Propaganda ya Sukuma Gang imeishia wapi?

Propaganda ya Sukuma Gang imeishia wapi?

Ukitaka watu wasikuseme vibaya ukishakufa, dawa yake ni kutenda mema na haki. Mbona hakuna nyuzi za kumnanga Benjamin Mkapa japo wamekufa kwa tofauti ya miezi la 10 tu? Mbona Ali Hassan Mwinyi japo yuko hai watu hawamsemi?

Acheni watu waseme UOZO wote wa Magufuli ili liwe funzo kwa viongozi waliopo madrakani na watakaopata madraka wajifunze kutenda haki dhidi ya wanao watawala.
Huwezi kufananisha kifo cha Mkapa na Magufuli. Mkapa amefariki akiwa amestaafu urais kwa zaidi ya miaka 15, JPM amefariki akiwa yuko kazini miezi michache tangu wananchi wamchague. Sikiliza hii hapa ndio utaelewa

 
Huwezi kufananisha kifo cha Mkapa na Magufuli. Mkapa amefariki akiwa amestaafu urais kwa zaidi ya miaka 15, JPM amefariki akiwa yuko kazini miezi michache tangu wananchi wamchague. Sikiliza hii hapa ndio utaelewa


Hii takataka ya Chato wala haikustahili kututawala. Japo akina JK na CCM walimpa nafasi bila kujuwa unyama wake lakini Mungu wetu alitunusuru toka kwa shetani mnywa damu pale 17/ 03/ 21
 
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.

Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, IGP Sirro na wengine wengi

Swali je Kampeni ya SUGUMA GANG imeishia wapi tunapokwenda 2023?
Wapo irrelevant maana waling'olewa wote kutoka kwenye ofisi nyeti hata msemaji wao Mhe. Mpina kanyooshwa both ujumbe NEC taifa na NEC mkoa!! Sasa wawataje kwa lipi Tena?
 
In reality hakuna hili kundi linaloitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in people's minds za watu waliofilisika kisiasa!. Siamini kama Rais Mama Samia amechukua maamuzi yoyote kwasababu ya dhana hii ya Sukuma Gang, kwasababu Samia sio muflis!. Ila kwa vile baadhi ya waliotumbuliwa ni watu wa JPM, Bashiru, Polepole, Kalemani, Lukuvi, Kabudi, no vizuri Mama akawa muwazi kwanini amewaondoa, nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Hapa nakuunga mkono!.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
 
Back
Top Bottom