Propaganda za CCM yangu zinakera sana

Hivi ulitumbuliwa ama????
Maana kwa sie tunaokujua enzi za JPM ulikuwa ukisifia hadi akili zinakuruka.
Ila toka aingie mama naona umekuwa mtu wa lawama na vijembe (taarabu style)
Kipindi kile ulikuwa huambiwi kitu kuhusu akina Makonda.
Sijawahi kuteuliwa na sitegemei kabisa kuteuliwa mimi ni mwana CCM mzalendo na mfia chama furaha yangu ni kuona CCM inashika dola.
 
UCHAWA umezidi hadi imekuwa kero. Kuna hujuma nyingi ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya CCM. Kuna ulozi na kutengenezeana ajali na hakuna kuacha kinywaji wazi na ukaendelea kunywa ukiiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…