Propaganda ya Sukuma Gang imeishia wapi?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.

Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, IGP Sirro na wengine wengi

Swali je Kampeni ya SUGUMA GANG imeishia wapi tunapokwenda 2023?
 
Disemba 22, 2022 wakati wanaJAZA maji Bwawa la Nyerere. alipotajwa JPM
 
Njaa, adui mwombee njaa.
Humphrey Polepole kapewa ubalozi Malawi huko, wengine wameshonwa midomo kwa namna mbalimbali.

Paramagamba kaanza kisema alitumwa adanganye Watanzania juu ya makubaliano ya makinikia na ukwepaji kodi
 
Sukuma Gang ipo ipo sana na mfadhili wao mkuu huyu hapa
FB_IMG_1618549208269.jpg
 
Disemba 22, 2022 wakati wanaJAZA maji Bwawa la Nyerere. alipotajwa JPM
Watanzania walikosa adabu mbele ya Mkuu wa Nchi, Mbele ya Marais wasataafu, mbele ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana na Wajumbe wa Kamati Kuu. Tumpe Mama nafasi awe na amani moyoni afanye Kazi ya NCHI. Baada ya hayo mayowe niliona Mzee kikwete akikunja ndita nadhani kama kiongozi anajua haikuwa Sahihi. Hii tabia itaenea Nchini kwa kudhani tunamkomoa Rais ila tunamfanya akose nguvu ya kututumikia
 
Rais Samia ni mkosaji mkubwa sana ktk hili. Hivi yeye siku akifa, na kila siku tuwe tunamsema kwa vijembe vya wazi na mafumbo hivi familia yake itafurahia????? Hivi yeye angepungukiwa nini kama angemheshimu Dkt Magufuli na kuhakikisha/kuchimba mkwara wa kuwa ni marufuku kumdhihaki Dkt Magufuli kwa jinsi ya aina yeyote. Ila bado muda anao wa kujirekebisha, ila ajue kabisa kama anapita JF na kusoma news hapa kilichomuangusha namba moja siyo uanauke wake bali ni dhihaka dhidi ya Dkt Magufuli, tena kwa waziwazi na kupitia matendo ya wasaidizi wake na kauli zake mfano za kusema eti unafungua nchi, amepata urais kwa kudra za mwenyezi Mungu, ilikuwa vibaya kuchoma vifaranga, etc
 
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.

Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, IGP Sirro na wengine wengi

Swali je Kampeni ya SUGUMA GANG imeishia wapi tunapokwenda 2023?
In reality hakuna hili kundi linaloitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in people's minds za watu waliofilisika kisiasa!. Siamini kama Rais Mama Samia amechukua maamuzi yoyote kwasababu ya dhana hii ya Sukuma Gang, kwasababu Samia sio muflis!. Ila kwa vile baadhi ya waliotumbuliwa ni watu wa JPM, Bashiru, Polepole, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, no vizuri Mama akawa muwazi kwanini amewaondoa, nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
 
Sukuma Gang ipo ipo sana na mfadhili wao mkuu huyu hapaView attachment 2458655
Huyu jamaa alikua na upako sana wa kazi ya Mungu, lakini alivyochanganya na siasa, kiwango akapunguziwa mwingine kaongezewa. Gwajima wa enzi zile sio huyu!! Maneno mengi kuhalalisha lkn hakuna kitu, na mkabila kweli, ni moja ya waanzilishi wa sukuma Gang! Pasko atakataa lakini lilikuwepo linamea enzi za Magu kwa nia ya kujiwekea uzio walambe asali vizuri. Sasa kuna hili nalo limeweka wigo, wamo ndani wakifaidi nyie nje huko mtabaki kulalama katiba mpya na njaa kali
 
In reality hakuna hili kundi linaloitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in people's minds za watu waliofilisika kisiasa!. Siamini kama Rais Mama Samia amechukua maamuzi yoyote kwasababu ya dhana hii ya Sukuma Gang, kwasababu Samia sio muflis!. Ila kwa vile baadhi ya waliotumbuliwa ni watu wa JPM, Bashiru, Polepole, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, no vizuri Mama akawa muwazi kwanini amewaondoa, nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
That is well said Pascal Mayalla Sukuma gang ni kama ilivyo Comic story ya WAKANDA, baada ya kifo cha T’Challa (Makufuli) tunamuona Zuri (Saamia) akiendesha nchi ya kusadikika…sote ni watanzania, Msoga gang is factious too aimed for mass delusion, this time around the so called “Wema Hawafi gang” is erupting more than magma itself, however destined to decay in the near future..
 
In reality hakuna hili kundi linaloitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in people's minds za watu waliofilisika kisiasa!. Siamini kama Rais Mama Samia amechukua maamuzi yoyote kwasababu ya dhana hii ya Sukuma Gang, kwasababu Samia sio muflis!. Ila kwa vile baadhi ya waliotumbuliwa ni watu wa JPM, Bashiru, Polepole, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, no vizuri Mama akawa muwazi kwanini amewaondoa, nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwaondoa hao ambao alidanganywa kuwa ni watiifu wa Dkt Magufuli wamegharimu umaarufu wake. Tena hao watu kwa habari za kimbeya kimbeya walifuatiliwa na makundi ya akina January wapotezwe ila nao wakatumia mbinu za kivita. So kilichopo ambacho Rais Samia hajaambiwa ni kuwa wenzake wapo vitani kuhakikisha jina la Dkt Magufuli linapotea kabisa ktk siasa za Tanzania, kitu ambacho mpaka sasa kimewashushia heshima sana miongoni mwao hao vinara wa siasa. Tunajua Kikwete ana hali mbaya sana ya kujilaumu kujilaumu ya kuji associate na watu kama Makamba ambao hawana siri na ustahimilivu kisiasa. JK ni professor wa siasa, ninaamini kabisa hili jambo ingekuwa kwa matakwa yake angekuwa keshacheza kete kulingana na matakwa ya walio wengi tofauti na Rais Sami aliyejaa jazba na kuamini umbeya badala ya kukaa na kutafakari madhara ya maamuzi yake (chukua mfano issue y Ndugai alivyokurupuka na mpaka juzi anasema eti mkopo umechelewa kufika, etc). Narudia kusema Rais Samia nafasi anayo kubwa sana ya kurekebisha makosa yake na akawa the best president kuwahi kutokea Tanzania. Ila kwa hali iliyopo sasa (kama alivyodokeza JK kwenye mkutano mkuu) yupo mifukoni mwa wafanyabiashara na baadhi ya wanasiasa na wanamtengenezea mazingira ya ovyo kiasi kwamba anatawaliwa badala ya kuwa mfanya maamuzi
 
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.

Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, IGP Sirro na wengine wengi

Swali je Kampeni ya SUGUMA GANG imeishia wapi tunapokwenda 2023?
Sukuma gang ipo kwenye mioyo ya watanzania,itaendelea kuwepo na hutosikia kelele zaidi ya vitendo sababu ikiongea watu wanahaha.
 
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.

Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, IGP Sirro na wengine wengi

Swali je Kampeni ya SUGUMA GANG imeishia wapi tunapokwenda 2023?
Nani ambaye alilitumikia taifa kwa uzalendo hapo?
 
In reality hakuna hili kundi linaloitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in people's minds za watu waliofilisika kisiasa!. Siamini kama Rais Mama Samia amechukua maamuzi yoyote kwasababu ya dhana hii ya Sukuma Gang, kwasababu Samia sio muflis!. Ila kwa vile baadhi ya waliotumbuliwa ni watu wa JPM, Bashiru, Polepole, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, no vizuri Mama akawa muwazi kwanini amewaondoa, nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
Aseme kwanini anamuondoa fulani anamuweka fulani mkuu?!!!! Nafikiri huko kutakuwa kujipa kazi kubwa na dalili ya kutojiamini.
 
Back
Top Bottom