Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hao wengi mpira hawajui ndio tunao kwenye siasa huko wanaongea vitu visivyoeleweka tuu eti Timu itakataa kuuza tiketi ndio maana wahuni wanapewa Bandari Nchi haina watu..Uliona wapi timu ikakataa kuuza tickets? nipo Rwanda tickets zinauzwa ki electronic wewe upo huko Tandahimba una bwatuka tu kama chizi