Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unatambua mzitoAna ngoma yake inaitwa toa tint.katumia beat ya future.itafute youtube.hatari sana
Hamna kitu hapo nairobiwalker pole
yah namtambua sana caligraph jones na ninamkubari.but hiyo haiondoi ukweli kwamba bongofleva iko juu than kenyan music.ukweli upo pale pale.[emoji23] [emoji23]
Kamuoneshe na Baba yako Uhuru Kenyatta😀😀😀😀Hahaha....Jamaa wa Nyali Bridge iko Dubai sahii anasema ashawai fika Mombasa? Humu Wabongo husema wamefika sehemu zote Kenya yet they're the least travelled East Africans. True story btw.
Wamekanyagiwa wapi hawana nyimbo zakushika watu na music ya Tanzania ndio imeua wasanii wakenya na mziki wao pia hata nameless niliwah kumsikia anazungumzia mambo hayo...so short and clear bongo flavor ndio mchawi wenu mpaka kufa😀😀Shida ya entertainment industry ya Kenya imeingiwa na siasa na ubabe mwingi na macartel. Kitambo wimbo wa msanii uchezwe kwenye station ama apate show lazima akubali kuwalamba vidole mababe Fulani kwenye Industry. Msanii mwenye talanta hana chake ila yule aliyekubaliwa na macartel. Unapata kuna ngoma nyingi nzuri tamu za wasanii ila hazichezwi kwenye redio wala runinga. Unapata sasa Wakenya wengi wanatambua nyimbo za nchi za nje juu hizi ndizo wanazozisikia kwenye redio alafu wanajipata wamekubali Kenya hakuna wasanii wazuri. Wasanii wako ila wamekanyagiwa.
Sikiliza Kitu kutoka kwa Dogo
ujue kabisa Bongo inavipaji
mtu akiimba kuhusu Mapenzi kubembeleza kweli Mashairi yanatulia
Njoo kwa wenzetu eti DAWA YAMOTO NI MOTO HAHAHA Kuna vita
music sio vita mdundo mkuubwa mashairi Ziro
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamuoneshe na Baba yako Uhuru Kenyatta😀😀😀😀
View attachment 513991 View attachment 513992 View attachment 513993
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wamekanyagiwa wapi hawana nyimbo zakushika watu na music ya Tanzania ndio imeua wasanii wakenya na mziki wao pia hata nameless niliwah kumsikia anazungumzia mambo hayo...so short and clear bongo flavor ndio mchawi wenu mpaka kufa😀😀
Hakuna hadithi ya siasa hata kwetu siasa kwenye mziki IPO ila wasanii wabongo wanaakili ya kujiongeza na pia ni talented.....