikiliza Kitu kutoka kwa Dogo
ujue kabisa Bongo inavipaji
mtu akiimba kuhusu Mapenzi kubembeleza kweli Mashairi yanatulia




Njoo kwa wenzetu eti DAWA YAMOTO NI MOTO HAHAHA Kuna vita
music sio vita mdundo mkuubwa mashairi Ziro

Achana kabisa na. Beka.
 
Tunaanza kuhesabu sasa kuhusu TZ
1. Linex
 
Naona wanavyompenda mtu kama Ali Kiba, utadhani wa kwao vile...
ni kweli,wakenya wanapenda sana ally kiba.hata comment zao kule youtube zinajieleza wazi.
d270df3a589f9cb31c35c88f3ef21811.jpg
27e9b5529ba0036d5857102e6f316198.jpg
 
Back
Top Bottom